Joel 1 (BOKCV)
1 Neno la BWANA ambalo lilimjia Yoeli mwana wa Pethueli. 2 Sikilizeni hili, enyi wazee;sikilizeni, ninyi nyote mnaoishi katika nchi.Je, jambo kama hili lilishawahi kutokeakatika siku zenu au katika siku za babu zenu? 3 Waelezeni watoto wenu,na watoto wenu wawaambie watoto wao,na watoto wao kwa kizazi kitakachofuata. 4 Kilichosazwa na kundi la tunutunzige wakubwa wamekula,kilichosazwa na nzige wakubwaparare wamekula,kilichosazwa na pararemadumadu wamekula. 5 Amkeni, enyi walevi, mlie!Pigeni yowe enyi wanywaji wote wa mvinyo,pigeni yowe kwa sababu ya mvinyo mpya,kwa kuwa mmenyangʼanywakutoka midomoni mwenu. 6 Taifa limevamia nchi yangu,lenye nguvu tena lisilo na idadi;lina meno ya simba,magego ya simba jike. 7 Limeharibu mizabibu yanguna kuangamiza mitini yangu.Limebambua magome yakena kuyatupilia mbali,likayaacha matawi yake yakiwa meupe. 8 Omboleza kama bikira aliyevaa nguo ya guniaanayehuzunika kwa ajili ya mume wa ujana wake. 9 Sadaka za nafaka na sadaka za kinywajizimekatiliwa mbali kutoka nyumba ya BWANA.Makuhani wanaomboleza,wale wanaohudumu mbele za BWANA. 10 Mashamba yameharibiwa,ardhi imekauka;nafaka imeharibiwa,mvinyo mpya umekauka,mafuta yamekoma. 11 Kateni tamaa, enyi wakulima,lieni, enyi mlimao mizabibu;huzunikeni kwa ajili ya ngano na shayiri,kwa sababu mavuno ya shambani yameharibiwa. 12 Mzabibu umekaukana mtini umenyauka;mkomamanga, mtende na mtofaa,miti yote shambani, imekauka.Hakika furaha yote ya mwanadamuimeondoka. 13 Vaeni nguo ya gunia, enyi makuhani, muomboleze;pigeni yowe, enyi mnaohudumu madhabahuni.Njooni, vaeni nguo ya gunia usiku kucha,enyi mnaohudumu mbele za Mungu wangu;kwa kuwa sadaka za nafaka na sadaka za kinywajizimezuiliwa kufika katika nyumba ya Mungu wenu. 14 Tangazeni saumu takatifu;liiteni kusanyiko takatifu.Iteni wazeena wote waishio katika nchiwaende katika nyumba ya BWANA Mungu wenu,wakamlilie BWANA. 15 Ole kwa siku hiyo!Kwa kuwa siku ya BWANA iko karibu;itakuja kama uharibifukutoka kwa Mwenyezi. 16 Je, chakula hakikukatiliwa mbalimbele ya macho yetu:furaha na shangwekutoka nyumba ya Mungu wetu? 17 Mbegu zinakaukachini ya mabonge ya udongo.Ghala zimeachwa katika uharibifu,ghala za nafaka zimebomolewa,kwa maana hakuna nafaka. 18 Jinsi gani ngʼombe wanavyolia!Makundi ya mifugo yanahangaikakwa sababu hawana malisho;hata makundi ya kondoo yanateseka. 19 Kwako, Ee BWANA, naita,kwa kuwa moto umeteketezamalisho ya mbuganina miali ya moto imeunguzamiti yote shambani. 20 Hata wanyama wa porini wanakuonea shauku;vijito vya maji vimekauka,na moto umeteketezamalisho yote ya mbugani.
