Hosea 2 (BOKCV)

1 “Waambie ndugu zako, ‘Watu wangu,’ na pia waambie dada zako, ‘Wapendwa wangu.’ 2 “Mkemeeni mama yenu, mkemeeni,kwa maana yeye si mke wangu,nami si mume wake.Aondoe sura ya uzinzi katika uso wakena uzinzi kati ya matiti yake. 3 Kama sivyo nitamvua nguo zake awe uchina kumwacha uchi kama siku ile aliyozaliwa.Nitamfanya kama jangwa,nitamgeuza awe nchi ya kiu,nami nitamuua kwa kiu. 4 Sitaonyesha upendo wangu kwa watoto wake,kwa sababu ni watoto wa uzinzi. 5 Mama yao amekosa uaminifuna amewachukua mimba katika aibu.Gomeri alisema, ‘Nitawaendea wapenzi wangu,ambao hunipa chakula changuna maji yangu,sufu yangu na kitani yangu, mafuta yanguna kinywaji changu.’ 6 Kwa hiyo mimi Mungu nitaizuia njia yakekwa vichaka vya miiba,nitamjengea ukuta ili kwambaasiweze kutoka. 7 Gomeri atawafuatia wapenzi wake lakini hatawapata;atawatafuta lakini hatawapata.Kisha atasema,‘Nitarudi kwa mume wangu kama kwanza,kwa maana nilikuwa na hali njema zaidikuliko sasa.’ 8 Gomeri hajakubali kuwa mimi ndiyeniliyempa nafaka, divai mpya na mafuta,niliyemwongezea fedha na dhahabu waliyoitumiakwa kumtumikia Baali. 9 “Kwa hiyo nitachukua nafaka yangu wakati itakapokomaana divai yangu mpya wakati itakapokuwa tayari.Nitamnyangʼanya sufu yangu na kitani yanguiliyokusudiwa kufunika uchi wake. 10 Basi sasa nitaufunua ufisadi wakembele ya wapenzi wake;hakuna yeyote atakayemtoamikononi mwangu. 11 Nitakomesha furaha na macheko yake yote:sikukuu zake za mwaka,sikukuu za Miandamo ya Mwezi,siku zake za Sabato,sikukuu zake zote zilizoamriwa. 12 Nitaiharibu mizabibu yake na mitini yake,ambayo alisema yalikuwa malipo yakekutoka kwa wapenzi wake;nitaifanya kuwa kichaka,nao wanyama pori wataila. 13 Nitamwadhibu kwa ajili ya sikualizowafukizia uvumba Mabaali;alipojipamba kwa petena kwa vito vya thamani,na kuwaendea wapenzi wake,lakini mimi alinisahau,”asema BWANA. 14 “Kwa hiyo sasa nitamshawishi;nitamwongoza hadi jangwanina kuzungumza naye kwa upole. 15 Huko nitamrudishia mashamba yake ya mizabibu,nami nitalifanya Bonde la Akorimlango wa matumaini.Huko ataimba kama alivyofanya katika siku za ujana wake,kama siku zile alizotoka Misri. 16 “Katika siku ile,” asema BWANA,“utaniita mimi ‘Mume wangu’;hutaniita tena mimi ‘Bwana wangu.’ 17 Nitaondoa majina ya Mabaali kutoka midomoni mwake,wala hataomba tena kwa majina yao. 18 Katika siku ile nitafanya Agano kwa ajili yaona wanyama wa kondeni, na ndege wa angani,na viumbe vile vitambaavyo ardhini.Upinde, upanga na vita,nitaondolea mbali katika nchi,ili kwamba wote waweze kukaa salama. 19 Nitakuposa uwe wangu milele;nitakuposa kwa uadilifu na haki,kwa upendo na huruma. 20 Nitakuposa kwa uaminifu,nawe utamkubali BWANA. 21 “Katika siku ile nitajibu,”asema BWANA,“nitajibu kwa anga,nazo anga zitajibu kwa nchi; 22 nayo nchi itajibu kwa nafaka,divai mpya na mafuta,navyo vitajibu kwa Yezreeli. 23 Nitampanda katika nchi kwa ajili yangu mwenyewe;nami nitaonyesha pendo langu kwakeyule ambaye nilimwita, ‘Si mpenzi wangu.’Nitawaambia wale walioitwa, ‘Sio watu wangu,’‘Ninyi ni watu wangu’;nao watasema, ‘Wewe ndiwe Mungu wangu.’ ”

