Isaiah 22 (BOKCV)

1 Neno kuhusu Bonde la Maono:Nini kinachokutaabisha sasa,kwamba ninyi nyote mmepanda juu ya mapaa? 2 Ewe mji uliojaa ghasia,ewe mji wa makelele na sherehe!Watu wenu waliokufa hawakuuawa kwa upanga,wala hawakufa vitani. 3 Viongozi wako wote wamekimbia pamoja,wamekamatwa bila kutumia upinde.Ninyi nyote mliokamatwa mlichukuliwa wafungwa pamoja,mlikimbia wakati adui alipokuwa bado mbali. 4 Kwa hiyo nilisema, “Geukia mbali nami,niache nilie kwa uchungu.Usijaribu kunifarijijuu ya maangamizi ya watu wangu.” 5 Bwana, BWANA Mwenye Nguvu Zote, anayo sikuya ghasia, ya kukanyaga, na ya kuogofyakatika Bonde la Maono,siku ya kuangusha kutana ya kupiga kelele mpaka milimani. 6 Elamu analichukua podo,pamoja na waendesha magari ya vita na farasi.Kiri anaifungua ngao. 7 Mabonde yako yaliyo mazuri sana yamejaa magari ya vita,nao wapanda farasi wamewekwa kwenye malango ya mji; 8 ulinzi wa Yuda umeondolewa. Nawe ulitazama siku ilesilaha katika Jumba la Kifalme la Mwituni, 9 mkaona kuwa Mji wa Daudiuna matundu mengi katika ulinzi wake,mkaweka akiba ya majikwenye Bwawa la Chini. 10 Mlihesabu majengo katika Yerusalemunanyi mkabomoa nyumba ili kuimarisha ukuta. 11 Mlijenga bwawa la maji katikati ya kuta mbilikwa ajili ya maji ya Bwawa la Zamani,lakini hamkumtazama Yule aliyelitengeneza,au kuwa na heshima kwa Yule aliyeubuni tangu zamani za kale. 12 Bwana, BWANA Mwenye Nguvu Zote,aliwaita siku ileili kulia na kuomboleza,kungʼoa nywele zenu na kuvaa nguo ya gunia. 13 Lakini tazama, kuna furaha na sherehe,kuchinja ngʼombe na kuchinja kondoo,kula nyama na kunywa mvinyo!Mnasema, “Tuleni na kunywa,kwa kuwa kesho tutakufa!” 14 BWANA Mwenye Nguvu Zote amelifunua hili nikiwa ninasikia: Bwana, BWANA Mwenye Nguvu Zote, asema: “Mpaka siku ya kufa kwenu, dhambi hii haitafanyiwa upatanisho.” 15 Hili ndilo Bwana, BWANA Mwenye Nguvu Zote, asemalo:“Nenda ukamwambie huyu wakili Shebna,ambaye ni msimamizi wa jumba la kifalme: 16 Unafanya nini hapa, na ni nani aliyekupa ruhusakujikatia kaburi lako mwenyewe,ukichonga kaburi lako mahali palipo juu,na kutoboa kwa patasi mahali pako pa kupumzikia katika mwamba? 17 “Jihadhari, BWANA yu karibu kukukamata thabiti,na kukutupa mbali, ewe mtu mwenye nguvu. 18 Atakuvingirisha uwe kama mpirana kukutupa katika nchi kubwa.Huko ndiko utakakofia,na huko ndiko magari yako ya vita ya fahari yatabakia,wewe unayeifedhehesha nyumba ya bwana wako! 19 Nitakuondoa kutoka kazi yako,nawe utaondoshwa kutoka nafasi yako. 20 “Katika siku ile, nitamwita mtumishi wangu, Eliakimu mwana wa Hilkia. 21 Nitamvika joho lako, nami nitamfunga mshipi wako kiunoni mwake, na kumkabidhi mamlaka yako. Yeye atakuwa baba kwa wale wanaoishi Yerusalemu na kwa nyumba ya Yuda. 22 Nitaweka mabegani mwake ufunguo wa nyumba ya Daudi. Kile afunguacho hakuna awezaye kufunga, na kile afungacho hakuna awezaye kufungua. 23 Nitamgongomea kama kigingi kilicho mahali palipo imara, naye atakuwa kiti cha enzi cha heshima kwa ajili ya nyumba ya baba yake. 24 Utukufu wote wa jamaa yake utakuwa juu yake: Watoto wa jamaa hiyo na machipukizi yake, vyombo vyake vyote vidogo, tangu bakuli hadi magudulia yote.” 25 BWANA Mwenye Nguvu Zote asema, “Katika siku ile, kigingi kilichogongomewa mahali imara kitaachia njia. Kitakatwa, nacho kitaanguka na mzigo ulioningʼinia juu yake utaanguka chini.” BWANA amesema.

