Joel 3 (BOKCV)

1 “Katika siku hizo na wakati huo,nitakaporejesha neema ya Yuda na Yerusalemu, 2 nitayakusanya mataifa yote na kuyaletakatika Bonde la YehoshafatiHapo nitaingia kwenye hukumu dhidi yaokuhusu urithi wangu, watu wangu Israeli,kwa kuwa waliwatawanya watu wangumiongoni mwa mataifana kuigawa nchi yangu. 3 Wanawapigia kura watu wanguna kuwauza wavulana ili kupata makahaba;waliwauza wasichanaili wapate kunywa mvinyo. 4 “Sasa una nini dhidi yangu, ee Tiro na Sidoni, nanyi nchi zote za Ufilisti? Je, mnanilipiza kwa yale niliyoyafanya? Kama mnalipa, mimi nitalipiza juu ya vichwa vyenu kwa kasi na kwa haraka yale mliyoyatenda. 5 Kwa kuwa mlichukua fedha na dhahabu yangu pia mkabeba hazina zangu nzuri sana mkapeleka kwenye mahekalu yenu. 6 Mliwauza watu wa Yuda na Yerusalemu kwa Wayunani, ili kwamba mpate kuwapeleka mbali na nchi yao. 7 “Tazama nitawaamsha kutoka zile sehemu mlizowauza, nami nitawalipiza juu ya vichwa vyenu kile mlichofanya. 8 Nitawauza wana wenu na binti zenu kwa watu wa Yuda, nao watawauza kwa Waseba, taifa lililo mbali.” BWANA amesema. 9 Tangazeni hili miongoni mwa mataifa:Jiandaeni kwa vita!Amsha askari!Wanaume wote wapiganajiwasogee karibu na kushambulia. 10 Majembe yenu yafueni yawe pangana miundu yenu ya kukatia iwe mikuki.Aliye dhaifu na aseme,“Mimi nina nguvu!” 11 Njooni haraka, ninyi mataifa yote kutoka pande zote,kusanyikeni huko. Shusha wapiganaji wako, Ee BWANA! 12 “Mataifa na yaamshwe;na yasonge mbele kuelekea Bonde la Yehoshafati,kwa kuwa nitaketi mahali palekuhukumu mataifa yote yaliyoko kila upande. 13 Tia mundu,kwa kuwa mavuno yamekomaa.Njooni, mkanyage zabibu,kwa kuwa shinikizo la kukamua zabibu limejaana mapipa yanafurika:kwa kuwa uovu wao ni mkubwa!” 14 Umati mkubwa, umati mkubwakatika bonde la uamuzi!Kwa kuwa siku ya BWANA ni karibukatika bonde la uamuzi. 15 Jua na mwezi vitatiwa giza,na nyota hazitatoa mwanga wake tena. 16 BWANA atanguruma kutoka Sayunina mshindo wa ngurumo kutoka Yerusalemu;dunia na mbingu vitatikisika.Lakini BWANA atakuwa kimbilio la watu wake,ngome imara kwa ajili ya watu wa Israeli. 17 “Ndipo mtakapojua kwamba Mimi, BWANA Mungu wenu,nakaa Sayuni, mlima wangu mtakatifu.Yerusalemu utakuwa mtakatifu;kamwe wageni hawatavamia tena. 18 “Katika siku hiyo milima itadondosha divai mpya,na vilima vitatiririka maziwa;mabonde yote ya Yuda yatatiririka maji.Chemchemi itatiririka kutoka kwenye nyumba ya BWANAna kunywesha Bonde la Shitimu. 19 Lakini Misri itakuwa ukiwa,Edomu itakuwa jangwa tupu,kwa sababu ya jeuri waliofanya kwa watu wa Yuda,ambao katika nchi yaowalimwaga damu isiyo na hatia. 20 Yuda itakaliwa na watu milelena Yerusalemu itadumu vizazi vyote. 21 Hatia yao ya damu, ambayo sijasamehe,nitasamehe.” BWANA anakaa Sayuni!

