Ezekiel 27 (BOKCV)

1 Neno la BWANA likanijia kusema: 2 “Mwanadamu, fanya maombolezo kwa ajili ya Tiro. 3 Umwambie Tiro, ulioko kwenye lango la bahari, ufanyao biashara na mataifa mengi ya pwani, ‘Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo:“ ‘Ee Tiro, wewe umesema,“Mimi ni mkamilifu katika uzuri.” 4 Mipaka yako ilikuwa katika moyo wa bahari,wajenzi wako walikamilisha uzuri wako. 5 Walizifanya mbao zako zotekwa misunobari itokayo Seniri;walichukua mierezi kutoka Lebanonikukutengenezea mlingoti. 6 Walichukua mialoni toka Bashaniwakakutengenezea makasia yako;kwa miti ya msandukukutoka pwani ya Kitimuwakatengeneza sitaha yakona kuipamba kwa pembe za ndovu. 7 Kitani safi kilichotariziwa kutoka Misri kilikuwa tanga lako,nacho kilikuwa bendera yako;chandarua chako kilikuwa cha rangi ya buluu na ya zambaraukutoka visiwa vya Elisha. 8 Watu kutoka Sidoni na Arvadi walikuwa wapiga makasia yako;watu wako wenye ustadi, ee Tiro,walikuwa ndio mabaharia wako. 9 Wazee wa Gebali pamoja na mafundi stadiwalikuwa mafundi wako melini.Meli zote za baharini na mabaharia waowalikuja kwako ili kubadilishana bidhaa zako. 10 “ ‘Watu wa Uajemi, Ludi na Putuwalikuwa askari katika jeshi lako.Walitundika ngao zao na chapeo zao kwenye kuta zako,wakileta fahari yako. 11 Watu wa Arvadi na wa Helekiwalikuwa juu ya kuta zako pande zote;watu wa Gamadiwalikuwa kwenye minara yako.Walitundika ngao zao kuzizunguka kuta zako;wakaukamilisha uzuri wako. 12 “ ‘Tarshishi walifanya biashara nawe kwa sababu ya utajiri wako mkubwa wa bidhaa, walibadilisha fedha, chuma, bati na risasi kwa mali zako. 13 “ ‘Uyunani, Tubali na Mesheki, walifanya biashara nawe, walibadilisha watumwa na vyombo vya shaba kwa bidhaa zako. 14 “ ‘Watu wa Beth-Togarma walibadilisha farasi wa mizigo, farasi wa vita na nyumbu kwa mali zako. 15 “ ‘Watu wa Dedani walifanya biashara nawe, watu wengi wa nchi za pwani walikuwa wachuuzi wako, walikulipa kwa pembe za ndovu na mpingo. 16 “ ‘Watu wa Aramu walifanya biashara nawe kwa ajili ya wingi wa kazi za mikono yako, wakibadilishana kwa almasi, vitambaa vya rangi ya zambarau, vitambaa vilivyotariziwa, kitani safi, matumbawe na akiki nyekundu. 17 “ ‘Yuda na Israeli walifanya biashara nawe, walibadilishana kwa ngano kutoka Minithi, mtama, asali, mafuta na zeri ya kuponyeshea. 18 “ ‘Dameski, kwa sababu ya wingi wa kazi za mikono yako na ukuu wa utajiri wa mali, walifanya biashara nawe wakibadilishana mvinyo kutoka Helboni na sufu kutoka Zahari. 19 “ ‘Wadani na Wayunani kutoka Uzali, walikuletea mali za biashara, nao wakabadilishana nawe chuma kilichofuliwa, mdalasini na mchaichai. 20 “ ‘Dedani alifanya biashara nawe kwa matandiko ya farasi. 21 “ ‘Arabuni na wakuu wote wa Kedari walikuwa wanunuzi wako waliobadilishana bidhaa zako na wana-kondoo, kondoo dume na mbuzi. 22 “ ‘Wafanyabiashara wa Sheba na wa Raama walifanya biashara nawe, wakabadilishana bidhaa zako na aina zote za vikolezi, vito vya thamani na dhahabu. 23 “ ‘Harani, Kane na Edeni na wafanyabiashara wa Sheba, Ashuru na Kilmadi walifanya biashara nawe. 24 Kwenye soko lako, walifanya biashara nawe kwa mavazi mazuri, vitambaa vya buluu, nguo za kutariziwa na mazulia ya rangi mbalimbali yenye kamba zilizosokotwa na kuwekwa mafundo imara. 25 “ ‘Merikebu za Tarshishi ndizozinazokusafirishia bidhaa zako.Umejazwa shehena kubwakatika moyo wa bahari. 26 Wapiga makasia wako wanakupelekampaka kwenye maji makavu.Lakini upepo wa mashariki umekuvunja vipande vipandekatika moyo wa bahari. 27 Utajiri wako, bidhaa zako na mali zako,mabaharia wako, manahodha wako,mafundi wako wa meli,wafanyabiashara wako na askari wako wote,na kila mmoja aliyeko meliniatazama kwenye moyo wa baharisiku ile ya kuvunjika kwa meli yako. 28 Nchi za pwani zitatetemekawakati mabaharia wako watakapopiga kelele. 29 Wote wapigao makasiawataacha meli zao,mabaharia wote na wanamaji wotewatasimama pwani. 30 Watapaza sauti zaona kulia sana kwa ajili yako;watajitupia mavumbi juu ya vichwa vyaona kujivingirisha kwenye majivu. 31 Watanyoa nywele zao kwa ajili yako,nao watavaa nguo za magunia.Watakulilia kwa uchungu wa moyona kwa maombolezo makuu. 32 Watakapokuwa wanalia na kuomboleza juu yako,watafanya maombolezo kukuhusu wakisema:“Ni nani aliyepata kuangamizwa kama Tiro,katika moyo wa bahari?” 33 Wakati bidhaa zako zilipotoka baharini,ulitosheleza mataifa mengi;kwa wingi wa utajiri wako na bidhaa zakoulitajirisha wafalme wa dunia. 34 Sasa umevunjavunjwa na bahari,katika vilindi vya maji,bidhaa zako na kundi lako lotevimezama pamoja nawe. 35 Wote waishio katika nchi za pwaniwanakustaajabia;wafalme wao wanatetemeka kwa hofu kuu,nazo nyuso zao zimekunjamana kwa woga. 36 Wafanyabiashara miongoni mwa mataifa wanakucheka;umefikia mwisho wa kutishanawe hutakuwepo tena.’ ”

