Psalms 104 (BOKCV)

1 Ee nafsi yangu, umhimidi BWANA. Ee BWANA Mungu wangu, wewe ni mkuu sana,umejivika utukufu na enzi. 2 Amejifunika katika nuru kama vile kwa vazi,amezitandaza mbingu kama hema 3 na kuziweka nguzo za orofa yake juu ya maji.Huyafanya mawingu kuwa gari lake,na hupanda kwenye mbawa za upepo. 4 Huzifanya pepo kuwa wajumbe wake,miali ya moto watumishi wake. 5 Ameiweka dunia kwenye misingi yake,haiwezi kamwe kuondoshwa. 6 Uliifunika kwa kilindi kama kwa vazi,maji yalisimama juu ya milima. 7 Lakini kwa kukemea kwako maji yalikimbia,kwa sauti ya radi yako yakatoroka, 8 yakapanda milima, yakateremka mabondeni,hadi mahali pale ulipoyakusudia. 9 Uliyawekea mpaka ambao hayawezi kuuvuka,kamwe hayataifunika dunia tena. 10 Huzifanya chemchemi zimwage maji mabondeni,hutiririka kati ya milima. 11 Huwapa maji wanyama wote wa kondeni,punda-mwitu huzima kiu yao. 12 Ndege wa angani hufanya viota kando ya maji,huimba katikati ya matawi. 13 Huinyeshea milima kutoka orofa zake,dunia inatoshelezwa kwa matunda ya kazi yake. 14 Huyafanya majani ya mifugo yaote,na mimea kwa watu kulima,wajipatie chakula kutoka ardhini: 15 divai ya kuufurahisha moyo wa mwanadamu,mafuta kwa ajili ya kungʼarisha uso wake,na mkate wa kutia mwili nguvu. 16 Miti ya BWANA inanyeshewa vizuri,mierezi ya Lebanoni aliyoipanda. 17 Humo ndege hufanya viota vyao,korongo ana nyumba yake kwenye msunobari. 18 Milima mirefu ni makao ya mbuzi-mwitu,majabali ni kimbilio la pelele. 19 Mwezi hugawanya majira,na jua hutambua wakati wake wa kutua. 20 Unaleta giza, kunakuwa usiku,wanyama wote wa mwituni huzurura. 21 Simba hunguruma kwa mawindo yao,na kutafuta chakula chao kutoka kwa Mungu. 22 Jua huchomoza, nao huondoka,hurudi na kulala katika mapango yao. 23 Kisha mwanadamu huenda kazini mwake,katika kazi yake mpaka jioni. 24 Ee BWANA, jinsi matendo yako yalivyo mengi!Kwa hekima ulizifanya zote,dunia imejaa viumbe vyako. 25 Pale kuna bahari, kubwa na yenye nafasi tele,imejaa viumbe visivyo na idadi,vitu vyenye uhai vikubwa na vidogo. 26 Huko meli huenda na kurudi,pia Lewiathani, uliyemuumba acheze ndani yake. 27 Hawa wote wanakutazamia wewe,uwape chakula chao kwa wakati wake. 28 Wakati unapowapa,wanakikusanya,unapofumbua mkono wako,wao wanashibishwa mema. 29 Unapoficha uso wako,wanapata hofu,unapoondoa pumzi yao,wanakufa na kurudi mavumbini. 30 Unapopeleka Roho wako,wanaumbwa,nawe huufanya upya uso wa dunia. 31 Utukufu wa BWANA na udumu milele, BWANA na azifurahie kazi zake: 32 yeye aitazamaye dunia, nayo ikatetemeka,aigusaye milima, nayo ikatoa moshi. 33 Nitamwimbia BWANA maisha yangu yote;nitaimba sifa kwa Mungu wangu muda wote ninaoishi. 34 Kutafakari kwangu na kumpendeze yeye,ninapofurahi katika BWANA. 35 Lakini wenye dhambi na watoweke katika duniana waovu wasiwepo tena. Ee nafsi yangu, msifu BWANA. Msifuni BWANA.

