Isaiah 29 (BOKCV)
1 Ole wako, wewe Arieli, Arieli,mji alimokaa Daudi!Ongezeni mwaka kwa mwaka,na mzunguko wa sikukuu zenu uendelee. 2 Hata hivyo nitauzunguka Arieli kwa jeshi,utalia na kuomboleza,utakuwa kwangu kama mahalipa kuwashia moto madhabahuni. 3 Nitapiga kambi pande zote dhidi yako,nitakuzunguka kwa minarana kupanga mazingirwa yangu dhidi yako. 4 Utakaposhushwa, utanena kutoka ardhini,utamumunya maneno yako kutoka mavumbini.Sauti yako itatoka katika nchi kama vile ya mzimu,utanongʼona maneno yako toka mavumbini. 5 Lakini adui zako wengi watakuwa kama vumbi laini,kundi la wakatili watakuwakama makapi yapeperushwayo.Naam, ghafula, mara moja, 6 BWANA Mwenye Nguvu Zote atakujana ngurumo, tetemeko la ardhi, na kwa sauti kuu,atakuja na dhoruba, tufani na miali ya moto iteketezayo. 7 Kisha makundi ya mataifa yote yale yapiganayo dhidi ya Arieli,yale yanayomshambulia yeye na ngome zake, na kumzunguka kwa jeshi,watakuwa kama ilivyo ndoto,kama maono wakati wa usiku: 8 kama vile mtu aliye na njaa aotavyo kuwa anakula,lakini huamka, bado njaa yake ingalipo,kama vile mtu mwenye kiu aotavyo kuwa anakunywa maji,lakini huamka akiwa anazimia, akiwa bado angali ana kiu.Hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa makundi yote ya mataifayanayopigana dhidi ya Mlima Sayuni. 9 Duwaeni na kushangaa,jifanyeni vipofu wenyewe na msione,leweni, lakini si kwa mvinyo,pepesukeni lakini si kwa kileo. 10 BWANA amewaleteeni usingizi mzito:Ameziba macho yenu (ninyi manabii);amefunika vichwa vyenu (ninyi waonaji). 11 Kwa maana kwenu ninyi, maono haya yote si kitu ila maneno yaliyotiwa lakiri katika kitabu. Kama mkimpa mtu yeyote awezaye kusoma kitabu hiki, nanyi mkamwambia, “Tafadhali kisome,” yeye atajibu, “Mimi siwezi, kwa kuwa kimetiwa lakiri.” 12 Au kama mkimpa mtu yeyote kitabu hiki asiyeweza kusoma na kumwambia, “Tafadhali kisome,” atajibu, “Mimi sijui kusoma.” 13 Bwana anasema:“Watu hawa hunikaribia kwa vinywa vyaona kuniheshimu kwa midomo yao,lakini mioyo yao iko mbali nami.Ibada yao kwangu inatokana na maagizowaliyofundishwa na wanadamu. 14 Kwa hiyo mara nyingine tena nitawashangaza watu hawa,kwa ajabu juu ya ajabu.Hekima ya wenye hekima itapotea,nayo akili ya wenye akili itatoweka.” 15 Ole kwa wale wanaokwenda kwenye vilindi virefukumficha BWANA mipango yao,wafanyao kazi zao gizani na kufikiri,“Ni nani anayetuona? Ni nani atakayejua?” 16 Mnapindua mambo juu chini,kana kwamba mfinyanzi aweza kufikiriwa kuwa kama udongo wa mfinyanzi!Je, kile kilichofinyangwa chaweza kumwambia yule aliyekifinyanga,“Wewe hukunifinyanga mimi?”Je, chungu kinaweza kumwambia mfinyanzi,“Wewe hujui chochote?” 17 Kwa muda mfupi sana, je, Lebanoni haitageuzwa kuwa shamba lenye rutuba,na shamba lenye rutuba liwe kama msitu? 18 Katika siku ile viziwi watasikia maneno ya kitabu,na katika utusitusi na gizamacho ya kipofu yataona. 19 Mara nyingine tena wanyenyekevu watafurahi katika BWANA,wahitaji watafurahi katika yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 20 Wakatili watatoweka na wenye kudhihaki watatokomea,nao wote wenye jicho la uovu watakatiliwa mbali, 21 wale ambao kwa neno humfanya mtu kuwa mwenye hatia,wamtegeao mtego mtetezi katika mahakama,na kwa ushuhuda wa uongo humnyima hakiyeye asiye na hatia. 22 Kwa hiyo hili ndilo BWANA, aliyemkomboa Abrahamu, analosema kwa nyumba ya Yakobo:“Yakobo hataaibishwa tena,wala nyuso zao hazitabadilika sura tena. 23 Wakati watakapoona watoto wao miongoni mwao,kazi ya mikono yangu,watalitakasa Jina langu takatifu;wataukubali utakatifu wa yeye Aliye Mtakatifu wa Yakobo,nao watamcha Mungu wa Israeli. 24 Wale wanaopotoka rohoni watapata ufahamu,nao wale wanaolalamika watayakubali mafundisho.”
