Jeremiah 8 (BOKCV)
1 “ ‘Wakati huo, asema BWANA, mifupa ya wafalme na maafisa wa Yuda, mifupa ya makuhani na manabii, na mifupa ya watu wa Yerusalemu itaondolewa kutoka makaburi yao. 2 Itawekwa wazi kwa jua, na mwezi, na nyota zote za mbingu, ambazo walizipenda na kuzitumikia, na ambazo wamezifuata kutafuta ushauri na kuziabudu. Hawatakusanywa pamoja au kuzikwa, lakini watakuwa kama mavi yaliyotapakaa juu ya ardhi. 3 Popote nitakapowafukuzia, mabaki wote wa kizazi hiki kiovu watatamani kufa kuliko kuishi, asema BWANA Mwenye Nguvu Zote.’ 4 “Waambie, ‘Hivi ndivyo asemavyo BWANA:“ ‘Je, watu wanapoanguka hawainuki?Je, mtu anapopotea harudi? 5 Kwa nini basi watu hawa walipotea?Kwa nini Yerusalemu inapotea kila mara?Wanangʼangʼania udanganyifuna wanakataa kurudi. 6 Nimewasikiliza kwa makini,lakini hawataki kusema lililo sawa.Hakuna anayetubia makosa yakeakisema, “Nimefanya nini?”Kila mmoja hufuata njia yake mwenyewekama farasi anayekwenda vitani. 7 Hata korongo aliyeko anganianayajua majira yake yaliyoamriwa,nao njiwa, mbayuwayu na koikoihufuata majira yao ya kurudi.Lakini watu wangu hawajui BWANA anachotaka kwao. 8 “ ‘Mwawezaje kusema, “Sisi tuna busarakwa sababu tunayo sheria ya BWANA,”wakati ambapo kwa hakika kalamu ya uongo ya waandishiimeandika kwa udanganyifu? 9 Wenye hekima wataaibika,watafadhaika na kunaswa.Kwa kuwa wamelikataa neno la BWANA,hiyo hekima waliyo nayo ni ya namna gani? 10 Kwa hiyo nitawapa watu wengine wake zao,na mashamba yao kwa wamiliki wengine.Kuanzia aliye mdogo kabisa hadi aliye mkubwa kabisa,wote wana tamaa ya kupata zaidi;manabii na makuhani wanafanana,wote wanafanya udanganyifu. 11 Wanafunga majeraha ya watu wangubila uangalifu.Wanasema, “Amani, amani,”wakati hakuna amani. 12 Je, wanaona aibu kwa ajili ya tabia yao inayochukiza mno?Hapana, hawana aibu hata kidogo,hawajui hata kuona haya.Kwa hiyo wataanguka miongoni mwa hao walioanguka,watashushwa chini watakapoadhibiwa,asema BWANA. 13 “ ‘Nitayaondoa mavuno yao,asema BWANA.Hapatakuwepo zabibu kwenye mzabibu.Hapatakuwepo na tini kwenye mtini,majani yake yatanyauka.Kile nilichowapawatanyangʼanywa.’ ” 14 “Kwa nini tunaketi hapa?Kusanyikeni pamoja!Tukimbilie kwenye miji yenye maboma,tukaangamie huko!Kwa kuwa BWANA, Mungu wetuametuhukumu kuangamia,na kutupa maji yenye sumu tunywe,kwa sababu tumemtenda dhambi. 15 Tulitegemea amani,lakini hakuna jema lililokuja,tulitegemea wakati wa kupona,lakini kulikuwa hofu tu. 16 Mkoromo wa farasi za aduiumesikika kuanzia Dani,kwa mlio wa madume yao ya farasi,nchi yote inatetemeka.Wamekuja kuangamiza nchi na vyote vilivyomo,mji na wote waishio ndani yake.” 17 “Tazama, nitatuma nyoka wenye sumu kali katikati yenu,fira ambao hawawezi kulogwa,nao watawauma,”asema BWANA. 18 Ee Mfariji wangu katika huzuni,moyo wangu umezimia ndani yangu. 19 Sikia kilio cha watu wangukutoka nchi ya mbali:“Je, BWANA hayuko Sayuni?Je, Mfalme wake hayuko tena huko?” “Kwa nini wamenikasirisha kwa vinyago vyao,kwa sanamu zao za kigeni zisizofaa?” 20 “Mavuno yamepita,kiangazi kimekwisha,nasi hatujaokolewa.” 21 Kwa kuwa watu wangu wamepondwa, nami nimepondeka pia;ninaomboleza, nayo hofu kuu imenishika. 22 Je, hakuna zeri ya kuponya katika Gileadi?Je, hakuna tabibu huko?Kwa nini basi hakuna uponyajiwa majeraha ya watu wangu?
