Obadiah 1 (BOKCV)
1 Maono ya Obadia. Hili ndilo asemalo BWANA Mwenyezi kuhusu Edomu:Tumesikia ujumbe kutoka kwa BWANA:Mjumbe alitumwa kwa mataifa kusema,“Inukeni, twendeni tukapigane vita dhidi yake.” 2 “Angalieni, nitawafanya wadogo miongoni mwa mataifa,mtadharauliwa kabisa. 3 Kiburi cha moyo wako kimekudanganya,wewe unayeishi katika majabali ya miambana kufanya makao yako juu,wewe unayejiambia mwenyewe,‘Ni nani awezaye kunishusha chini?’ 4 Ingawa unapaa juu kama taina kufanya kiota chako kati ya nyota,nitakushusha chini kutoka huko,”asema BWANA. 5 “Ikiwa wevi wangekuja kwako,ikiwa wanyangʼanyi wangekujia usiku:Lo! Tazama ni maafa kiasi gani yangekuwa yanakungojea:je, si wangeiba tu kiasi ambacho wangehitaji?Kama wachuma zabibu wangekuja kwako,je, wasingebakiza zabibu chache? 6 Lakini tazama jinsi Esau atakavyotekwa,jinsi hazina zake zilizofichwa zitatekwa nyara! 7 Wote ulioungana nao watakufukuza hadi mpakani,rafiki zako watakudanganya na kukushinda,wale wanaokula mkate wako watakutegea mtego,lakini hutaweza kuugundua. 8 “Katika siku hiyo,” asema BWANA,“je, sitaangamiza watu wenye hekima wa Edomu,watu wenye ufahamu katika milima ya Esau? 9 Ee Temani, mashujaa wako watatiwa hofu,kila mmoja katika milima ya Esauataangushwa chini kwa kuchinjwa. 10 Kwa sababu ya jeuri uliyofanya dhidi ya ndugu yako Yakobo,aibu itakufunika;utaangamizwa milele. 11 Siku ile ulisimama mbali ukiangaliawakati wageni walipojichukulia utajiri wakena watu wa nchi nyingine walipoingia malango yakewakipiga kura kwa ajili ya Yerusalemu,ulikuwa kama mmoja wao. 12 Usingemdharau ndugu yakokatika siku ya msiba wake,wala kufurahia juu ya watu wa Yudakatika siku ya maangamizi yao,wala kujigamba sanakatika siku ya taabu yao. 13 Usingeingia katika malango ya watu wangukatika siku ya maafa yao,wala kuwadharau katika janga laokatika siku ya maafa yao,wala kunyangʼanya mali zaokatika siku ya maafa yao. 14 Usingengoja kwenye njia pandana kuwaua wakimbizi wao,wala kuwatoa watu wake waliosaliakatika siku ya shida yao. 15 “Siku ya BWANA iko karibukwa mataifa yote.Kama ulivyofanya, nawe utafanyiwa vivyo hivyo,matendo yako yatakurudia juu ya kichwa chako. 16 Kama vile ulivyokunywa juu ya mlima wangu mtakatifu,vivyo hivyo mataifa yote watakunywa mfululizo,watakunywa na kunywa,nao watatoweka kana kwamba hawajawahi kuwepo. 17 Lakini katika Mlima Sayuni kutakuwepona wale watakaookoka;nao utakuwa mtakatifu,nayo nyumba ya Yakoboitamiliki urithi wake. 18 Nyumba ya Yakobo itakuwa moto,na nyumba ya Yosefu itakuwa mwali wa moto;nayo nyumba ya Esau itakuwa bua kavu,nao wataiwasha moto na kuiteketeza.Hakutakuwa na watakaosalimikakutoka nyumba ya Esau.” BWANA amesema. 19 Watu kutoka nchi ya Negebuwataikalia milima ya Esau,na watu kutoka miteremko ya vilimawatamiliki nchi ya Wafilisti.Watayakalia mashamba ya Efraimu na Samaria,naye Benyamini atamiliki Gileadi. 20 Kundi la Waisraeli walioko uhamishoni Kanaaniwatarudi na kumiliki nchi mpaka Sarepta.Walioko uhamishoni Sefaradi kutoka Yerusalemuwatamiliki miji ya Negebu. 21 Waokoaji watakwea juu ya Mlima Sayunikutawala milima ya Esau.Nao ufalme utakuwa wa BWANA.