In Other Versions
Joel 1 in the ANGEFD
Joel 1 in the ANTPNG2D
Joel 1 in the AS21
Joel 1 in the BAGH
Joel 1 in the BBPNG
Joel 1 in the BBT1E
Joel 1 in the BDS
Joel 1 in the BEV
Joel 1 in the BHAD
Joel 1 in the BIB
Joel 1 in the BLPT
Joel 1 in the BNT
Joel 1 in the BNTABOOT
Joel 1 in the BNTLV
Joel 1 in the BOATCB
Joel 1 in the BOATCB2
Joel 1 in the BOBCV
Joel 1 in the BOCNT
Joel 1 in the BOECS
Joel 1 in the BOGWICC
Joel 1 in the BOHCB
Joel 1 in the BOHCV
Joel 1 in the BOHLNT
Joel 1 in the BOHNTLTAL
Joel 1 in the BOICB
Joel 1 in the BOILNTAP
Joel 1 in the BOITCV
Joel 1 in the BOKCV2
Joel 1 in the BOKHWOG
Joel 1 in the BOKSSV
Joel 1 in the BOLCB
Joel 1 in the BOLCB2
Joel 1 in the BOMCV
Joel 1 in the BONAV
Joel 1 in the BONCB
Joel 1 in the BONLT
Joel 1 in the BONUT2
Joel 1 in the BOPLNT
Joel 1 in the BOSCB
Joel 1 in the BOSNC
Joel 1 in the BOTLNT
Joel 1 in the BOVCB
Joel 1 in the BOYCB
Joel 1 in the BPBB
Joel 1 in the BPH
Joel 1 in the BSB
Joel 1 in the CCB
Joel 1 in the CUV
Joel 1 in the CUVS
Joel 1 in the DBT
Joel 1 in the DGDNT
Joel 1 in the DHNT
Joel 1 in the DNT
Joel 1 in the ELBE
Joel 1 in the EMTV
Joel 1 in the ESV
Joel 1 in the FBV
Joel 1 in the FEB
Joel 1 in the GGMNT
Joel 1 in the GNT
Joel 1 in the HARY
Joel 1 in the HNT
Joel 1 in the IRVA
Joel 1 in the IRVB
Joel 1 in the IRVG
Joel 1 in the IRVH
Joel 1 in the IRVK
Joel 1 in the IRVM
Joel 1 in the IRVM2
Joel 1 in the IRVO
Joel 1 in the IRVP
Joel 1 in the IRVT
Joel 1 in the IRVT2
Joel 1 in the IRVU
Joel 1 in the ISVN
Joel 1 in the JSNT
Joel 1 in the KAPI
Joel 1 in the KBT1ETNIK
Joel 1 in the KBV
Joel 1 in the KJV
Joel 1 in the KNFD
Joel 1 in the LBA
Joel 1 in the LBLA
Joel 1 in the LNT
Joel 1 in the LSV
Joel 1 in the MAAL
Joel 1 in the MBV
Joel 1 in the MBV2
Joel 1 in the MHNT
Joel 1 in the MKNFD
Joel 1 in the MNG
Joel 1 in the MNT
Joel 1 in the MNT2
Joel 1 in the MRS1T
Joel 1 in the NAA
Joel 1 in the NASB
Joel 1 in the NBLA
Joel 1 in the NBS
Joel 1 in the NBVTP
Joel 1 in the NET2
Joel 1 in the NIV11
Joel 1 in the NNT
Joel 1 in the NNT2
Joel 1 in the NNT3
Joel 1 in the PDDPT
Joel 1 in the PFNT
Joel 1 in the RMNT
Joel 1 in the SBIAS
Joel 1 in the SBIBS
Joel 1 in the SBIBS2
Joel 1 in the SBICS
Joel 1 in the SBIDS
Joel 1 in the SBIGS
Joel 1 in the SBIHS
Joel 1 in the SBIIS
Joel 1 in the SBIIS2
Joel 1 in the SBIIS3
Joel 1 in the SBIKS
Joel 1 in the SBIKS2
Joel 1 in the SBIMS
Joel 1 in the SBIOS
Joel 1 in the SBIPS
Joel 1 in the SBISS
Joel 1 in the SBITS
Joel 1 in the SBITS2
Joel 1 in the SBITS3
Joel 1 in the SBITS4
Joel 1 in the SBIUS
Joel 1 in the SBIVS
Joel 1 in the SBT
Joel 1 in the SBT1E
Joel 1 in the SCHL
Joel 1 in the SNT
Joel 1 in the SUSU
Joel 1 in the SUSU2
Joel 1 in the SYNO
Joel 1 in the TBIAOTANT
Joel 1 in the TBT1E
Joel 1 in the TBT1E2
Joel 1 in the TFTIP
Joel 1 in the TFTU
Joel 1 in the TGNTATF3T
Joel 1 in the THAI
Joel 1 in the TNFD
Joel 1 in the TNT
Joel 1 in the TNTIK
Joel 1 in the TNTIL
Joel 1 in the TNTIN
Joel 1 in the TNTIP
Joel 1 in the TNTIZ
Joel 1 in the TOMA
Joel 1 in the TTENT
Joel 1 in the UBG
Joel 1 in the UGV
Joel 1 in the UGV2
Joel 1 in the UGV3
Joel 1 in the VBL
Joel 1 in the VDCC
Joel 1 in the YALU
Joel 1 in the YAPE
Joel 1 in the YBVTP
Joel 1 in the ZBP