In Other Versions
Jeremiah 8 in the ANGEFD
Jeremiah 8 in the ANTPNG2D
Jeremiah 8 in the AS21
Jeremiah 8 in the BAGH
Jeremiah 8 in the BBPNG
Jeremiah 8 in the BBT1E
Jeremiah 8 in the BDS
Jeremiah 8 in the BEV
Jeremiah 8 in the BHAD
Jeremiah 8 in the BIB
Jeremiah 8 in the BLPT
Jeremiah 8 in the BNT
Jeremiah 8 in the BNTABOOT
Jeremiah 8 in the BNTLV
Jeremiah 8 in the BOATCB
Jeremiah 8 in the BOATCB2
Jeremiah 8 in the BOBCV
Jeremiah 8 in the BOCNT
Jeremiah 8 in the BOECS
Jeremiah 8 in the BOGWICC
Jeremiah 8 in the BOHCB
Jeremiah 8 in the BOHCV
Jeremiah 8 in the BOHLNT
Jeremiah 8 in the BOHNTLTAL
Jeremiah 8 in the BOICB
Jeremiah 8 in the BOILNTAP
Jeremiah 8 in the BOITCV
Jeremiah 8 in the BOKCV2
Jeremiah 8 in the BOKHWOG
Jeremiah 8 in the BOKSSV
Jeremiah 8 in the BOLCB
Jeremiah 8 in the BOLCB2
Jeremiah 8 in the BOMCV
Jeremiah 8 in the BONAV
Jeremiah 8 in the BONCB
Jeremiah 8 in the BONLT
Jeremiah 8 in the BONUT2
Jeremiah 8 in the BOPLNT
Jeremiah 8 in the BOSCB
Jeremiah 8 in the BOSNC
Jeremiah 8 in the BOTLNT
Jeremiah 8 in the BOVCB
Jeremiah 8 in the BOYCB
Jeremiah 8 in the BPBB
Jeremiah 8 in the BPH
Jeremiah 8 in the BSB
Jeremiah 8 in the CCB
Jeremiah 8 in the CUV
Jeremiah 8 in the CUVS
Jeremiah 8 in the DBT
Jeremiah 8 in the DGDNT
Jeremiah 8 in the DHNT
Jeremiah 8 in the DNT
Jeremiah 8 in the ELBE
Jeremiah 8 in the EMTV
Jeremiah 8 in the ESV
Jeremiah 8 in the FBV
Jeremiah 8 in the FEB
Jeremiah 8 in the GGMNT
Jeremiah 8 in the GNT
Jeremiah 8 in the HARY
Jeremiah 8 in the HNT
Jeremiah 8 in the IRVA
Jeremiah 8 in the IRVB
Jeremiah 8 in the IRVG
Jeremiah 8 in the IRVH
Jeremiah 8 in the IRVK
Jeremiah 8 in the IRVM
Jeremiah 8 in the IRVM2
Jeremiah 8 in the IRVO
Jeremiah 8 in the IRVP
Jeremiah 8 in the IRVT
Jeremiah 8 in the IRVT2
Jeremiah 8 in the IRVU
Jeremiah 8 in the ISVN
Jeremiah 8 in the JSNT
Jeremiah 8 in the KAPI
Jeremiah 8 in the KBT1ETNIK
Jeremiah 8 in the KBV
Jeremiah 8 in the KJV
Jeremiah 8 in the KNFD
Jeremiah 8 in the LBA
Jeremiah 8 in the LBLA
Jeremiah 8 in the LNT
Jeremiah 8 in the LSV
Jeremiah 8 in the MAAL
Jeremiah 8 in the MBV
Jeremiah 8 in the MBV2
Jeremiah 8 in the MHNT
Jeremiah 8 in the MKNFD
Jeremiah 8 in the MNG
Jeremiah 8 in the MNT
Jeremiah 8 in the MNT2
Jeremiah 8 in the MRS1T
Jeremiah 8 in the NAA
Jeremiah 8 in the NASB
Jeremiah 8 in the NBLA
Jeremiah 8 in the NBS
Jeremiah 8 in the NBVTP
Jeremiah 8 in the NET2
Jeremiah 8 in the NIV11
Jeremiah 8 in the NNT
Jeremiah 8 in the NNT2
Jeremiah 8 in the NNT3
Jeremiah 8 in the PDDPT
Jeremiah 8 in the PFNT
Jeremiah 8 in the RMNT
Jeremiah 8 in the SBIAS
Jeremiah 8 in the SBIBS
Jeremiah 8 in the SBIBS2
Jeremiah 8 in the SBICS
Jeremiah 8 in the SBIDS
Jeremiah 8 in the SBIGS
Jeremiah 8 in the SBIHS
Jeremiah 8 in the SBIIS
Jeremiah 8 in the SBIIS2
Jeremiah 8 in the SBIIS3
Jeremiah 8 in the SBIKS
Jeremiah 8 in the SBIKS2
Jeremiah 8 in the SBIMS
Jeremiah 8 in the SBIOS
Jeremiah 8 in the SBIPS
Jeremiah 8 in the SBISS
Jeremiah 8 in the SBITS
Jeremiah 8 in the SBITS2
Jeremiah 8 in the SBITS3
Jeremiah 8 in the SBITS4
Jeremiah 8 in the SBIUS
Jeremiah 8 in the SBIVS
Jeremiah 8 in the SBT
Jeremiah 8 in the SBT1E
Jeremiah 8 in the SCHL
Jeremiah 8 in the SNT
Jeremiah 8 in the SUSU
Jeremiah 8 in the SUSU2
Jeremiah 8 in the SYNO
Jeremiah 8 in the TBIAOTANT
Jeremiah 8 in the TBT1E
Jeremiah 8 in the TBT1E2
Jeremiah 8 in the TFTIP
Jeremiah 8 in the TFTU
Jeremiah 8 in the TGNTATF3T
Jeremiah 8 in the THAI
Jeremiah 8 in the TNFD
Jeremiah 8 in the TNT
Jeremiah 8 in the TNTIK
Jeremiah 8 in the TNTIL
Jeremiah 8 in the TNTIN
Jeremiah 8 in the TNTIP
Jeremiah 8 in the TNTIZ
Jeremiah 8 in the TOMA
Jeremiah 8 in the TTENT
Jeremiah 8 in the UBG
Jeremiah 8 in the UGV
Jeremiah 8 in the UGV2
Jeremiah 8 in the UGV3
Jeremiah 8 in the VBL
Jeremiah 8 in the VDCC
Jeremiah 8 in the YALU
Jeremiah 8 in the YAPE
Jeremiah 8 in the YBVTP
Jeremiah 8 in the ZBP