In Other Versions

Psalms 104 in the ANGEFD

Psalms 104 in the ANTPNG2D

Psalms 104 in the AS21

Psalms 104 in the BAGH

Psalms 104 in the BBPNG

Psalms 104 in the BBT1E

Psalms 104 in the BDS

Psalms 104 in the BEV

Psalms 104 in the BHAD

Psalms 104 in the BIB

Psalms 104 in the BLPT

Psalms 104 in the BNT

Psalms 104 in the BNTABOOT

Psalms 104 in the BNTLV

Psalms 104 in the BOATCB

Psalms 104 in the BOATCB2

Psalms 104 in the BOBCV

Psalms 104 in the BOCNT

Psalms 104 in the BOECS

Psalms 104 in the BOGWICC

Psalms 104 in the BOHCB

Psalms 104 in the BOHCV

Psalms 104 in the BOHLNT

Psalms 104 in the BOHNTLTAL

Psalms 104 in the BOICB

Psalms 104 in the BOILNTAP

Psalms 104 in the BOITCV

Psalms 104 in the BOKCV2

Psalms 104 in the BOKHWOG

Psalms 104 in the BOKSSV

Psalms 104 in the BOLCB

Psalms 104 in the BOLCB2

Psalms 104 in the BOMCV

Psalms 104 in the BONAV

Psalms 104 in the BONCB

Psalms 104 in the BONLT

Psalms 104 in the BONUT2

Psalms 104 in the BOPLNT

Psalms 104 in the BOSCB

Psalms 104 in the BOSNC

Psalms 104 in the BOTLNT

Psalms 104 in the BOVCB

Psalms 104 in the BOYCB

Psalms 104 in the BPBB

Psalms 104 in the BPH

Psalms 104 in the BSB

Psalms 104 in the CCB

Psalms 104 in the CUV

Psalms 104 in the CUVS

Psalms 104 in the DBT

Psalms 104 in the DGDNT

Psalms 104 in the DHNT

Psalms 104 in the DNT

Psalms 104 in the ELBE

Psalms 104 in the EMTV

Psalms 104 in the ESV

Psalms 104 in the FBV

Psalms 104 in the FEB

Psalms 104 in the GGMNT

Psalms 104 in the GNT

Psalms 104 in the HARY

Psalms 104 in the HNT

Psalms 104 in the IRVA

Psalms 104 in the IRVB

Psalms 104 in the IRVG

Psalms 104 in the IRVH

Psalms 104 in the IRVK

Psalms 104 in the IRVM

Psalms 104 in the IRVM2

Psalms 104 in the IRVO

Psalms 104 in the IRVP

Psalms 104 in the IRVT

Psalms 104 in the IRVT2

Psalms 104 in the IRVU

Psalms 104 in the ISVN

Psalms 104 in the JSNT

Psalms 104 in the KAPI

Psalms 104 in the KBT1ETNIK

Psalms 104 in the KBV

Psalms 104 in the KJV

Psalms 104 in the KNFD

Psalms 104 in the LBA

Psalms 104 in the LBLA

Psalms 104 in the LNT

Psalms 104 in the LSV

Psalms 104 in the MAAL

Psalms 104 in the MBV

Psalms 104 in the MBV2

Psalms 104 in the MHNT

Psalms 104 in the MKNFD

Psalms 104 in the MNG

Psalms 104 in the MNT

Psalms 104 in the MNT2

Psalms 104 in the MRS1T

Psalms 104 in the NAA

Psalms 104 in the NASB

Psalms 104 in the NBLA

Psalms 104 in the NBS

Psalms 104 in the NBVTP

Psalms 104 in the NET2

Psalms 104 in the NIV11

Psalms 104 in the NNT

Psalms 104 in the NNT2

Psalms 104 in the NNT3

Psalms 104 in the PDDPT

Psalms 104 in the PFNT

Psalms 104 in the RMNT

Psalms 104 in the SBIAS

Psalms 104 in the SBIBS

Psalms 104 in the SBIBS2

Psalms 104 in the SBICS

Psalms 104 in the SBIDS

Psalms 104 in the SBIGS

Psalms 104 in the SBIHS

Psalms 104 in the SBIIS

Psalms 104 in the SBIIS2

Psalms 104 in the SBIIS3

Psalms 104 in the SBIKS

Psalms 104 in the SBIKS2

Psalms 104 in the SBIMS

Psalms 104 in the SBIOS

Psalms 104 in the SBIPS

Psalms 104 in the SBISS

Psalms 104 in the SBITS

Psalms 104 in the SBITS2

Psalms 104 in the SBITS3

Psalms 104 in the SBITS4

Psalms 104 in the SBIUS

Psalms 104 in the SBIVS

Psalms 104 in the SBT

Psalms 104 in the SBT1E

Psalms 104 in the SCHL

Psalms 104 in the SNT

Psalms 104 in the SUSU

Psalms 104 in the SUSU2

Psalms 104 in the SYNO

Psalms 104 in the TBIAOTANT

Psalms 104 in the TBT1E

Psalms 104 in the TBT1E2

Psalms 104 in the TFTIP

Psalms 104 in the TFTU

Psalms 104 in the TGNTATF3T

Psalms 104 in the THAI

Psalms 104 in the TNFD

Psalms 104 in the TNT

Psalms 104 in the TNTIK

Psalms 104 in the TNTIL

Psalms 104 in the TNTIN

Psalms 104 in the TNTIP

Psalms 104 in the TNTIZ

Psalms 104 in the TOMA

Psalms 104 in the TTENT

Psalms 104 in the UBG

Psalms 104 in the UGV

Psalms 104 in the UGV2

Psalms 104 in the UGV3

Psalms 104 in the VBL

Psalms 104 in the VDCC

Psalms 104 in the YALU

Psalms 104 in the YAPE

Psalms 104 in the YBVTP

Psalms 104 in the ZBP