Jeremiah 17 (BOKCV)

1 “Dhambi ya Yuda imechorwa kwa kalamu ya chuma,imeandikwa kwa ncha ya almasi,kwenye vibao vya mioyo yaona kwenye pembe za madhabahu zao. 2 Hata watoto wao wanakumbuka madhabahu zaona nguzo za Ashera,kandokando ya miti iliyotandana juu ya vilima virefu. 3 Mlima wangu katika nchi pamoja na utajirina hazina zako zote nitazitoa ziwe nyara,pamoja na mahali pako pa juu pa kuabudia miungukwa sababu ya dhambi katika nchi yako yote. 4 Kwa kosa lako mwenyewe utaupotezaurithi niliokupa.Nitakufanya mtumwa wa adui zakokatika nchi usiyoijua,kwa kuwa umeiwasha hasira yangu,nayo itawaka milele.” 5 Hili ndilo asemalo BWANA:“Amelaaniwa yeye amtegemeaye mwanadamu,ategemeaye mwenye mwilikwa ajili ya nguvu zake,ambaye moyo wakeumemwacha BWANA. 6 Atakuwa kama kichaka cha jangwani;hataona mafanikio yatakapokuja.Ataishi katika sehemu zisizo na maji,katika nchi ya chumvi ambapohakuna yeyote aishiye humo. 7 “Lakini amebarikiwa mtu ambaye tumaini lake ni katika BWANA,ambaye matumaini yake ni katika BWANA. 8 Atakuwa kama mti uliopandwa kando ya majiuenezao mizizi yake karibu na kijito cha maji.Hauogopi wakati wa joto ujapo;majani yake ni mabichi daima.Hauna hofu katika mwaka wa ukamena hautaacha kuzaa matunda.” 9 Moyo ni mdanganyifu kuliko vitu vyote,ni mwovu kupita kiasi.Ni nani awezaye kuujua? 10 “Mimi BWANA huchunguza moyona kuzijaribu nia,ili kumlipa mtu kwa kadiri ya mwenendo wake,kwa kadiri ya matendo yake yanavyostahili.” 11 Kama kware aanguaye mayai asiyoyataga,ndivyo alivyo mtu apataye mali kwa njia zisizo za haki.Maisha yake yafikapo katikati, siku zitamwacha,na mwishoni atabainika kuwa mpumbavu. 12 Kiti cha enzi kilichotukuzwa, kilichoinuliwa tangu mwanzo,ndiyo sehemu yetu ya mahali patakatifu. 13 Ee BWANA, uliye tumaini la Israeli,wote wakuachao wataaibika.Wale wanaogeukia mbali nawe wataandikwa mavumbinikwa sababu wamemwacha BWANA,chemchemi ya maji yaliyo hai. 14 Uniponye, Ee BWANA, nami nitaponyeka;uniokoe nami nitaokoka,kwa maana wewe ndiwe ninayekusifu. 15 Wao huendelea kuniambia,“Liko wapi neno la BWANA?Sasa na litimie!” 16 Sijakukimbia na kuacha kuwa mchungaji wako;unajua sijaitamani siku ya kukata tamaa.Kile kipitacho midomoni mwanguki wazi mbele yako. 17 Usiwe kwangu kitu cha kunitia hofu kuu;wewe ndiwe kimbilio langu katika siku ya maafa. 18 Watesi wangu na waaibishwe,lakini nilinde mimi nisiaibike;wao na watiwe hofu kuu,lakini unilinde mimi na hofu kuu.Waletee siku ya maafa;waangamize kwa maangamizi maradufu. 19 Hili ndilo BWANA aliloniambia: “Nenda ukasimame kwenye lango la watu, mahali ambako wafalme wa Yuda huingilia na kutokea, simama pia kwenye malango mengine yote ya Yerusalemu. 20 Waambie, ‘Sikieni neno la BWANA, enyi wafalme wa Yuda, nanyi watu wote wa Yuda, na kila mmoja aishiye Yerusalemu apitaye katika malango haya. 21 Hili ndilo asemalo BWANA: Jihadharini msije mkabeba mzigo siku ya Sabato, wala kuingiza mzigo kupitia malango ya Yerusalemu. 22 Msitoe mizigo nje ya nyumba zenu wala kufanya kazi yoyote wakati wa Sabato, lakini itakaseni siku ya Sabato, kama nilivyowaamuru baba zenu. 23 Hata hivyo hawakusikiliza wala kujali, walishupaza shingo zao, na hawakutaka kusikia wala kukubali adhabu. 24 Lakini mkiwa waangalifu kunitii, asema BWANA, nanyi msipoleta mzigo wowote kupitia malango ya mji huu wakati wa Sabato, lakini mkaitakasa siku ya Sabato kwa kutofanya kazi siku hiyo, 25 ndipo wafalme wakaao juu ya kiti cha enzi cha Daudi wataingia kupitia malango ya mji huu, pamoja na maafisa wao. Wao na maafisa wao watakuja wakiwa wamepanda magari na farasi, wakiandamana na watu wa Yuda na wale waishio Yerusalemu, nao mji huu utakaliwa na watu daima. 26 Watu watakuja kutoka miji ya Yuda na vijiji vinavyoizunguka Yerusalemu, kutoka nchi ya Benyamini na chini ya vilima vya magharibi, kutoka nchi ya vilima na Negebu, wakileta sadaka za kuteketezwa na dhabihu, sadaka za nafaka, uvumba na sadaka za shukrani kwenye nyumba ya BWANA. 27 Lakini ikiwa hamtanitii mimi kwa kuitakasa Sabato na kwa kutochukua mzigo wowote mnapoingia katika malango ya Yerusalemu wakati wa Sabato, basi nitawasha moto usiozimika katika malango ya Yerusalemu utakaoteketeza ngome zake.’ ”

