Jeremiah 10 (BOKCV)
1 Sikieni lile ambalo BWANA, anena nanyi ee nyumba ya Israeli. 2 Hili ndilo asemalo BWANA:“Usijifunze njia za mataifawala usitishwe na ishara katika anga,ingawa mataifa yanatishwa nazo. 3 Kwa maana desturi za mataifa hazina maana,wanakata mti msituni,na fundi anauchonga kwa patasi. 4 Wanaparemba kwa fedha na dhahabu,wanakikaza kwa nyundo na misumari ili kisitikisike. 5 Sanamu zao ni kama sanamuiliyowekwa shambani la matango kutishia ndegenazo haziwezi kuongea;sharti zibebwesababu haziwezi kutembea.Usiziogope; haziwezi kudhuru,wala kutenda lolote jema.” 6 Hakuna aliye kama wewe, Ee BWANA;wewe ni mkuu,jina lako ni lenye nguvu katika uweza. 7 Ni nani ambaye haimpasi kukuheshimu wewe,Ee Mfalme wa mataifa?Hii ni stahili yako.Miongoni mwa watu wote wenye hekimakatika mataifa na katika falme zao zote,hakuna aliye kama wewe. 8 Wote hawana akili, tena ni wapumbavu,wanafundishwa na sanamu za miti zisizofaa lolote. 9 Huleta fedha iliyofuliwa kutoka Tarshishina dhahabu kutoka Ufazi.Kile ambacho fundi na sonara wametengenezahuvikwa mavazi ya rangi ya samawi na urujuani:vyote vikiwa vimetengenezwana mafundi stadi. 10 Lakini BWANA ni Mungu wa kweli,yeye ndiye Mungu aliye hai, Mfalme wa milele.Anapokasirika, dunia hutetemeka,mataifa hayawezi kustahimili hasira yake. 11 “Waambie hivi: ‘Miungu hii, ambayo haikuumba mbingu na dunia, itaangamia kutoka dunia na kutoka chini ya mbingu.’ ” 12 Lakini Mungu aliiumba dunia kwa uweza wake,akaweka misingi ya ulimwengu kwa hekima yake,na akazitandaza mbingu kwa ufahamu wake. 13 Atoapo sauti yake, maji yaliyo katika mbingu hunguruma;huyafanya mawingu yainuke kutoka miisho ya dunia.Hupeleka umeme wa radi pamoja na mvua,naye huuleta upepo kutoka ghala zake. 14 Kila mmoja ni mjinga na hana maarifa,kila sonara ameaibishwa na sanamu zake.Vinyago vyake ni vya udanganyifu,havina pumzi ndani yavyo. 15 Havifai kitu, ni vitu vya kufanyia mzaha tu,hukumu yavyo itakapowadia, vitaangamia. 16 Yeye aliye Fungu la Yakobo sivyo alivyo,kwani ndiye Muumba wa vitu vyote,pamoja na Israeli, kabila la urithi wake: BWANA Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake. 17 Kusanyeni mali na vitu vyenu mwondoke nchi hii,enyi mnaoishi katika hali ya kuzingirwa na jeshi. 18 Kwa kuwa hili ndilo asemalo BWANA:“Wakati huu, nitawatupa nje kwa nguvuwote waishio katika nchi hii;nitawataabishaili waweze kutekwa.” 19 Ole wangu mimi kwa ajili ya kuumia kwangu!Jeraha langu ni kubwa!Lakini nilisema,“Kweli hii ni adhabu yangu,nami sharti niistahimili.” 20 Hema langu limeangamizwa;kamba zake zote zimekatwa.Wana wangu wametekwa na hawapo tena;hakuna hata mmoja aliyebaki wa kusimamisha hema languwala wa kusimamisha kibanda changu. 21 Wachungaji hawana akiliwala hawamuulizi BWANA,hivyo hawastawina kundi lao lote la kondoo limetawanyika. 22 Sikilizeni! Taarifa inakuja:ghasia kubwa kutoka nchi ya kaskazini!Hii itafanya miji ya Yuda ukiwa,makao ya mbweha. 23 Ninajua, Ee BWANA, kwamba maisha ya mwanadamu si yake mwenyewe;hawezi kuziongoza hatua zake mwenyewe. 24 Unirudi, Ee BWANA, lakini kwa kipimo cha haki:si katika hasira yako,usije ukaniangamiza. 25 Umwage ghadhabu yako juu ya mataifawasiokujua wewe,juu ya mataifa wasioliitia jina lako.Kwa kuwa wamemwangamiza Yakobo;wamemwangamiza kabisana kuiharibu nchi yake.