In Other Versions

Hosea 2 in the ANGEFD

Hosea 2 in the ANTPNG2D

Hosea 2 in the AS21

Hosea 2 in the BAGH

Hosea 2 in the BBPNG

Hosea 2 in the BBT1E

Hosea 2 in the BDS

Hosea 2 in the BEV

Hosea 2 in the BHAD

Hosea 2 in the BIB

Hosea 2 in the BLPT

Hosea 2 in the BNT

Hosea 2 in the BNTABOOT

Hosea 2 in the BNTLV

Hosea 2 in the BOATCB

Hosea 2 in the BOATCB2

Hosea 2 in the BOBCV

Hosea 2 in the BOCNT

Hosea 2 in the BOECS

Hosea 2 in the BOGWICC

Hosea 2 in the BOHCB

Hosea 2 in the BOHCV

Hosea 2 in the BOHLNT

Hosea 2 in the BOHNTLTAL

Hosea 2 in the BOICB

Hosea 2 in the BOILNTAP

Hosea 2 in the BOITCV

Hosea 2 in the BOKCV2

Hosea 2 in the BOKHWOG

Hosea 2 in the BOKSSV

Hosea 2 in the BOLCB

Hosea 2 in the BOLCB2

Hosea 2 in the BOMCV

Hosea 2 in the BONAV

Hosea 2 in the BONCB

Hosea 2 in the BONLT

Hosea 2 in the BONUT2

Hosea 2 in the BOPLNT

Hosea 2 in the BOSCB

Hosea 2 in the BOSNC

Hosea 2 in the BOTLNT

Hosea 2 in the BOVCB

Hosea 2 in the BOYCB

Hosea 2 in the BPBB

Hosea 2 in the BPH

Hosea 2 in the BSB

Hosea 2 in the CCB

Hosea 2 in the CUV

Hosea 2 in the CUVS

Hosea 2 in the DBT

Hosea 2 in the DGDNT

Hosea 2 in the DHNT

Hosea 2 in the DNT

Hosea 2 in the ELBE

Hosea 2 in the EMTV

Hosea 2 in the ESV

Hosea 2 in the FBV

Hosea 2 in the FEB

Hosea 2 in the GGMNT

Hosea 2 in the GNT

Hosea 2 in the HARY

Hosea 2 in the HNT

Hosea 2 in the IRVA

Hosea 2 in the IRVB

Hosea 2 in the IRVG

Hosea 2 in the IRVH

Hosea 2 in the IRVK

Hosea 2 in the IRVM

Hosea 2 in the IRVM2

Hosea 2 in the IRVO

Hosea 2 in the IRVP

Hosea 2 in the IRVT

Hosea 2 in the IRVT2

Hosea 2 in the IRVU

Hosea 2 in the ISVN

Hosea 2 in the JSNT

Hosea 2 in the KAPI

Hosea 2 in the KBT1ETNIK

Hosea 2 in the KBV

Hosea 2 in the KJV

Hosea 2 in the KNFD

Hosea 2 in the LBA

Hosea 2 in the LBLA

Hosea 2 in the LNT

Hosea 2 in the LSV

Hosea 2 in the MAAL

Hosea 2 in the MBV

Hosea 2 in the MBV2

Hosea 2 in the MHNT

Hosea 2 in the MKNFD

Hosea 2 in the MNG

Hosea 2 in the MNT

Hosea 2 in the MNT2

Hosea 2 in the MRS1T

Hosea 2 in the NAA

Hosea 2 in the NASB

Hosea 2 in the NBLA

Hosea 2 in the NBS

Hosea 2 in the NBVTP

Hosea 2 in the NET2

Hosea 2 in the NIV11

Hosea 2 in the NNT

Hosea 2 in the NNT2

Hosea 2 in the NNT3

Hosea 2 in the PDDPT

Hosea 2 in the PFNT

Hosea 2 in the RMNT

Hosea 2 in the SBIAS

Hosea 2 in the SBIBS

Hosea 2 in the SBIBS2

Hosea 2 in the SBICS

Hosea 2 in the SBIDS

Hosea 2 in the SBIGS

Hosea 2 in the SBIHS

Hosea 2 in the SBIIS

Hosea 2 in the SBIIS2

Hosea 2 in the SBIIS3

Hosea 2 in the SBIKS

Hosea 2 in the SBIKS2

Hosea 2 in the SBIMS

Hosea 2 in the SBIOS

Hosea 2 in the SBIPS

Hosea 2 in the SBISS

Hosea 2 in the SBITS

Hosea 2 in the SBITS2

Hosea 2 in the SBITS3

Hosea 2 in the SBITS4

Hosea 2 in the SBIUS

Hosea 2 in the SBIVS

Hosea 2 in the SBT

Hosea 2 in the SBT1E

Hosea 2 in the SCHL

Hosea 2 in the SNT

Hosea 2 in the SUSU

Hosea 2 in the SUSU2

Hosea 2 in the SYNO

Hosea 2 in the TBIAOTANT

Hosea 2 in the TBT1E

Hosea 2 in the TBT1E2

Hosea 2 in the TFTIP

Hosea 2 in the TFTU

Hosea 2 in the TGNTATF3T

Hosea 2 in the THAI

Hosea 2 in the TNFD

Hosea 2 in the TNT

Hosea 2 in the TNTIK

Hosea 2 in the TNTIL

Hosea 2 in the TNTIN

Hosea 2 in the TNTIP

Hosea 2 in the TNTIZ

Hosea 2 in the TOMA

Hosea 2 in the TTENT

Hosea 2 in the UBG

Hosea 2 in the UGV

Hosea 2 in the UGV2

Hosea 2 in the UGV3

Hosea 2 in the VBL

Hosea 2 in the VDCC

Hosea 2 in the YALU

Hosea 2 in the YAPE

Hosea 2 in the YBVTP

Hosea 2 in the ZBP