Psalms 68 (BOKCV)
undefined Kwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi. Wimbo. 1 Mungu na ainuke, watesi wake watawanyike,adui zake na wakimbie mbele zake. 2 Kama vile moshi upeperushwavyo na upepo,vivyo hivyo uwapeperushe mbali,kama vile nta iyeyukavyo kwenye moto,vivyo hivyo waovu na waangamie mbele za Mungu. 3 Bali wenye haki na wafurahi,washangilie mbele za Mungu,wafurahi na kushangilia. 4 Mwimbieni Mungu, liimbieni sifa jina lake,mtukuzeni yeye aendeshwaye juu ya mawingu:jina lake ni BWANA,furahini mbele zake. 5 Baba wa yatima, mtetezi wa wajane,ni Mungu katika makao yake matakatifu. 6 Mungu huwaweka wapweke katika jamaa,huwaongoza wafungwa wakiimba,bali waasi huishi katika nchi kame. 7 Ee Mungu, ulipowatangulia watu wako,ulipopita nyikani, 8 dunia ilitikisika,mbingu zikanyesha mvua,mbele za Mungu, Yule wa Sinai,mbele za Mungu, Mungu wa Israeli. 9 Ee Mungu, ulinyesha mvua nyingina kuiburudisha ardhi iliyokuwa imechoka. 10 Ee Mungu, watu wako waliishi huko,nawe kwa wingi wa utajiri wakouliwapa maskini mahitaji yao. 11 Bwana alitangaza neno,waliolitangaza neno hilo walikuwa kundi kubwa: 12 “Wafalme na majeshi walikimbia upesi,watu waliobaki kambini waligawana nyara. 13 Hata ulalapo katikati ya mioto ya kambini,mabawa ya njiwa wangu yamefunikwa kwa fedha,manyoya yake kwa dhahabu ingʼaayo.” 14 Wakati Mwenyezi alipowatawanya wafalme katika nchi,ilikuwa kama theluji iliyoanguka juu ya Salmoni. 15 Milima ya Bashani ni milima iliyotukuka,milima ya Bashani ina vilele vilivyochongoka. 16 Enyi milima yenye vilele vilivyochongoka,kwa nini mnakazia macho kwa wivu,katika mlima Mungu anaochagua kutawala,ambako BWANA mwenyewe ataishi milele? 17 Magari ya Mungu ni makumi ya maelfu,na maelfu ya maelfu;Bwana amekuja kutoka Sinaihadi katika patakatifu pake. 18 Ulipopanda juu, uliteka mateka,ukapokea vipawa kutoka kwa wanadamu,hata kutoka kwa wale walioasi,ili wewe, Ee BWANA Mungu, upate kuishi huko. 19 Sifa apewe Bwana, Mungu Mwokozi wetu,ambaye siku kwa siku hutuchukulia mizigo yetu. 20 Mungu wetu ni Mungu aokoaye, BWANA Mwenyezi hutuokoa na kifo. 21 Hakika Mungu ataponda vichwa vya adui zake,vichwa vya hao waendao katika njia za dhambi. 22 Bwana alisema, “Nitawarudisha kutoka Bashani;nitawarudisha kutoka vilindi vya bahari, 23 ili uweze kuchovya miguu yako katika damu ya adui zako,huku ndimi za mbwa wako zikiwa na fungu lake.” 24 Ee Mungu, maandamano yako yameonekana,maandamano ya Mungu wangu, Mfalme wangu,yakielekea patakatifu pake. 25 Mbele wako waimbaji, baada yao wapiga vinanda,pamoja nao wako wanawali wakipiga matari. 26 Msifuni Mungu katika kusanyiko kubwa,msifuni BWANA katika kusanyiko la Israeli. 27 Liko kabila dogo la Benyamini likiwaongoza,wakifuatwa na kundi kubwa la watawala wa Yuda,hatimaye watawala wa Zabuloni na Naftali. 28 Ee Mungu, amuru uwezo wako,Ee Mungu tuonyeshe nguvu zako,kama ulivyofanya hapo awali. 29 Kwa sababu ya Hekalu lako Yerusalemuwafalme watakuletea zawadi. 30 Mkemee mnyama aliyeko kwenye manyasi,kundi la mafahali katikati ya ndama za mataifa.Na walete minara ya madini ya fedha wakinyenyekea.Tawanya mataifa yapendayo vita. 31 Wajumbe watakuja kutoka Misri,Kushi atajisalimisha kwa Mungu. 32 Mwimbieni Mungu, enyi falme za dunia,mwimbieni Bwana sifa, 33 mwimbieni sifa yeye apandaye mbingu za kale zilizo juu,yeye angurumaye kwa sauti kuu. 34 Tangazeni uwezo wa Mungu,ambaye fahari yake iko juu ya Israeli,ambaye uwezo wake uko katika anga. 35 Ee Mungu, wewe unatisha katika mahali patakatifu pako,Mungu wa Israeli huwapa watu wake uwezo na nguvu. Mungu Asifiwe!
