Jeremiah 20 (BOKCV)
1 Ikawa kuhani Pashuri mwana wa Imeri, mkuu wa maafisa wa Hekalu la BWANA, alipomsikia Yeremia akitoa unabii juu ya mambo haya, 2 akaamuru Yeremia nabii apigwe na kufungwa kwenye mkatale katika Lango la Juu la Benyamini huko Hekaluni la BWANA. 3 Siku ya pili Pashuri alipomwachia kutoka kwenye mkatale, Yeremia akamwambia, “BWANA hakukuita jina lako kuwa Pashuri bali Magor-Misabibu. 4 Kwa kuwa hili ndilo asemalo BWANA: ‘Nitakufanya kuwa hofu kuu kwako wewe mwenyewe na rafiki zako wote, na kwa macho yako mwenyewe utawaona wakianguka kwa upanga wa adui zao. Nitawatia Yuda wote mikononi mwa mfalme wa Babeli, ambaye atawachukua na kuwapeleka Babeli, ama awaue kwa upanga. 5 Nitatia utajiri wote wa mji huu kwa adui zao: yaani mazao yao yote, vitu vyao vyote vya thamani, na hazina zote za wafalme wa Yuda. Watavitwaa kwa nyara na kuvipeleka Babeli. 6 Nawe Pashuri pamoja na wote waishio katika nyumba yako mtakwenda uhamishoni Babeli. Mtafia humo na kuzikwa, wewe na rafiki zako wote ambao umewatabiria uongo.’ ” 7 Ee BWANA, umenidanganya,nami nikadanganyika;wewe una nguvu kuniliko,nawe umenishinda.Ninadharauliwa mchana kutwa,kila mmoja ananidhihaki. 8 Kila ninenapo, ninapiga kelelenikitangaza ukatili na uharibifu.Kwa hiyo neno la BWANA limeniletea matukanona mashutumu mchana kutwa. 9 Lakini kama nikisema, “Sitamtajawala kusema tena kwa jina lake,”neno lake linawaka ndani ya moyo wangu kama moto,moto uliofungwa ndani ya mifupa yangu.Nimechoka sana kwa kulizuia ndani mwangu;kweli, siwezi kujizuia. 10 Ninasikia minongʼono mingi,“Hofu iko pande zote!Mshtakini! Twendeni tumshtaki!”Rafiki zangu wote wananisubiri niteleze,wakisema,“Labda atadanganyika;kisha tutamshindana kulipiza kisasi juu yake.” 11 Lakini BWANA yu pamoja namikama shujaa mwenye nguvu;hivyo washtaki wangu watajikwaana kamwe hawatashinda.Watashindwa, nao wataaibika kabisa;kukosa adabu kwao hakutasahauliwa. 12 Ee BWANA Mwenye Nguvu Zote,wewe umjaribuye mwenye hakina kupima moyo na nia,hebu nione ukilipiza kisasi juu yao,kwa maana kwakonimeliweka shauri langu. 13 Mwimbieni BWANA!Mpeni BWANA sifa!Yeye huokoa uhai wa mhitajikutoka mikononi mwa waovu. 14 Ilaaniwe siku niliyozaliwa!Nayo isibarikiwe ile sikumama yangu aliyonizaa! 15 Alaaniwe mtu yule aliyemletea baba yangu habari,yule aliyemfanya afurahi sana, akisema,“Mtoto amezaliwa kwako,tena mtoto wa kiume!” 16 Mtu huyo na awe kama miji ileambayo BWANA Mungualiiangamiza bila huruma.Yeye na asikie maombolezo asubuhina kilio cha vita adhuhuri. 17 Kwa sababu hakuniua nikiwa tumboni,hivyo mama yangu angekuwa kaburi langu,nalo tumbo lake la uzazilingebaki kuwa kubwa daima. 18 Kwa nini basi nilitoka tumboniili kuona taabu na huzuni,na kuzimaliza siku zangu katika aibu?