In Other Versions

Joel 3 in the ANGEFD

Joel 3 in the ANTPNG2D

Joel 3 in the AS21

Joel 3 in the BAGH

Joel 3 in the BBPNG

Joel 3 in the BBT1E

Joel 3 in the BDS

Joel 3 in the BEV

Joel 3 in the BHAD

Joel 3 in the BIB

Joel 3 in the BLPT

Joel 3 in the BNT

Joel 3 in the BNTABOOT

Joel 3 in the BNTLV

Joel 3 in the BOATCB

Joel 3 in the BOATCB2

Joel 3 in the BOBCV

Joel 3 in the BOCNT

Joel 3 in the BOECS

Joel 3 in the BOGWICC

Joel 3 in the BOHCB

Joel 3 in the BOHCV

Joel 3 in the BOHLNT

Joel 3 in the BOHNTLTAL

Joel 3 in the BOICB

Joel 3 in the BOILNTAP

Joel 3 in the BOITCV

Joel 3 in the BOKCV2

Joel 3 in the BOKHWOG

Joel 3 in the BOKSSV

Joel 3 in the BOLCB

Joel 3 in the BOLCB2

Joel 3 in the BOMCV

Joel 3 in the BONAV

Joel 3 in the BONCB

Joel 3 in the BONLT

Joel 3 in the BONUT2

Joel 3 in the BOPLNT

Joel 3 in the BOSCB

Joel 3 in the BOSNC

Joel 3 in the BOTLNT

Joel 3 in the BOVCB

Joel 3 in the BOYCB

Joel 3 in the BPBB

Joel 3 in the BPH

Joel 3 in the BSB

Joel 3 in the CCB

Joel 3 in the CUV

Joel 3 in the CUVS

Joel 3 in the DBT

Joel 3 in the DGDNT

Joel 3 in the DHNT

Joel 3 in the DNT

Joel 3 in the ELBE

Joel 3 in the EMTV

Joel 3 in the ESV

Joel 3 in the FBV

Joel 3 in the FEB

Joel 3 in the GGMNT

Joel 3 in the GNT

Joel 3 in the HARY

Joel 3 in the HNT

Joel 3 in the IRVA

Joel 3 in the IRVB

Joel 3 in the IRVG

Joel 3 in the IRVH

Joel 3 in the IRVK

Joel 3 in the IRVM

Joel 3 in the IRVM2

Joel 3 in the IRVO

Joel 3 in the IRVP

Joel 3 in the IRVT

Joel 3 in the IRVT2

Joel 3 in the IRVU

Joel 3 in the ISVN

Joel 3 in the JSNT

Joel 3 in the KAPI

Joel 3 in the KBT1ETNIK

Joel 3 in the KBV

Joel 3 in the KJV

Joel 3 in the KNFD

Joel 3 in the LBA

Joel 3 in the LBLA

Joel 3 in the LNT

Joel 3 in the LSV

Joel 3 in the MAAL

Joel 3 in the MBV

Joel 3 in the MBV2

Joel 3 in the MHNT

Joel 3 in the MKNFD

Joel 3 in the MNG

Joel 3 in the MNT

Joel 3 in the MNT2

Joel 3 in the MRS1T

Joel 3 in the NAA

Joel 3 in the NASB

Joel 3 in the NBLA

Joel 3 in the NBS

Joel 3 in the NBVTP

Joel 3 in the NET2

Joel 3 in the NIV11

Joel 3 in the NNT

Joel 3 in the NNT2

Joel 3 in the NNT3

Joel 3 in the PDDPT

Joel 3 in the PFNT

Joel 3 in the RMNT

Joel 3 in the SBIAS

Joel 3 in the SBIBS

Joel 3 in the SBIBS2

Joel 3 in the SBICS

Joel 3 in the SBIDS

Joel 3 in the SBIGS

Joel 3 in the SBIHS

Joel 3 in the SBIIS

Joel 3 in the SBIIS2

Joel 3 in the SBIIS3

Joel 3 in the SBIKS

Joel 3 in the SBIKS2

Joel 3 in the SBIMS

Joel 3 in the SBIOS

Joel 3 in the SBIPS

Joel 3 in the SBISS

Joel 3 in the SBITS

Joel 3 in the SBITS2

Joel 3 in the SBITS3

Joel 3 in the SBITS4

Joel 3 in the SBIUS

Joel 3 in the SBIVS

Joel 3 in the SBT

Joel 3 in the SBT1E

Joel 3 in the SCHL

Joel 3 in the SNT

Joel 3 in the SUSU

Joel 3 in the SUSU2

Joel 3 in the SYNO

Joel 3 in the TBIAOTANT

Joel 3 in the TBT1E

Joel 3 in the TBT1E2

Joel 3 in the TFTIP

Joel 3 in the TFTU

Joel 3 in the TGNTATF3T

Joel 3 in the THAI

Joel 3 in the TNFD

Joel 3 in the TNT

Joel 3 in the TNTIK

Joel 3 in the TNTIL

Joel 3 in the TNTIN

Joel 3 in the TNTIP

Joel 3 in the TNTIZ

Joel 3 in the TOMA

Joel 3 in the TTENT

Joel 3 in the UBG

Joel 3 in the UGV

Joel 3 in the UGV2

Joel 3 in the UGV3

Joel 3 in the VBL

Joel 3 in the VDCC

Joel 3 in the YALU

Joel 3 in the YAPE

Joel 3 in the YBVTP

Joel 3 in the ZBP