Job 24 (BOKCV)

1 “Kwa nini Mwenyezi asiweke nyakati kwa ajili ya hukumu?Kwa nini wale wamjuao wazitafute siku kama hizo bila mafanikio? 2 Watu husogeza mawe ya mpaka;huchunga makundi ya wanyama waliyonyangʼanya kwa nguvu. 3 Huwanyangʼanya yatima punda wao,na kumchukua rehani fahali wa mjane. 4 Humsukuma mhitaji kutoka njia,na kuwafanya maskini wote wa nchi kulazimika kujificha. 5 Kama punda-mwitu jangwani,maskini huzunguka katika kazi zao za kutafuta chakula;mahali palipo jangwahuwapa chakula cha watoto wao. 6 Hukusanya chakula mashambani na kuokota masazokatika mashamba ya mizabibu ya waovu. 7 Kwa kukosa nguo, usiku kucha hukaa uchi;hawana chochote cha kujifunika baridi. 8 Hutota kwa mvua za mlimani,nao huikumbatia miamba kwa ajili ya kukosa pa kujisitiri. 9 Mtoto yatima hupokonywa matitini;mtoto wachanga wa maskini hunyakuliwa kwa ajili ya deni. 10 Kwa kukosa nguo, hutembea uchi;hubeba miganda ya ngano, lakini huwa na njaa. 11 Hukamua zeituni katika mawe ya kusagia;hukanyaga mashinikizo, lakini wanaona kiu. 12 Kilio cha huzuni cha wanaokufa kinapaa kutoka mjini,nazo nafsi za waliojeruhiwa zinalilia msaada.Lakini Mungu hamlaumu mtu yeyotekwa kutenda mabaya. 13 “Wako wale wanaoiasi nuru,wasiofahamu njia zakewala hawakai katika mapito yake. 14 Wakati mwanga wa mchana unapotoweka, muuaji huinukanaye huwaua maskini na mhitaji;wakati wa usiku hunyemelea kama mwizi. 15 Jicho la mzinzi hungojea wakati wa giza,naye hufikiri, ‘Hakuna jicho litakaloniona,’naye huuficha uso wake. 16 Katika giza, huvunja majumba,lakini wakati wa mchana hujifungia ndani;hawataki kufanya lolote nuruni. 17 Kwa wote hawa, giza nene ndiyo asubuhi yao;hujifanya rafiki na vitisho vya gizani. 18 “Lakini wao ni povu juu ya maji;sehemu yao juu ya nchi imelaaniwa,hivyo hakuna hata mmojaaendaye kwenye shamba la mizabibu. 19 Kama vile joto na hari vinyakuavyo theluji iliyoyeyuka,ndivyo kuzimu kuwanyakuavyo waliotenda dhambi. 20 Tumbo lililowazaa huwasahau,nao huwa karamu ya mabuu;watu waovu hawakumbukwi tena,lakini huvunjika kama mti. 21 Huwafanya mawindo wanawake tasa na wasio na watoto,nao hawaonyeshi huruma kwa wajane. 22 Lakini Mungu huwakokota wenye nguvu kwa uwezo wake;ingawa wamestawi, hawana hakika ya maisha. 23 Aweza akawaacha wakapumzika wakijihisi salama,lakini macho yake yanaona njia zao. 24 Kwa kitambo kidogo hutukuka, hatimaye hutoweka;hushushwa na kukusanywa kama wengine wote,hukatwa kama masuke ya nafaka. 25 “Kama hili sivyo, ni nani awezaye kunithibitisha kuwa mwongo,na kuyafanya maneno yangu kuwa si kitu?”