In Other Versions
Jeremiah 20 in the ANGEFD
Jeremiah 20 in the ANTPNG2D
Jeremiah 20 in the AS21
Jeremiah 20 in the BAGH
Jeremiah 20 in the BBPNG
Jeremiah 20 in the BBT1E
Jeremiah 20 in the BDS
Jeremiah 20 in the BEV
Jeremiah 20 in the BHAD
Jeremiah 20 in the BIB
Jeremiah 20 in the BLPT
Jeremiah 20 in the BNT
Jeremiah 20 in the BNTABOOT
Jeremiah 20 in the BNTLV
Jeremiah 20 in the BOATCB
Jeremiah 20 in the BOATCB2
Jeremiah 20 in the BOBCV
Jeremiah 20 in the BOCNT
Jeremiah 20 in the BOECS
Jeremiah 20 in the BOGWICC
Jeremiah 20 in the BOHCB
Jeremiah 20 in the BOHCV
Jeremiah 20 in the BOHLNT
Jeremiah 20 in the BOHNTLTAL
Jeremiah 20 in the BOICB
Jeremiah 20 in the BOILNTAP
Jeremiah 20 in the BOITCV
Jeremiah 20 in the BOKCV2
Jeremiah 20 in the BOKHWOG
Jeremiah 20 in the BOKSSV
Jeremiah 20 in the BOLCB
Jeremiah 20 in the BOLCB2
Jeremiah 20 in the BOMCV
Jeremiah 20 in the BONAV
Jeremiah 20 in the BONCB
Jeremiah 20 in the BONLT
Jeremiah 20 in the BONUT2
Jeremiah 20 in the BOPLNT
Jeremiah 20 in the BOSCB
Jeremiah 20 in the BOSNC
Jeremiah 20 in the BOTLNT
Jeremiah 20 in the BOVCB
Jeremiah 20 in the BOYCB
Jeremiah 20 in the BPBB
Jeremiah 20 in the BPH
Jeremiah 20 in the BSB
Jeremiah 20 in the CCB
Jeremiah 20 in the CUV
Jeremiah 20 in the CUVS
Jeremiah 20 in the DBT
Jeremiah 20 in the DGDNT
Jeremiah 20 in the DHNT
Jeremiah 20 in the DNT
Jeremiah 20 in the ELBE
Jeremiah 20 in the EMTV
Jeremiah 20 in the ESV
Jeremiah 20 in the FBV
Jeremiah 20 in the FEB
Jeremiah 20 in the GGMNT
Jeremiah 20 in the GNT
Jeremiah 20 in the HARY
Jeremiah 20 in the HNT
Jeremiah 20 in the IRVA
Jeremiah 20 in the IRVB
Jeremiah 20 in the IRVG
Jeremiah 20 in the IRVH
Jeremiah 20 in the IRVK
Jeremiah 20 in the IRVM
Jeremiah 20 in the IRVM2
Jeremiah 20 in the IRVO
Jeremiah 20 in the IRVP
Jeremiah 20 in the IRVT
Jeremiah 20 in the IRVT2
Jeremiah 20 in the IRVU
Jeremiah 20 in the ISVN
Jeremiah 20 in the JSNT
Jeremiah 20 in the KAPI
Jeremiah 20 in the KBT1ETNIK
Jeremiah 20 in the KBV
Jeremiah 20 in the KJV
Jeremiah 20 in the KNFD
Jeremiah 20 in the LBA
Jeremiah 20 in the LBLA
Jeremiah 20 in the LNT
Jeremiah 20 in the LSV
Jeremiah 20 in the MAAL
Jeremiah 20 in the MBV
Jeremiah 20 in the MBV2
Jeremiah 20 in the MHNT
Jeremiah 20 in the MKNFD
Jeremiah 20 in the MNG
Jeremiah 20 in the MNT
Jeremiah 20 in the MNT2
Jeremiah 20 in the MRS1T
Jeremiah 20 in the NAA
Jeremiah 20 in the NASB
Jeremiah 20 in the NBLA
Jeremiah 20 in the NBS
Jeremiah 20 in the NBVTP
Jeremiah 20 in the NET2
Jeremiah 20 in the NIV11
Jeremiah 20 in the NNT
Jeremiah 20 in the NNT2
Jeremiah 20 in the NNT3
Jeremiah 20 in the PDDPT
Jeremiah 20 in the PFNT
Jeremiah 20 in the RMNT
Jeremiah 20 in the SBIAS
Jeremiah 20 in the SBIBS
Jeremiah 20 in the SBIBS2
Jeremiah 20 in the SBICS
Jeremiah 20 in the SBIDS
Jeremiah 20 in the SBIGS
Jeremiah 20 in the SBIHS
Jeremiah 20 in the SBIIS
Jeremiah 20 in the SBIIS2
Jeremiah 20 in the SBIIS3
Jeremiah 20 in the SBIKS
Jeremiah 20 in the SBIKS2
Jeremiah 20 in the SBIMS
Jeremiah 20 in the SBIOS
Jeremiah 20 in the SBIPS
Jeremiah 20 in the SBISS
Jeremiah 20 in the SBITS
Jeremiah 20 in the SBITS2
Jeremiah 20 in the SBITS3
Jeremiah 20 in the SBITS4
Jeremiah 20 in the SBIUS
Jeremiah 20 in the SBIVS
Jeremiah 20 in the SBT
Jeremiah 20 in the SBT1E
Jeremiah 20 in the SCHL
Jeremiah 20 in the SNT
Jeremiah 20 in the SUSU
Jeremiah 20 in the SUSU2
Jeremiah 20 in the SYNO
Jeremiah 20 in the TBIAOTANT
Jeremiah 20 in the TBT1E
Jeremiah 20 in the TBT1E2
Jeremiah 20 in the TFTIP
Jeremiah 20 in the TFTU
Jeremiah 20 in the TGNTATF3T
Jeremiah 20 in the THAI
Jeremiah 20 in the TNFD
Jeremiah 20 in the TNT
Jeremiah 20 in the TNTIK
Jeremiah 20 in the TNTIL
Jeremiah 20 in the TNTIN
Jeremiah 20 in the TNTIP
Jeremiah 20 in the TNTIZ
Jeremiah 20 in the TOMA
Jeremiah 20 in the TTENT
Jeremiah 20 in the UBG
Jeremiah 20 in the UGV
Jeremiah 20 in the UGV2
Jeremiah 20 in the UGV3
Jeremiah 20 in the VBL
Jeremiah 20 in the VDCC
Jeremiah 20 in the YALU
Jeremiah 20 in the YAPE
Jeremiah 20 in the YBVTP
Jeremiah 20 in the ZBP