In Other Versions

Ezekiel 27 in the ANGEFD

Ezekiel 27 in the ANTPNG2D

Ezekiel 27 in the AS21

Ezekiel 27 in the BAGH

Ezekiel 27 in the BBPNG

Ezekiel 27 in the BBT1E

Ezekiel 27 in the BDS

Ezekiel 27 in the BEV

Ezekiel 27 in the BHAD

Ezekiel 27 in the BIB

Ezekiel 27 in the BLPT

Ezekiel 27 in the BNT

Ezekiel 27 in the BNTABOOT

Ezekiel 27 in the BNTLV

Ezekiel 27 in the BOATCB

Ezekiel 27 in the BOATCB2

Ezekiel 27 in the BOBCV

Ezekiel 27 in the BOCNT

Ezekiel 27 in the BOECS

Ezekiel 27 in the BOGWICC

Ezekiel 27 in the BOHCB

Ezekiel 27 in the BOHCV

Ezekiel 27 in the BOHLNT

Ezekiel 27 in the BOHNTLTAL

Ezekiel 27 in the BOICB

Ezekiel 27 in the BOILNTAP

Ezekiel 27 in the BOITCV

Ezekiel 27 in the BOKCV2

Ezekiel 27 in the BOKHWOG

Ezekiel 27 in the BOKSSV

Ezekiel 27 in the BOLCB

Ezekiel 27 in the BOLCB2

Ezekiel 27 in the BOMCV

Ezekiel 27 in the BONAV

Ezekiel 27 in the BONCB

Ezekiel 27 in the BONLT

Ezekiel 27 in the BONUT2

Ezekiel 27 in the BOPLNT

Ezekiel 27 in the BOSCB

Ezekiel 27 in the BOSNC

Ezekiel 27 in the BOTLNT

Ezekiel 27 in the BOVCB

Ezekiel 27 in the BOYCB

Ezekiel 27 in the BPBB

Ezekiel 27 in the BPH

Ezekiel 27 in the BSB

Ezekiel 27 in the CCB

Ezekiel 27 in the CUV

Ezekiel 27 in the CUVS

Ezekiel 27 in the DBT

Ezekiel 27 in the DGDNT

Ezekiel 27 in the DHNT

Ezekiel 27 in the DNT

Ezekiel 27 in the ELBE

Ezekiel 27 in the EMTV

Ezekiel 27 in the ESV

Ezekiel 27 in the FBV

Ezekiel 27 in the FEB

Ezekiel 27 in the GGMNT

Ezekiel 27 in the GNT

Ezekiel 27 in the HARY

Ezekiel 27 in the HNT

Ezekiel 27 in the IRVA

Ezekiel 27 in the IRVB

Ezekiel 27 in the IRVG

Ezekiel 27 in the IRVH

Ezekiel 27 in the IRVK

Ezekiel 27 in the IRVM

Ezekiel 27 in the IRVM2

Ezekiel 27 in the IRVO

Ezekiel 27 in the IRVP

Ezekiel 27 in the IRVT

Ezekiel 27 in the IRVT2

Ezekiel 27 in the IRVU

Ezekiel 27 in the ISVN

Ezekiel 27 in the JSNT

Ezekiel 27 in the KAPI

Ezekiel 27 in the KBT1ETNIK

Ezekiel 27 in the KBV

Ezekiel 27 in the KJV

