Proverbs 15 (BOKCV)
1 Jawabu la upole hugeuza ghadhabu,bali neno liumizalo huchochea hasira. 2 Ulimi wa mwenye hekima husifu maarifa,bali kinywa cha mpumbavu hufoka upumbavu. 3 Macho ya BWANA yako kila mahali,yakiwaangalia waovu na wema. 4 Ulimi uletao uponyaji ni mti wa uzima,bali ulimi udanganyao huponda roho. 5 Mpumbavu hubeza maonyo ya baba yake,bali yeyote akubaliye maonyo huonyesha busara. 6 Nyumba ya mwenye haki ina hazina kubwa,bali mapato ya waovu huwaletea taabu. 7 Midomo ya mwenye hekima hueneza maarifa,bali sivyo ilivyo mioyo ya wapumbavu. 8 BWANA huchukia sana dhabihu za waovu,bali maombi ya wanyofu humfurahisha Mungu. 9 BWANA huchukia sana njia ya waovu,bali huwapenda wale wafuatao haki. 10 Adhabu kali humngoja yeye aachaye njia;yeye achukiaye maonyo atakufa. 11 Mauti na Uharibifu viko wazi mbele za BWANA:je, si zaidi sana mioyo ya wanadamu! 12 Mwenye mzaha huchukia maonyo;hatataka shauri kwa mwenye hekima. 13 Moyo wenye furaha hufanya uso uchangamke,bali maumivu ya moyoni huponda roho. 14 Moyo wa mwenye ufahamu hutafuta maarifa,bali kinywa cha mpumbavu hujilisha upumbavu. 15 Siku zote za wanaoonewa ni za taabu,bali moyo mchangamfu una karamu ya kudumu. 16 Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha BWANA,kuliko mali nyingi pamoja na ghasia. 17 Afadhali chakula cha mboga mahali palipo na upendokuliko nyama ya ndama iliyonona pamoja na chuki. 18 Mtu mwepesi wa hasira huchochea ugomvi,bali mtu mvumilivu hutuliza ugomvi. 19 Njia ya mvivu imezibwa na miiba,bali njia ya mwenye haki ni barabara kuu. 20 Mwana mwenye hekima huleta furaha kwa baba yake,bali mtu mpumbavu humdharau mama yake. 21 Upumbavu humfurahisha mtu ambaye hana akili,bali mtu mwenye ufahamu hushika njia iliyonyooka. 22 Mipango hushindwa kufanikiwa kwa ajili ya kukosa ushauri,bali kukiwa na washauri wengi hufanikiwa. 23 Mtu hupata furaha katika kutoa jibu linalofaa:je, ni zuri namna gani neno lililotoka kwa wakati wake! 24 Mapito ya uzima huelekea juu kwa ajili ya wenye hekimakumwepusha asiende chini kaburini. 25 BWANA hubomoa nyumba ya mtu mwenye kiburi,bali huilinda mipaka ya mjane isiguswe. 26 BWANA huchukia sana mawazo ya mwovu,bali mawazo ya wale walio safi humfurahisha yeye. 27 Mtu mwenye tamaa huletea jamaa yake taabu,bali yeye achukiaye rushwa ataishi. 28 Moyo wa mwenye haki hupima majibu yake,bali kinywa cha mwovu hufoka ubaya. 29 BWANA yuko mbali na waovu,bali husikia maombi ya wenye haki. 30 Mtazamo wa tabasamu huleta furaha moyoni,nazo habari njema huipa mifupa afya. 31 Yeye asikilizaye maonyo yatoayo uzimaatakuwa miongoni mwa wenye hekima. 32 Yeye anayedharau maonyo hujidharau mwenyewe,bali yeyote anayekubali maonyo hupata ufahamu. 33 Kumcha BWANA humfundisha mtu hekima,nao unyenyekevu huja kabla ya heshima.