In Other Versions

Job 24 in the ANGEFD

Job 24 in the ANTPNG2D

Job 24 in the AS21

Job 24 in the BAGH

Job 24 in the BBPNG

Job 24 in the BBT1E

Job 24 in the BDS

Job 24 in the BEV

Job 24 in the BHAD

Job 24 in the BIB

Job 24 in the BLPT

Job 24 in the BNT

Job 24 in the BNTABOOT

Job 24 in the BNTLV

Job 24 in the BOATCB

Job 24 in the BOATCB2

Job 24 in the BOBCV

Job 24 in the BOCNT

Job 24 in the BOECS

Job 24 in the BOGWICC

Job 24 in the BOHCB

Job 24 in the BOHCV

Job 24 in the BOHLNT

Job 24 in the BOHNTLTAL

Job 24 in the BOICB

Job 24 in the BOILNTAP

Job 24 in the BOITCV

Job 24 in the BOKCV2

Job 24 in the BOKHWOG

Job 24 in the BOKSSV

Job 24 in the BOLCB

Job 24 in the BOLCB2

Job 24 in the BOMCV

Job 24 in the BONAV

Job 24 in the BONCB

Job 24 in the BONLT

Job 24 in the BONUT2

Job 24 in the BOPLNT

Job 24 in the BOSCB

Job 24 in the BOSNC

Job 24 in the BOTLNT

Job 24 in the BOVCB

Job 24 in the BOYCB

Job 24 in the BPBB

Job 24 in the BPH

Job 24 in the BSB

Job 24 in the CCB

Job 24 in the CUV

Job 24 in the CUVS

Job 24 in the DBT

Job 24 in the DGDNT

Job 24 in the DHNT

Job 24 in the DNT

Job 24 in the ELBE

Job 24 in the EMTV

Job 24 in the ESV

Job 24 in the FBV

Job 24 in the FEB

Job 24 in the GGMNT

Job 24 in the GNT

Job 24 in the HARY

Job 24 in the HNT

Job 24 in the IRVA

Job 24 in the IRVB

Job 24 in the IRVG

Job 24 in the IRVH

Job 24 in the IRVK

Job 24 in the IRVM

Job 24 in the IRVM2

Job 24 in the IRVO

Job 24 in the IRVP

Job 24 in the IRVT

Job 24 in the IRVT2

Job 24 in the IRVU

Job 24 in the ISVN

Job 24 in the JSNT

Job 24 in the KAPI

Job 24 in the KBT1ETNIK

Job 24 in the KBV

Job 24 in the KJV

Job 24 in the KNFD

Job 24 in the LBA

Job 24 in the LBLA

Job 24 in the LNT

Job 24 in the LSV

Job 24 in the MAAL

Job 24 in the MBV

Job 24 in the MBV2

Job 24 in the MHNT

Job 24 in the MKNFD

Job 24 in the MNG

Job 24 in the MNT

Job 24 in the MNT2

Job 24 in the MRS1T

Job 24 in the NAA

Job 24 in the NASB

Job 24 in the NBLA

Job 24 in the NBS

Job 24 in the NBVTP

Job 24 in the NET2

Job 24 in the NIV11

Job 24 in the NNT

Job 24 in the NNT2

Job 24 in the NNT3

Job 24 in the PDDPT

Job 24 in the PFNT

Job 24 in the RMNT

Job 24 in the SBIAS

Job 24 in the SBIBS

Job 24 in the SBIBS2

Job 24 in the SBICS

Job 24 in the SBIDS

Job 24 in the SBIGS

Job 24 in the SBIHS

Job 24 in the SBIIS

Job 24 in the SBIIS2

Job 24 in the SBIIS3

Job 24 in the SBIKS

Job 24 in the SBIKS2

Job 24 in the SBIMS

Job 24 in the SBIOS

Job 24 in the SBIPS

Job 24 in the SBISS

Job 24 in the SBITS

Job 24 in the SBITS2

Job 24 in the SBITS3

Job 24 in the SBITS4

Job 24 in the SBIUS

Job 24 in the SBIVS

Job 24 in the SBT

Job 24 in the SBT1E

Job 24 in the SCHL

Job 24 in the SNT

Job 24 in the SUSU

Job 24 in the SUSU2

Job 24 in the SYNO

Job 24 in the TBIAOTANT

Job 24 in the TBT1E

Job 24 in the TBT1E2

Job 24 in the TFTIP

Job 24 in the TFTU

Job 24 in the TGNTATF3T

Job 24 in the THAI

Job 24 in the TNFD

Job 24 in the TNT

Job 24 in the TNTIK

Job 24 in the TNTIL

Job 24 in the TNTIN

Job 24 in the TNTIP

Job 24 in the TNTIZ

Job 24 in the TOMA

Job 24 in the TTENT

Job 24 in the UBG

Job 24 in the UGV

Job 24 in the UGV2

Job 24 in the UGV3

Job 24 in the VBL

Job 24 in the VDCC

Job 24 in the YALU

Job 24 in the YAPE

Job 24 in the YBVTP

Job 24 in the ZBP