In Other Versions
Isaiah 29 in the ANGEFD
Isaiah 29 in the ANTPNG2D
Isaiah 29 in the AS21
Isaiah 29 in the BAGH
Isaiah 29 in the BBPNG
Isaiah 29 in the BBT1E
Isaiah 29 in the BDS
Isaiah 29 in the BEV
Isaiah 29 in the BHAD
Isaiah 29 in the BIB
Isaiah 29 in the BLPT
Isaiah 29 in the BNT
Isaiah 29 in the BNTABOOT
Isaiah 29 in the BNTLV
Isaiah 29 in the BOATCB
Isaiah 29 in the BOATCB2
Isaiah 29 in the BOBCV
Isaiah 29 in the BOCNT
Isaiah 29 in the BOECS
Isaiah 29 in the BOGWICC
Isaiah 29 in the BOHCB
Isaiah 29 in the BOHCV
Isaiah 29 in the BOHLNT
Isaiah 29 in the BOHNTLTAL
Isaiah 29 in the BOICB
Isaiah 29 in the BOILNTAP
Isaiah 29 in the BOITCV
Isaiah 29 in the BOKCV2
Isaiah 29 in the BOKHWOG
Isaiah 29 in the BOKSSV
Isaiah 29 in the BOLCB
Isaiah 29 in the BOLCB2
Isaiah 29 in the BOMCV
Isaiah 29 in the BONAV
Isaiah 29 in the BONCB
Isaiah 29 in the BONLT
Isaiah 29 in the BONUT2
Isaiah 29 in the BOPLNT
Isaiah 29 in the BOSCB
Isaiah 29 in the BOSNC
Isaiah 29 in the BOTLNT
Isaiah 29 in the BOVCB
Isaiah 29 in the BOYCB
Isaiah 29 in the BPBB
Isaiah 29 in the BPH
Isaiah 29 in the BSB
Isaiah 29 in the CCB
Isaiah 29 in the CUV
Isaiah 29 in the CUVS
Isaiah 29 in the DBT
Isaiah 29 in the DGDNT
Isaiah 29 in the DHNT
Isaiah 29 in the DNT
Isaiah 29 in the ELBE
Isaiah 29 in the EMTV
Isaiah 29 in the ESV
Isaiah 29 in the FBV
Isaiah 29 in the FEB
Isaiah 29 in the GGMNT
Isaiah 29 in the GNT
Isaiah 29 in the HARY
Isaiah 29 in the HNT
Isaiah 29 in the IRVA
Isaiah 29 in the IRVB
Isaiah 29 in the IRVG
Isaiah 29 in the IRVH
Isaiah 29 in the IRVK
Isaiah 29 in the IRVM
Isaiah 29 in the IRVM2
Isaiah 29 in the IRVO
Isaiah 29 in the IRVP
Isaiah 29 in the IRVT
Isaiah 29 in the IRVT2
Isaiah 29 in the IRVU
Isaiah 29 in the ISVN
Isaiah 29 in the JSNT
Isaiah 29 in the KAPI
Isaiah 29 in the KBT1ETNIK
Isaiah 29 in the KBV
Isaiah 29 in the KJV
Isaiah 29 in the KNFD
Isaiah 29 in the LBA
Isaiah 29 in the LBLA
Isaiah 29 in the LNT
Isaiah 29 in the LSV
Isaiah 29 in the MAAL
Isaiah 29 in the MBV
Isaiah 29 in the MBV2
Isaiah 29 in the MHNT
Isaiah 29 in the MKNFD
Isaiah 29 in the MNG
Isaiah 29 in the MNT
Isaiah 29 in the MNT2
Isaiah 29 in the MRS1T
Isaiah 29 in the NAA
Isaiah 29 in the NASB
Isaiah 29 in the NBLA
Isaiah 29 in the NBS
Isaiah 29 in the NBVTP
Isaiah 29 in the NET2
Isaiah 29 in the NIV11
Isaiah 29 in the NNT
Isaiah 29 in the NNT2
Isaiah 29 in the NNT3
Isaiah 29 in the PDDPT
Isaiah 29 in the PFNT
Isaiah 29 in the RMNT
Isaiah 29 in the SBIAS
Isaiah 29 in the SBIBS
Isaiah 29 in the SBIBS2
Isaiah 29 in the SBICS
Isaiah 29 in the SBIDS
Isaiah 29 in the SBIGS
Isaiah 29 in the SBIHS
Isaiah 29 in the SBIIS
Isaiah 29 in the SBIIS2
Isaiah 29 in the SBIIS3
Isaiah 29 in the SBIKS
Isaiah 29 in the SBIKS2
Isaiah 29 in the SBIMS
Isaiah 29 in the SBIOS
Isaiah 29 in the SBIPS
Isaiah 29 in the SBISS
Isaiah 29 in the SBITS
Isaiah 29 in the SBITS2
Isaiah 29 in the SBITS3
Isaiah 29 in the SBITS4
Isaiah 29 in the SBIUS
Isaiah 29 in the SBIVS
Isaiah 29 in the SBT
Isaiah 29 in the SBT1E
Isaiah 29 in the SCHL
Isaiah 29 in the SNT
Isaiah 29 in the SUSU
Isaiah 29 in the SUSU2
Isaiah 29 in the SYNO
Isaiah 29 in the TBIAOTANT
Isaiah 29 in the TBT1E
Isaiah 29 in the TBT1E2
Isaiah 29 in the TFTIP
Isaiah 29 in the TFTU
Isaiah 29 in the TGNTATF3T
Isaiah 29 in the THAI
Isaiah 29 in the TNFD
Isaiah 29 in the TNT
Isaiah 29 in the TNTIK
Isaiah 29 in the TNTIL
Isaiah 29 in the TNTIN
Isaiah 29 in the TNTIP
Isaiah 29 in the TNTIZ
Isaiah 29 in the TOMA
Isaiah 29 in the TTENT
Isaiah 29 in the UBG
Isaiah 29 in the UGV
Isaiah 29 in the UGV2
Isaiah 29 in the UGV3
Isaiah 29 in the VBL
Isaiah 29 in the VDCC
Isaiah 29 in the YALU
Isaiah 29 in the YAPE
Isaiah 29 in the YBVTP
Isaiah 29 in the ZBP