Ezekiel 27 in the KNFD

Ezekiel 27 in the LBA

Ezekiel 27 in the LBLA

Ezekiel 27 in the LNT

Ezekiel 27 in the LSV

Ezekiel 27 in the MAAL

Ezekiel 27 in the MBV

Ezekiel 27 in the MBV2

Ezekiel 27 in the MHNT

Ezekiel 27 in the MKNFD

Ezekiel 27 in the MNG

Ezekiel 27 in the MNT

Ezekiel 27 in the MNT2

Ezekiel 27 in the MRS1T

Ezekiel 27 in the NAA

Ezekiel 27 in the NASB

Ezekiel 27 in the NBLA

Ezekiel 27 in the NBS

Ezekiel 27 in the NBVTP

Ezekiel 27 in the NET2

Ezekiel 27 in the NIV11

Ezekiel 27 in the NNT

Ezekiel 27 in the NNT2

Ezekiel 27 in the NNT3

Ezekiel 27 in the PDDPT

Ezekiel 27 in the PFNT

Ezekiel 27 in the RMNT

Ezekiel 27 in the SBIAS

Ezekiel 27 in the SBIBS

Ezekiel 27 in the SBIBS2

Ezekiel 27 in the SBICS

Ezekiel 27 in the SBIDS

Ezekiel 27 in the SBIGS

Ezekiel 27 in the SBIHS

Ezekiel 27 in the SBIIS

Ezekiel 27 in the SBIIS2

Ezekiel 27 in the SBIIS3

Ezekiel 27 in the SBIKS

Ezekiel 27 in the SBIKS2

Ezekiel 27 in the SBIMS

Ezekiel 27 in the SBIOS

Ezekiel 27 in the SBIPS

Ezekiel 27 in the SBISS

Ezekiel 27 in the SBITS

Ezekiel 27 in the SBITS2

Ezekiel 27 in the SBITS3

Ezekiel 27 in the SBITS4

Ezekiel 27 in the SBIUS

Ezekiel 27 in the SBIVS

Ezekiel 27 in the SBT

Ezekiel 27 in the SBT1E

Ezekiel 27 in the SCHL

Ezekiel 27 in the SNT

Ezekiel 27 in the SUSU

Ezekiel 27 in the SUSU2

Ezekiel 27 in the SYNO

Ezekiel 27 in the TBIAOTANT

Ezekiel 27 in the TBT1E

Ezekiel 27 in the TBT1E2

Ezekiel 27 in the TFTIP

Ezekiel 27 in the TFTU

Ezekiel 27 in the TGNTATF3T

Ezekiel 27 in the THAI

Ezekiel 27 in the TNFD

Ezekiel 27 in the TNT

Ezekiel 27 in the TNTIK

Ezekiel 27 in the TNTIL

Ezekiel 27 in the TNTIN

Ezekiel 27 in the TNTIP

Ezekiel 27 in the TNTIZ

Ezekiel 27 in the TOMA

Ezekiel 27 in the TTENT

Ezekiel 27 in the UBG

Ezekiel 27 in the UGV

Ezekiel 27 in the UGV2

Ezekiel 27 in the UGV3

Ezekiel 27 in the VBL

Ezekiel 27 in the VDCC

Ezekiel 27 in the YALU

Ezekiel 27 in the YAPE

Ezekiel 27 in the YBVTP

Ezekiel 27 in the ZBP