In Other Versions

Jeremiah 17 in the ANGEFD

Jeremiah 17 in the ANTPNG2D

Jeremiah 17 in the AS21

Jeremiah 17 in the BAGH

Jeremiah 17 in the BBPNG

Jeremiah 17 in the BBT1E

Jeremiah 17 in the BDS

Jeremiah 17 in the BEV

Jeremiah 17 in the BHAD

Jeremiah 17 in the BIB

Jeremiah 17 in the BLPT

Jeremiah 17 in the BNT

Jeremiah 17 in the BNTABOOT

Jeremiah 17 in the BNTLV

Jeremiah 17 in the BOATCB

Jeremiah 17 in the BOATCB2

Jeremiah 17 in the BOBCV

Jeremiah 17 in the BOCNT

Jeremiah 17 in the BOECS

Jeremiah 17 in the BOGWICC

Jeremiah 17 in the BOHCB

Jeremiah 17 in the BOHCV

Jeremiah 17 in the BOHLNT

Jeremiah 17 in the BOHNTLTAL

Jeremiah 17 in the BOICB

Jeremiah 17 in the BOILNTAP

Jeremiah 17 in the BOITCV

Jeremiah 17 in the BOKCV2

Jeremiah 17 in the BOKHWOG

Jeremiah 17 in the BOKSSV

Jeremiah 17 in the BOLCB

Jeremiah 17 in the BOLCB2

Jeremiah 17 in the BOMCV

Jeremiah 17 in the BONAV

Jeremiah 17 in the BONCB

Jeremiah 17 in the BONLT

Jeremiah 17 in the BONUT2

Jeremiah 17 in the BOPLNT

Jeremiah 17 in the BOSCB

Jeremiah 17 in the BOSNC

Jeremiah 17 in the BOTLNT

Jeremiah 17 in the BOVCB

Jeremiah 17 in the BOYCB

Jeremiah 17 in the BPBB

Jeremiah 17 in the BPH

Jeremiah 17 in the BSB

Jeremiah 17 in the CCB

Jeremiah 17 in the CUV

Jeremiah 17 in the CUVS

Jeremiah 17 in the DBT

Jeremiah 17 in the DGDNT

Jeremiah 17 in the DHNT

Jeremiah 17 in the DNT

Jeremiah 17 in the ELBE

Jeremiah 17 in the EMTV

Jeremiah 17 in the ESV

Jeremiah 17 in the FBV

Jeremiah 17 in the FEB

Jeremiah 17 in the GGMNT

Jeremiah 17 in the GNT

Jeremiah 17 in the HARY

Jeremiah 17 in the HNT

Jeremiah 17 in the IRVA

Jeremiah 17 in the IRVB

Jeremiah 17 in the IRVG

Jeremiah 17 in the IRVH

Jeremiah 17 in the IRVK

Jeremiah 17 in the IRVM

Jeremiah 17 in the IRVM2

Jeremiah 17 in the IRVO

Jeremiah 17 in the IRVP

Jeremiah 17 in the IRVT

Jeremiah 17 in the IRVT2

Jeremiah 17 in the IRVU

Jeremiah 17 in the ISVN

Jeremiah 17 in the JSNT

Jeremiah 17 in the KAPI

Jeremiah 17 in the KBT1ETNIK

Jeremiah 17 in the KBV

Jeremiah 17 in the KJV