In Other Versions

Isaiah 22 in the ANGEFD

Isaiah 22 in the ANTPNG2D

Isaiah 22 in the AS21

Isaiah 22 in the BAGH

Isaiah 22 in the BBPNG

Isaiah 22 in the BBT1E

Isaiah 22 in the BDS

Isaiah 22 in the BEV

Isaiah 22 in the BHAD

Isaiah 22 in the BIB

Isaiah 22 in the BLPT

Isaiah 22 in the BNT

Isaiah 22 in the BNTABOOT

Isaiah 22 in the BNTLV

Isaiah 22 in the BOATCB

Isaiah 22 in the BOATCB2

Isaiah 22 in the BOBCV

Isaiah 22 in the BOCNT

Isaiah 22 in the BOECS

Isaiah 22 in the BOGWICC

Isaiah 22 in the BOHCB

Isaiah 22 in the BOHCV

Isaiah 22 in the BOHLNT

Isaiah 22 in the BOHNTLTAL

Isaiah 22 in the BOICB

Isaiah 22 in the BOILNTAP

Isaiah 22 in the BOITCV

Isaiah 22 in the BOKCV2

Isaiah 22 in the BOKHWOG

Isaiah 22 in the BOKSSV

Isaiah 22 in the BOLCB

Isaiah 22 in the BOLCB2

Isaiah 22 in the BOMCV

Isaiah 22 in the BONAV

Isaiah 22 in the BONCB

Isaiah 22 in the BONLT

Isaiah 22 in the BONUT2

Isaiah 22 in the BOPLNT

Isaiah 22 in the BOSCB

Isaiah 22 in the BOSNC

Isaiah 22 in the BOTLNT

Isaiah 22 in the BOVCB

Isaiah 22 in the BOYCB

Isaiah 22 in the BPBB

Isaiah 22 in the BPH

Isaiah 22 in the BSB

Isaiah 22 in the CCB

Isaiah 22 in the CUV

Isaiah 22 in the CUVS

Isaiah 22 in the DBT

Isaiah 22 in the DGDNT

Isaiah 22 in the DHNT

Isaiah 22 in the DNT

Isaiah 22 in the ELBE

Isaiah 22 in the EMTV

Isaiah 22 in the ESV

Isaiah 22 in the FBV

Isaiah 22 in the FEB

Isaiah 22 in the GGMNT

Isaiah 22 in the GNT

Isaiah 22 in the HARY

Isaiah 22 in the HNT

Isaiah 22 in the IRVA

Isaiah 22 in the IRVB

Isaiah 22 in the IRVG

Isaiah 22 in the IRVH

Isaiah 22 in the IRVK

Isaiah 22 in the IRVM

Isaiah 22 in the IRVM2

Isaiah 22 in the IRVO

Isaiah 22 in the IRVP

Isaiah 22 in the IRVT

Isaiah 22 in the IRVT2

Isaiah 22 in the IRVU

Isaiah 22 in the ISVN

Isaiah 22 in the JSNT

Isaiah 22 in the KAPI

Isaiah 22 in the KBT1ETNIK

Isaiah 22 in the KBV

Isaiah 22 in the KJV

Isaiah 22 in the KNFD

Isaiah 22 in the LBA

Isaiah 22 in the LBLA

Isaiah 22 in the LNT

Isaiah 22 in the LSV

Isaiah 22 in the MAAL

Isaiah 22 in the MBV

Isaiah 22 in the MBV2

Isaiah 22 in the MHNT

Isaiah 22 in the MKNFD

Isaiah 22 in the MNG

Isaiah 22 in the MNT

Isaiah 22 in the MNT2

Isaiah 22 in the MRS1T

Isaiah 22 in the NAA

Isaiah 22 in the NASB

Isaiah 22 in the NBLA

Isaiah 22 in the NBS

Isaiah 22 in the NBVTP

Isaiah 22 in the NET2

Isaiah 22 in the NIV11

Isaiah 22 in the NNT

Isaiah 22 in the NNT2

Isaiah 22 in the NNT3

Isaiah 22 in the PDDPT

Isaiah 22 in the PFNT

Isaiah 22 in the RMNT

Isaiah 22 in the SBIAS

Isaiah 22 in the SBIBS

Isaiah 22 in the SBIBS2

Isaiah 22 in the SBICS

Isaiah 22 in the SBIDS

Isaiah 22 in the SBIGS

Isaiah 22 in the SBIHS

Isaiah 22 in the SBIIS

Isaiah 22 in the SBIIS2

Isaiah 22 in the SBIIS3

Isaiah 22 in the SBIKS

Isaiah 22 in the SBIKS2

Isaiah 22 in the SBIMS

Isaiah 22 in the SBIOS

Isaiah 22 in the SBIPS

Isaiah 22 in the SBISS

Isaiah 22 in the SBITS

Isaiah 22 in the SBITS2

Isaiah 22 in the SBITS3

Isaiah 22 in the SBITS4

Isaiah 22 in the SBIUS

Isaiah 22 in the SBIVS

Isaiah 22 in the SBT

Isaiah 22 in the SBT1E

Isaiah 22 in the SCHL

Isaiah 22 in the SNT

Isaiah 22 in the SUSU

Isaiah 22 in the SUSU2

Isaiah 22 in the SYNO

Isaiah 22 in the TBIAOTANT

Isaiah 22 in the TBT1E

Isaiah 22 in the TBT1E2

Isaiah 22 in the TFTIP

Isaiah 22 in the TFTU

Isaiah 22 in the TGNTATF3T

Isaiah 22 in the THAI

Isaiah 22 in the TNFD

Isaiah 22 in the TNT

Isaiah 22 in the TNTIK

Isaiah 22 in the TNTIL

Isaiah 22 in the TNTIN

Isaiah 22 in the TNTIP

Isaiah 22 in the TNTIZ

Isaiah 22 in the TOMA

Isaiah 22 in the TTENT

Isaiah 22 in the UBG

Isaiah 22 in the UGV

Isaiah 22 in the UGV2

Isaiah 22 in the UGV3

Isaiah 22 in the VBL

Isaiah 22 in the VDCC

Isaiah 22 in the YALU

Isaiah 22 in the YAPE

Isaiah 22 in the YBVTP

Isaiah 22 in the ZBP