Proverbs 30 (BOKCV)
1 Misemo ya Aguri mwana wa Yake, usia:Huyu mtu alimwambia Ithieli,naam, kwa Ithieli na kwa Ukali: 2 “Mimi ni mjinga kuliko wanadamu wote;sina ufahamu wa kibinadamu. 3 Sijajifunza hekima,wala sina maarifa ya kumjua yeye Aliye Mtakatifu. 4 Ni nani ameshapanda mbinguni na kushuka?Ni nani ameshakusanya upepokwenye vitanga vya mikono yake?Ni nani ameshafungia maji kwenye nguo yake?Ni nani ameimarisha miisho yote ya dunia?Jina lake ni nani, na mwanawe anaitwa nani?Niambie kama unajua! 5 “Kila neno la Mungu ni kamilifu;yeye ni ngao kwa wale wanaomkimbilia. 6 Usiongeze kwenye maneno yake,ama atakukemea na kukuthibitisha kuwa mwongo. 7 “Ninakuomba vitu viwili, Ee BWANA;usininyime kabla sijafa: 8 Uutenge mbali nami udanganyifu na uongo;usinipe umaskini wala utajiri,bali unipe chakula cha kunitosha kila siku. 9 Nisije nikawa na vingi vya kuzidi nikakukanana kusema, ‘BWANA ni nani?’Au nisije nikawa maskini nikaiba,nami nikaliaibisha jina la Mungu wangu. 10 “Usimchongee mtumishi kwa bwana wake,asije akakulaani, ukapatilizwa kwalo. 11 “Wako watu wale ambao huwalaani baba zaona wala hawawabariki mama zao; 12 wale ambao ni safi machoni pao wenyewekumbe hawakuoshwa uchafu wao; 13 wale ambao daima macho yao ni ya kiburi,ambao kutazama kwao ni kwa dharau; 14 wale ambao meno yao ni pangana ambao mataya yao yamewekwa visukuwaangamiza maskini katika nchi,na wahitaji kutoka miongoni mwa wanadamu. 15 “Mruba anao binti wawili waliao,‘Nipe! Nipe!’ “Kuna vitu vitatu visivyotosheka kamwe,naam, viko vinne visivyosema, ‘Yatosha!’: 16 Ni kaburi, tumbo lisilozaa,nchi isiyoshiba maji kamwe,na moto, usiosema kamwe, ‘Yatosha!’ 17 “Jicho lile limdhihakilo baba,lile linalodharau kumtii mama,litangʼolewa na kunguru wa bondeni,litaliwa na tai. 18 “Kuna vitu vitatu vinavyonishangaza sana,naam, vinne nisivyovielewa: 19 Ni mwendo wa tai katika anga,mwendo wa nyoka juu ya mwamba,mwendo wa meli katika maji makuu ya bahari,nao mwendo wa mtu pamoja na msichana. 20 “Huu ndio mwendo wa mwanamke mzinzi,hula akapangusa kinywa chake na kusema,‘Sikufanya chochote kibaya.’ 21 “Kwa mambo matatu nchi hutetemeka,naam, kwa mambo manne haiwezi kuvumilia: 22 Mtumwa awapo mfalme,mpumbavu ashibapo chakula, 23 mwanamke asiyependwa aolewapo,naye mtumishi wa kike achukuapo nafasi ya bibi yake. 24 “Vitu vinne duniani vilivyo vidogo,lakini vina akili nyingi sana: 25 Mchwa ni viumbe wenye nguvu ndogo,hata hivyo hujiwekea akiba ya chakula chao wakati wa kiangazi. 26 Pelele ni viumbe vyenye uwezo mdogohata hivyo hujitengenezea nyumba zao kwenye miamba. 27 Nzige hawana mfalme,hata hivyo huenda pamoja vikosi vikosi. 28 Mjusi anaweza kushikwa kwa mkono,hata hivyo huonekana katika majumba ya kifalme. 29 “Viko vitu vitatu ambavyo vinapendeza katika mwendo wao,naam, vinne ambavyo hutembea kwa mwendo wa madaha: 30 simba, mwenye nguvu miongoni mwa wanyama,asiyerudi nyuma kwa chochote; 31 jogoo atembeaye kwa maringo, pia beberu,naye mfalme pamoja na jeshi lake lililomzunguka. 32 “Ikiwa umefanya upumbavu na ukajitukuza mwenyewe,au kama umepanga mabaya,basi funika mdomo wako na mkono wako. 33 Kwa maana kama vile kusukasuka maziwa hutoa siagi,na pia kule kufinya pua hutoa damu,kadhalika kuchochea hasira hutokeza ugomvi.”