In Other Versions
Obadiah 1 in the ANGEFD
Obadiah 1 in the ANTPNG2D
Obadiah 1 in the AS21
Obadiah 1 in the BAGH
Obadiah 1 in the BBPNG
Obadiah 1 in the BBT1E
Obadiah 1 in the BDS
Obadiah 1 in the BEV
Obadiah 1 in the BHAD
Obadiah 1 in the BIB
Obadiah 1 in the BLPT
Obadiah 1 in the BNT
Obadiah 1 in the BNTABOOT
Obadiah 1 in the BNTLV
Obadiah 1 in the BOATCB
Obadiah 1 in the BOATCB2
Obadiah 1 in the BOBCV
Obadiah 1 in the BOCNT
Obadiah 1 in the BOECS
Obadiah 1 in the BOGWICC
Obadiah 1 in the BOHCB
Obadiah 1 in the BOHCV
Obadiah 1 in the BOHLNT
Obadiah 1 in the BOHNTLTAL
Obadiah 1 in the BOICB
Obadiah 1 in the BOILNTAP
Obadiah 1 in the BOITCV
Obadiah 1 in the BOKCV2
Obadiah 1 in the BOKHWOG
Obadiah 1 in the BOKSSV
Obadiah 1 in the BOLCB
Obadiah 1 in the BOLCB2
Obadiah 1 in the BOMCV
Obadiah 1 in the BONAV
Obadiah 1 in the BONCB
Obadiah 1 in the BONLT
Obadiah 1 in the BONUT2
Obadiah 1 in the BOPLNT
Obadiah 1 in the BOSCB
Obadiah 1 in the BOSNC
Obadiah 1 in the BOTLNT
Obadiah 1 in the BOVCB
Obadiah 1 in the BOYCB
Obadiah 1 in the BPBB
Obadiah 1 in the BPH
Obadiah 1 in the BSB
Obadiah 1 in the CCB
Obadiah 1 in the CUV
Obadiah 1 in the CUVS
Obadiah 1 in the DBT
Obadiah 1 in the DGDNT
Obadiah 1 in the DHNT
Obadiah 1 in the DNT
Obadiah 1 in the ELBE
Obadiah 1 in the EMTV
Obadiah 1 in the ESV
Obadiah 1 in the FBV
Obadiah 1 in the FEB
Obadiah 1 in the GGMNT
Obadiah 1 in the GNT
Obadiah 1 in the HARY
Obadiah 1 in the HNT
Obadiah 1 in the IRVA
Obadiah 1 in the IRVB
Obadiah 1 in the IRVG
Obadiah 1 in the IRVH
Obadiah 1 in the IRVK
Obadiah 1 in the IRVM
Obadiah 1 in the IRVM2
Obadiah 1 in the IRVO
Obadiah 1 in the IRVP
Obadiah 1 in the IRVT
Obadiah 1 in the IRVT2
Obadiah 1 in the IRVU
Obadiah 1 in the ISVN
Obadiah 1 in the JSNT
Obadiah 1 in the KAPI
Obadiah 1 in the KBT1ETNIK
Obadiah 1 in the KBV
Obadiah 1 in the KJV
Obadiah 1 in the KNFD
Obadiah 1 in the LBA
Obadiah 1 in the LBLA
Obadiah 1 in the LNT
Obadiah 1 in the LSV
Obadiah 1 in the MAAL
Obadiah 1 in the MBV
Obadiah 1 in the MBV2
Obadiah 1 in the MHNT
Obadiah 1 in the MKNFD
Obadiah 1 in the MNG
Obadiah 1 in the MNT
Obadiah 1 in the MNT2
Obadiah 1 in the MRS1T
Obadiah 1 in the NAA
Obadiah 1 in the NASB
Obadiah 1 in the NBLA
Obadiah 1 in the NBS
Obadiah 1 in the NBVTP
Obadiah 1 in the NET2
Obadiah 1 in the NIV11
Obadiah 1 in the NNT
Obadiah 1 in the NNT2
Obadiah 1 in the NNT3
Obadiah 1 in the PDDPT
Obadiah 1 in the PFNT
Obadiah 1 in the RMNT
Obadiah 1 in the SBIAS
Obadiah 1 in the SBIBS
Obadiah 1 in the SBIBS2
Obadiah 1 in the SBICS
Obadiah 1 in the SBIDS
Obadiah 1 in the SBIGS
Obadiah 1 in the SBIHS
Obadiah 1 in the SBIIS
Obadiah 1 in the SBIIS2
Obadiah 1 in the SBIIS3
Obadiah 1 in the SBIKS
Obadiah 1 in the SBIKS2
Obadiah 1 in the SBIMS
Obadiah 1 in the SBIOS
Obadiah 1 in the SBIPS
Obadiah 1 in the SBISS
Obadiah 1 in the SBITS
Obadiah 1 in the SBITS2
Obadiah 1 in the SBITS3
Obadiah 1 in the SBITS4
Obadiah 1 in the SBIUS
Obadiah 1 in the SBIVS
Obadiah 1 in the SBT
Obadiah 1 in the SBT1E
Obadiah 1 in the SCHL
Obadiah 1 in the SNT
Obadiah 1 in the SUSU
Obadiah 1 in the SUSU2
Obadiah 1 in the SYNO
Obadiah 1 in the TBIAOTANT
Obadiah 1 in the TBT1E
Obadiah 1 in the TBT1E2
Obadiah 1 in the TFTIP
Obadiah 1 in the TFTU
Obadiah 1 in the TGNTATF3T
Obadiah 1 in the THAI
Obadiah 1 in the TNFD
Obadiah 1 in the TNT
Obadiah 1 in the TNTIK
Obadiah 1 in the TNTIL
Obadiah 1 in the TNTIN
Obadiah 1 in the TNTIP
Obadiah 1 in the TNTIZ
Obadiah 1 in the TOMA
Obadiah 1 in the TTENT
Obadiah 1 in the UBG
Obadiah 1 in the UGV
Obadiah 1 in the UGV2
Obadiah 1 in the UGV3
Obadiah 1 in the VBL
Obadiah 1 in the VDCC
Obadiah 1 in the YALU
Obadiah 1 in the YAPE
Obadiah 1 in the YBVTP
Obadiah 1 in the ZBP