In Other Versions
Psalms 68 in the ANGEFD
Psalms 68 in the ANTPNG2D
Psalms 68 in the AS21
Psalms 68 in the BAGH
Psalms 68 in the BBPNG
Psalms 68 in the BBT1E
Psalms 68 in the BDS
Psalms 68 in the BEV
Psalms 68 in the BHAD
Psalms 68 in the BIB
Psalms 68 in the BLPT
Psalms 68 in the BNT
Psalms 68 in the BNTABOOT
Psalms 68 in the BNTLV
Psalms 68 in the BOATCB
Psalms 68 in the BOATCB2
Psalms 68 in the BOBCV
Psalms 68 in the BOCNT
Psalms 68 in the BOECS
Psalms 68 in the BOGWICC
Psalms 68 in the BOHCB
Psalms 68 in the BOHCV
Psalms 68 in the BOHLNT
Psalms 68 in the BOHNTLTAL
Psalms 68 in the BOICB
Psalms 68 in the BOILNTAP
Psalms 68 in the BOITCV
Psalms 68 in the BOKCV2
Psalms 68 in the BOKHWOG
Psalms 68 in the BOKSSV
Psalms 68 in the BOLCB
Psalms 68 in the BOLCB2
Psalms 68 in the BOMCV
Psalms 68 in the BONAV
Psalms 68 in the BONCB
Psalms 68 in the BONLT
Psalms 68 in the BONUT2
Psalms 68 in the BOPLNT
Psalms 68 in the BOSCB
Psalms 68 in the BOSNC
Psalms 68 in the BOTLNT
Psalms 68 in the BOVCB
Psalms 68 in the BOYCB
Psalms 68 in the BPBB
Psalms 68 in the BPH
Psalms 68 in the BSB
Psalms 68 in the CCB
Psalms 68 in the CUV
Psalms 68 in the CUVS
Psalms 68 in the DBT
Psalms 68 in the DGDNT
Psalms 68 in the DHNT
Psalms 68 in the DNT
Psalms 68 in the ELBE
Psalms 68 in the EMTV
Psalms 68 in the ESV
Psalms 68 in the FBV
Psalms 68 in the FEB
Psalms 68 in the GGMNT
Psalms 68 in the GNT
Psalms 68 in the HARY
Psalms 68 in the HNT
Psalms 68 in the IRVA
Psalms 68 in the IRVB
Psalms 68 in the IRVG
Psalms 68 in the IRVH
Psalms 68 in the IRVK
Psalms 68 in the IRVM
Psalms 68 in the IRVM2
Psalms 68 in the IRVO
Psalms 68 in the IRVP
Psalms 68 in the IRVT
Psalms 68 in the IRVT2
Psalms 68 in the IRVU
Psalms 68 in the ISVN
Psalms 68 in the JSNT
Psalms 68 in the KAPI
Psalms 68 in the KBT1ETNIK
Psalms 68 in the KBV
Psalms 68 in the KJV
Psalms 68 in the KNFD
Psalms 68 in the LBA
Psalms 68 in the LBLA
Psalms 68 in the LNT
Psalms 68 in the LSV
Psalms 68 in the MAAL
Psalms 68 in the MBV
Psalms 68 in the MBV2
Psalms 68 in the MHNT
Psalms 68 in the MKNFD
Psalms 68 in the MNG
Psalms 68 in the MNT
Psalms 68 in the MNT2
Psalms 68 in the MRS1T
Psalms 68 in the NAA
Psalms 68 in the NASB
Psalms 68 in the NBLA
Psalms 68 in the NBS
Psalms 68 in the NBVTP
Psalms 68 in the NET2
Psalms 68 in the NIV11
Psalms 68 in the NNT
Psalms 68 in the NNT2
Psalms 68 in the NNT3
Psalms 68 in the PDDPT
Psalms 68 in the PFNT
Psalms 68 in the RMNT
Psalms 68 in the SBIAS
Psalms 68 in the SBIBS
Psalms 68 in the SBIBS2
Psalms 68 in the SBICS
Psalms 68 in the SBIDS
Psalms 68 in the SBIGS
Psalms 68 in the SBIHS
Psalms 68 in the SBIIS
Psalms 68 in the SBIIS2
Psalms 68 in the SBIIS3
Psalms 68 in the SBIKS
Psalms 68 in the SBIKS2
Psalms 68 in the SBIMS
Psalms 68 in the SBIOS
Psalms 68 in the SBIPS
Psalms 68 in the SBISS
Psalms 68 in the SBITS
Psalms 68 in the SBITS2
Psalms 68 in the SBITS3
Psalms 68 in the SBITS4
Psalms 68 in the SBIUS
Psalms 68 in the SBIVS
Psalms 68 in the SBT
Psalms 68 in the SBT1E
Psalms 68 in the SCHL
Psalms 68 in the SNT
Psalms 68 in the SUSU
Psalms 68 in the SUSU2
Psalms 68 in the SYNO
Psalms 68 in the TBIAOTANT
Psalms 68 in the TBT1E
Psalms 68 in the TBT1E2
Psalms 68 in the TFTIP
Psalms 68 in the TFTU
Psalms 68 in the TGNTATF3T
Psalms 68 in the THAI
Psalms 68 in the TNFD
Psalms 68 in the TNT
Psalms 68 in the TNTIK
Psalms 68 in the TNTIL
Psalms 68 in the TNTIN
Psalms 68 in the TNTIP
Psalms 68 in the TNTIZ
Psalms 68 in the TOMA
Psalms 68 in the TTENT
Psalms 68 in the UBG
Psalms 68 in the UGV
Psalms 68 in the UGV2
Psalms 68 in the UGV3
Psalms 68 in the VBL
Psalms 68 in the VDCC
Psalms 68 in the YALU
Psalms 68 in the YAPE
Psalms 68 in the YBVTP
Psalms 68 in the ZBP