In Other Versions
Proverbs 15 in the ANGEFD
Proverbs 15 in the ANTPNG2D
Proverbs 15 in the AS21
Proverbs 15 in the BAGH
Proverbs 15 in the BBPNG
Proverbs 15 in the BBT1E
Proverbs 15 in the BDS
Proverbs 15 in the BEV
Proverbs 15 in the BHAD
Proverbs 15 in the BIB
Proverbs 15 in the BLPT
Proverbs 15 in the BNT
Proverbs 15 in the BNTABOOT
Proverbs 15 in the BNTLV
Proverbs 15 in the BOATCB
Proverbs 15 in the BOATCB2
Proverbs 15 in the BOBCV
Proverbs 15 in the BOCNT
Proverbs 15 in the BOECS
Proverbs 15 in the BOGWICC
Proverbs 15 in the BOHCB
Proverbs 15 in the BOHCV
Proverbs 15 in the BOHLNT
Proverbs 15 in the BOHNTLTAL
Proverbs 15 in the BOICB
Proverbs 15 in the BOILNTAP
Proverbs 15 in the BOITCV
Proverbs 15 in the BOKCV2
Proverbs 15 in the BOKHWOG
Proverbs 15 in the BOKSSV
Proverbs 15 in the BOLCB
Proverbs 15 in the BOLCB2
Proverbs 15 in the BOMCV
Proverbs 15 in the BONAV
Proverbs 15 in the BONCB
Proverbs 15 in the BONLT
Proverbs 15 in the BONUT2
Proverbs 15 in the BOPLNT
Proverbs 15 in the BOSCB
Proverbs 15 in the BOSNC
Proverbs 15 in the BOTLNT
Proverbs 15 in the BOVCB
Proverbs 15 in the BOYCB
Proverbs 15 in the BPBB
Proverbs 15 in the BPH
Proverbs 15 in the BSB
Proverbs 15 in the CCB
Proverbs 15 in the CUV
Proverbs 15 in the CUVS
Proverbs 15 in the DBT
Proverbs 15 in the DGDNT
Proverbs 15 in the DHNT
Proverbs 15 in the DNT
Proverbs 15 in the ELBE
Proverbs 15 in the EMTV
Proverbs 15 in the ESV
Proverbs 15 in the FBV
Proverbs 15 in the FEB
Proverbs 15 in the GGMNT
Proverbs 15 in the GNT
Proverbs 15 in the HARY
Proverbs 15 in the HNT
Proverbs 15 in the IRVA
Proverbs 15 in the IRVB
Proverbs 15 in the IRVG
Proverbs 15 in the IRVH
Proverbs 15 in the IRVK
Proverbs 15 in the IRVM
Proverbs 15 in the IRVM2
Proverbs 15 in the IRVO
Proverbs 15 in the IRVP
Proverbs 15 in the IRVT
Proverbs 15 in the IRVT2
Proverbs 15 in the IRVU
Proverbs 15 in the ISVN
Proverbs 15 in the JSNT
Proverbs 15 in the KAPI
Proverbs 15 in the KBT1ETNIK
Proverbs 15 in the KBV
Proverbs 15 in the KJV
Proverbs 15 in the KNFD
Proverbs 15 in the LBA
Proverbs 15 in the LBLA
Proverbs 15 in the LNT
Proverbs 15 in the LSV
Proverbs 15 in the MAAL
Proverbs 15 in the MBV
Proverbs 15 in the MBV2
Proverbs 15 in the MHNT
Proverbs 15 in the MKNFD
Proverbs 15 in the MNG
Proverbs 15 in the MNT
Proverbs 15 in the MNT2
Proverbs 15 in the MRS1T
Proverbs 15 in the NAA
Proverbs 15 in the NASB
Proverbs 15 in the NBLA
Proverbs 15 in the NBS
Proverbs 15 in the NBVTP
Proverbs 15 in the NET2
Proverbs 15 in the NIV11
Proverbs 15 in the NNT
Proverbs 15 in the NNT2
Proverbs 15 in the NNT3
Proverbs 15 in the PDDPT
Proverbs 15 in the PFNT
Proverbs 15 in the RMNT
Proverbs 15 in the SBIAS
Proverbs 15 in the SBIBS
Proverbs 15 in the SBIBS2
Proverbs 15 in the SBICS
Proverbs 15 in the SBIDS
Proverbs 15 in the SBIGS
Proverbs 15 in the SBIHS
Proverbs 15 in the SBIIS
Proverbs 15 in the SBIIS2
Proverbs 15 in the SBIIS3
Proverbs 15 in the SBIKS
Proverbs 15 in the SBIKS2
Proverbs 15 in the SBIMS
Proverbs 15 in the SBIOS
Proverbs 15 in the SBIPS
Proverbs 15 in the SBISS
Proverbs 15 in the SBITS
Proverbs 15 in the SBITS2
Proverbs 15 in the SBITS3
Proverbs 15 in the SBITS4
Proverbs 15 in the SBIUS
Proverbs 15 in the SBIVS
Proverbs 15 in the SBT
Proverbs 15 in the SBT1E
Proverbs 15 in the SCHL
Proverbs 15 in the SNT
Proverbs 15 in the SUSU
Proverbs 15 in the SUSU2
Proverbs 15 in the SYNO
Proverbs 15 in the TBIAOTANT
Proverbs 15 in the TBT1E
Proverbs 15 in the TBT1E2
Proverbs 15 in the TFTIP
Proverbs 15 in the TFTU
Proverbs 15 in the TGNTATF3T
Proverbs 15 in the THAI
Proverbs 15 in the TNFD
Proverbs 15 in the TNT
Proverbs 15 in the TNTIK
Proverbs 15 in the TNTIL
Proverbs 15 in the TNTIN
Proverbs 15 in the TNTIP
Proverbs 15 in the TNTIZ
Proverbs 15 in the TOMA
Proverbs 15 in the TTENT
Proverbs 15 in the UBG
Proverbs 15 in the UGV
Proverbs 15 in the UGV2
Proverbs 15 in the UGV3
Proverbs 15 in the VBL
Proverbs 15 in the VDCC
Proverbs 15 in the YALU
Proverbs 15 in the YAPE
Proverbs 15 in the YBVTP
Proverbs 15 in the ZBP