In Other Versions
Jeremiah 10 in the ANGEFD
Jeremiah 10 in the ANTPNG2D
Jeremiah 10 in the AS21
Jeremiah 10 in the BAGH
Jeremiah 10 in the BBPNG
Jeremiah 10 in the BBT1E
Jeremiah 10 in the BDS
Jeremiah 10 in the BEV
Jeremiah 10 in the BHAD
Jeremiah 10 in the BIB
Jeremiah 10 in the BLPT
Jeremiah 10 in the BNT
Jeremiah 10 in the BNTABOOT
Jeremiah 10 in the BNTLV
Jeremiah 10 in the BOATCB
Jeremiah 10 in the BOATCB2
Jeremiah 10 in the BOBCV
Jeremiah 10 in the BOCNT
Jeremiah 10 in the BOECS
Jeremiah 10 in the BOGWICC
Jeremiah 10 in the BOHCB
Jeremiah 10 in the BOHCV
Jeremiah 10 in the BOHLNT
Jeremiah 10 in the BOHNTLTAL
Jeremiah 10 in the BOICB
Jeremiah 10 in the BOILNTAP
Jeremiah 10 in the BOITCV
Jeremiah 10 in the BOKCV2
Jeremiah 10 in the BOKHWOG
Jeremiah 10 in the BOKSSV
Jeremiah 10 in the BOLCB
Jeremiah 10 in the BOLCB2
Jeremiah 10 in the BOMCV
Jeremiah 10 in the BONAV
Jeremiah 10 in the BONCB
Jeremiah 10 in the BONLT
Jeremiah 10 in the BONUT2
Jeremiah 10 in the BOPLNT
Jeremiah 10 in the BOSCB
Jeremiah 10 in the BOSNC
Jeremiah 10 in the BOTLNT
Jeremiah 10 in the BOVCB
Jeremiah 10 in the BOYCB
Jeremiah 10 in the BPBB
Jeremiah 10 in the BPH
Jeremiah 10 in the BSB
Jeremiah 10 in the CCB
Jeremiah 10 in the CUV
Jeremiah 10 in the CUVS
Jeremiah 10 in the DBT
Jeremiah 10 in the DGDNT
Jeremiah 10 in the DHNT
Jeremiah 10 in the DNT
Jeremiah 10 in the ELBE
Jeremiah 10 in the EMTV
Jeremiah 10 in the ESV
Jeremiah 10 in the FBV
Jeremiah 10 in the FEB
Jeremiah 10 in the GGMNT
Jeremiah 10 in the GNT
Jeremiah 10 in the HARY
Jeremiah 10 in the HNT
Jeremiah 10 in the IRVA
Jeremiah 10 in the IRVB
Jeremiah 10 in the IRVG
Jeremiah 10 in the IRVH
Jeremiah 10 in the IRVK
Jeremiah 10 in the IRVM
Jeremiah 10 in the IRVM2
Jeremiah 10 in the IRVO
Jeremiah 10 in the IRVP
Jeremiah 10 in the IRVT
Jeremiah 10 in the IRVT2
Jeremiah 10 in the IRVU
Jeremiah 10 in the ISVN
Jeremiah 10 in the JSNT
Jeremiah 10 in the KAPI
Jeremiah 10 in the KBT1ETNIK
Jeremiah 10 in the KBV
Jeremiah 10 in the KJV
Jeremiah 10 in the KNFD
Jeremiah 10 in the LBA
Jeremiah 10 in the LBLA
Jeremiah 10 in the LNT
Jeremiah 10 in the LSV
Jeremiah 10 in the MAAL
Jeremiah 10 in the MBV
Jeremiah 10 in the MBV2
Jeremiah 10 in the MHNT
Jeremiah 10 in the MKNFD
Jeremiah 10 in the MNG
Jeremiah 10 in the MNT
Jeremiah 10 in the MNT2
Jeremiah 10 in the MRS1T
Jeremiah 10 in the NAA
Jeremiah 10 in the NASB
Jeremiah 10 in the NBLA
Jeremiah 10 in the NBS
Jeremiah 10 in the NBVTP
Jeremiah 10 in the NET2
Jeremiah 10 in the NIV11
Jeremiah 10 in the NNT
Jeremiah 10 in the NNT2
Jeremiah 10 in the NNT3
Jeremiah 10 in the PDDPT
Jeremiah 10 in the PFNT
Jeremiah 10 in the RMNT
Jeremiah 10 in the SBIAS
Jeremiah 10 in the SBIBS
Jeremiah 10 in the SBIBS2
Jeremiah 10 in the SBICS
Jeremiah 10 in the SBIDS
Jeremiah 10 in the SBIGS
Jeremiah 10 in the SBIHS
Jeremiah 10 in the SBIIS
Jeremiah 10 in the SBIIS2
Jeremiah 10 in the SBIIS3
Jeremiah 10 in the SBIKS
Jeremiah 10 in the SBIKS2
Jeremiah 10 in the SBIMS
Jeremiah 10 in the SBIOS
Jeremiah 10 in the SBIPS
Jeremiah 10 in the SBISS
Jeremiah 10 in the SBITS
Jeremiah 10 in the SBITS2
Jeremiah 10 in the SBITS3
Jeremiah 10 in the SBITS4
Jeremiah 10 in the SBIUS
Jeremiah 10 in the SBIVS
Jeremiah 10 in the SBT
Jeremiah 10 in the SBT1E
Jeremiah 10 in the SCHL
Jeremiah 10 in the SNT
Jeremiah 10 in the SUSU
Jeremiah 10 in the SUSU2
Jeremiah 10 in the SYNO
Jeremiah 10 in the TBIAOTANT
Jeremiah 10 in the TBT1E
Jeremiah 10 in the TBT1E2
Jeremiah 10 in the TFTIP
Jeremiah 10 in the TFTU
Jeremiah 10 in the TGNTATF3T
Jeremiah 10 in the THAI
Jeremiah 10 in the TNFD
Jeremiah 10 in the TNT
Jeremiah 10 in the TNTIK
Jeremiah 10 in the TNTIL
Jeremiah 10 in the TNTIN
Jeremiah 10 in the TNTIP
Jeremiah 10 in the TNTIZ
Jeremiah 10 in the TOMA
Jeremiah 10 in the TTENT
Jeremiah 10 in the UBG
Jeremiah 10 in the UGV
Jeremiah 10 in the UGV2
Jeremiah 10 in the UGV3
Jeremiah 10 in the VBL
Jeremiah 10 in the VDCC
Jeremiah 10 in the YALU
Jeremiah 10 in the YAPE
Jeremiah 10 in the YBVTP
Jeremiah 10 in the ZBP