In Other Versions
Proverbs 30 in the ANGEFD
Proverbs 30 in the ANTPNG2D
Proverbs 30 in the AS21
Proverbs 30 in the BAGH
Proverbs 30 in the BBPNG
Proverbs 30 in the BBT1E
Proverbs 30 in the BDS
Proverbs 30 in the BEV
Proverbs 30 in the BHAD
Proverbs 30 in the BIB
Proverbs 30 in the BLPT
Proverbs 30 in the BNT
Proverbs 30 in the BNTABOOT
Proverbs 30 in the BNTLV
Proverbs 30 in the BOATCB
Proverbs 30 in the BOATCB2
Proverbs 30 in the BOBCV
Proverbs 30 in the BOCNT
Proverbs 30 in the BOECS
Proverbs 30 in the BOGWICC
Proverbs 30 in the BOHCB
Proverbs 30 in the BOHCV
Proverbs 30 in the BOHLNT
Proverbs 30 in the BOHNTLTAL
Proverbs 30 in the BOICB
Proverbs 30 in the BOILNTAP
Proverbs 30 in the BOITCV
Proverbs 30 in the BOKCV2
Proverbs 30 in the BOKHWOG
Proverbs 30 in the BOKSSV
Proverbs 30 in the BOLCB
Proverbs 30 in the BOLCB2
Proverbs 30 in the BOMCV
Proverbs 30 in the BONAV
Proverbs 30 in the BONCB
Proverbs 30 in the BONLT
Proverbs 30 in the BONUT2
Proverbs 30 in the BOPLNT
Proverbs 30 in the BOSCB
Proverbs 30 in the BOSNC
Proverbs 30 in the BOTLNT
Proverbs 30 in the BOVCB
Proverbs 30 in the BOYCB
Proverbs 30 in the BPBB
Proverbs 30 in the BPH
Proverbs 30 in the BSB
Proverbs 30 in the CCB
Proverbs 30 in the CUV
Proverbs 30 in the CUVS
Proverbs 30 in the DBT
Proverbs 30 in the DGDNT
Proverbs 30 in the DHNT
Proverbs 30 in the DNT
Proverbs 30 in the ELBE
Proverbs 30 in the EMTV
Proverbs 30 in the ESV
Proverbs 30 in the FBV
Proverbs 30 in the FEB
Proverbs 30 in the GGMNT
Proverbs 30 in the GNT
Proverbs 30 in the HARY
Proverbs 30 in the HNT
Proverbs 30 in the IRVA
Proverbs 30 in the IRVB
Proverbs 30 in the IRVG
Proverbs 30 in the IRVH
Proverbs 30 in the IRVK
Proverbs 30 in the IRVM
Proverbs 30 in the IRVM2
Proverbs 30 in the IRVO
Proverbs 30 in the IRVP
Proverbs 30 in the IRVT
Proverbs 30 in the IRVT2
Proverbs 30 in the IRVU
Proverbs 30 in the ISVN
Proverbs 30 in the JSNT
Proverbs 30 in the KAPI
Proverbs 30 in the KBT1ETNIK
Proverbs 30 in the KBV
Proverbs 30 in the KJV
Proverbs 30 in the KNFD
Proverbs 30 in the LBA
Proverbs 30 in the LBLA
Proverbs 30 in the LNT
Proverbs 30 in the LSV
Proverbs 30 in the MAAL
Proverbs 30 in the MBV
Proverbs 30 in the MBV2
Proverbs 30 in the MHNT
Proverbs 30 in the MKNFD
Proverbs 30 in the MNG
Proverbs 30 in the MNT
Proverbs 30 in the MNT2
Proverbs 30 in the MRS1T
Proverbs 30 in the NAA
Proverbs 30 in the NASB
Proverbs 30 in the NBLA
Proverbs 30 in the NBS
Proverbs 30 in the NBVTP
Proverbs 30 in the NET2
Proverbs 30 in the NIV11
Proverbs 30 in the NNT
Proverbs 30 in the NNT2
Proverbs 30 in the NNT3
Proverbs 30 in the PDDPT
Proverbs 30 in the PFNT
Proverbs 30 in the RMNT
Proverbs 30 in the SBIAS
Proverbs 30 in the SBIBS
Proverbs 30 in the SBIBS2
Proverbs 30 in the SBICS
Proverbs 30 in the SBIDS
Proverbs 30 in the SBIGS
Proverbs 30 in the SBIHS
Proverbs 30 in the SBIIS
Proverbs 30 in the SBIIS2
Proverbs 30 in the SBIIS3
Proverbs 30 in the SBIKS
Proverbs 30 in the SBIKS2
Proverbs 30 in the SBIMS
Proverbs 30 in the SBIOS
Proverbs 30 in the SBIPS
Proverbs 30 in the SBISS
Proverbs 30 in the SBITS
Proverbs 30 in the SBITS2
Proverbs 30 in the SBITS3
Proverbs 30 in the SBITS4
Proverbs 30 in the SBIUS
Proverbs 30 in the SBIVS
Proverbs 30 in the SBT
Proverbs 30 in the SBT1E
Proverbs 30 in the SCHL
Proverbs 30 in the SNT
Proverbs 30 in the SUSU
Proverbs 30 in the SUSU2
Proverbs 30 in the SYNO
Proverbs 30 in the TBIAOTANT
Proverbs 30 in the TBT1E
Proverbs 30 in the TBT1E2
Proverbs 30 in the TFTIP
Proverbs 30 in the TFTU
Proverbs 30 in the TGNTATF3T
Proverbs 30 in the THAI
Proverbs 30 in the TNFD
Proverbs 30 in the TNT
Proverbs 30 in the TNTIK
Proverbs 30 in the TNTIL
Proverbs 30 in the TNTIN
Proverbs 30 in the TNTIP
Proverbs 30 in the TNTIZ
Proverbs 30 in the TOMA
Proverbs 30 in the TTENT
Proverbs 30 in the UBG
Proverbs 30 in the UGV
Proverbs 30 in the UGV2
Proverbs 30 in the UGV3
Proverbs 30 in the VBL
Proverbs 30 in the VDCC
Proverbs 30 in the YALU
Proverbs 30 in the YAPE
Proverbs 30 in the YBVTP
Proverbs 30 in the ZBP