Jeremiah 17 in the KNFD

Jeremiah 17 in the LBA

Jeremiah 17 in the LBLA

Jeremiah 17 in the LNT

Jeremiah 17 in the LSV

Jeremiah 17 in the MAAL

Jeremiah 17 in the MBV

Jeremiah 17 in the MBV2

Jeremiah 17 in the MHNT

Jeremiah 17 in the MKNFD

Jeremiah 17 in the MNG

Jeremiah 17 in the MNT

Jeremiah 17 in the MNT2

Jeremiah 17 in the MRS1T

Jeremiah 17 in the NAA

Jeremiah 17 in the NASB

Jeremiah 17 in the NBLA

Jeremiah 17 in the NBS

Jeremiah 17 in the NBVTP

Jeremiah 17 in the NET2

Jeremiah 17 in the NIV11

Jeremiah 17 in the NNT

Jeremiah 17 in the NNT2

Jeremiah 17 in the NNT3

Jeremiah 17 in the PDDPT

Jeremiah 17 in the PFNT

Jeremiah 17 in the RMNT

Jeremiah 17 in the SBIAS

Jeremiah 17 in the SBIBS

Jeremiah 17 in the SBIBS2

Jeremiah 17 in the SBICS

Jeremiah 17 in the SBIDS

Jeremiah 17 in the SBIGS

Jeremiah 17 in the SBIHS

Jeremiah 17 in the SBIIS

Jeremiah 17 in the SBIIS2

Jeremiah 17 in the SBIIS3

Jeremiah 17 in the SBIKS

Jeremiah 17 in the SBIKS2

Jeremiah 17 in the SBIMS

Jeremiah 17 in the SBIOS

Jeremiah 17 in the SBIPS

Jeremiah 17 in the SBISS

Jeremiah 17 in the SBITS

Jeremiah 17 in the SBITS2

Jeremiah 17 in the SBITS3

Jeremiah 17 in the SBITS4

Jeremiah 17 in the SBIUS

Jeremiah 17 in the SBIVS

Jeremiah 17 in the SBT

Jeremiah 17 in the SBT1E

Jeremiah 17 in the SCHL

Jeremiah 17 in the SNT

Jeremiah 17 in the SUSU

Jeremiah 17 in the SUSU2

Jeremiah 17 in the SYNO

Jeremiah 17 in the TBIAOTANT

Jeremiah 17 in the TBT1E

Jeremiah 17 in the TBT1E2

Jeremiah 17 in the TFTIP

Jeremiah 17 in the TFTU

Jeremiah 17 in the TGNTATF3T

Jeremiah 17 in the THAI

Jeremiah 17 in the TNFD

Jeremiah 17 in the TNT

Jeremiah 17 in the TNTIK

Jeremiah 17 in the TNTIL

Jeremiah 17 in the TNTIN

Jeremiah 17 in the TNTIP

Jeremiah 17 in the TNTIZ

Jeremiah 17 in the TOMA

Jeremiah 17 in the TTENT

Jeremiah 17 in the UBG

Jeremiah 17 in the UGV

Jeremiah 17 in the UGV2

Jeremiah 17 in the UGV3

Jeremiah 17 in the VBL

Jeremiah 17 in the VDCC

Jeremiah 17 in the YALU

Jeremiah 17 in the YAPE

Jeremiah 17 in the YBVTP

Jeremiah 17 in the ZBP