Nahum 3 (BOKCV)
1 Ole wa mji umwagao damu,uliojaa uongo,umejaa nyara,usiokosa kuwa na vitu vya kuteka nyara. 2 Kelele za mijeledi,vishindo vya magurudumu,farasi waendao mbiona mshtuo wa magari ya vita! 3 Wapanda farasi wanaenda mbio,panga zinameremeta,na mikuki inangʼaa!Majeruhi wengi,malundo ya maiti,idadi kubwa ya miili isiyohesabika,watu wanajikwaa juu ya mizoga: 4 yote haya kwa sababu ya wingi wa tamaa za kahaba,anayeshawishi, bibi wa mambo ya uchawi,anayewatia utumwani mataifa kwa ukahaba wakena pia jamaa za watu kwa ulozi wake. 5 BWANA Mwenye Nguvu Zote anasema,“Mimi ni kinyume na ninyi.Nitafunika uso wako kwa gauni lako.Nitaonyesha mataifa uchi wakona falme aibu yako. 6 Nitakutupia uchafu,nitakufanyia dharauna kukufanya kioja. 7 Wote wanaokuona watakukimbia na kusema,‘Ninawi ipo katika kuangamia:ni nani atakayeomboleza kwa ajili yake?’Nitampata wapi yeyote wa kukufariji?” 8 Je, wewe ni bora kuliko No-Amoni,uliopo katika Mto Naili,uliozungukwa na maji?Mto ulikuwa kinga yake,nayo maji yalikuwa ukuta wake. 9 Kushi na Misri walikuwa nguvu zake zisizo na mpaka;Putu na Libia walikuwa miongoni mwa wale walioungana naye. 10 Hata hivyo alichukuliwa matekana kwenda uhamishoni.Watoto wake wachanga walivunjwa vunjwa vipandekwenye mwanzo wa kila barabara.Kura zilipigwa kwa watu wake wenye heshima,na watu wake wote wakuu walifungwa kwa minyororo. 11 Wewe pia utalewa;utakwenda mafichonina kutafuta kimbilio kutoka kwa adui. 12 Ngome zako zote ni kama mitiniyenye matunda yake ya kwanza yaliyoiva;wakati inapotikiswa,tini huanguka kwenye kinywa chake alaye. 13 Tazama vikosi vyako:wote ni wanawake!Malango ya nchi yakoyamekuwa wazi kwa adui zako;moto umeteketeza mapingo yake. 14 Teka maji kwa ajili ya kuzingirwa kwako,imarisha ulinzi wako,Ufanyie udongo wa mfinyanzi kazi,yakanyage matope,karabati tanuru la kuchomea matofali! 15 Huko moto utakuteketeza,huko upanga utakuangusha chinina kama vile panzi, watakumaliza.Ongezeka kama panzi,ongezeka kama nzige! 16 Umeongeza idadi ya wafanyabiashara wakompaka wamekuwa wengi kuliko nyota za angani,lakini kama nzige wanaacha nchi tupukisha huruka na kwenda zake. 17 Walinzi wako ni kama nzige,maafisa wako ni kama makundi ya nzigewatuao kwenye kuta wakati wa siku ya baridi:lakini wakati jua linapotokea wanaruka kwenda zao,na hakuna ajuaye waendako. 18 Ee mfalme wa Ashuru, wachungaji wako wanasinzia;wakuu wako wanalala chini mavumbini kupumzika.Watu wako wametawanyika juu ya milimabila kuwa na mtu yeyote wa kuwakusanya. 19 Hakuna kitu kinachoweza kuponya jeraha lako;jeraha lako ni la kukuua.Kila anayesikia habari zako,hupiga makofi kwa kuanguka kwako,kwa kuwa ni nani ambaye hajaguswana ukatili wako usio na mwisho?
In Other Versions
Nahum 3 in the ANGEFD
Nahum 3 in the ANTPNG2D
Nahum 3 in the AS21
Nahum 3 in the BAGH
Nahum 3 in the BBPNG
Nahum 3 in the BBT1E
Nahum 3 in the BDS
Nahum 3 in the BEV
Nahum 3 in the BHAD
Nahum 3 in the BIB
Nahum 3 in the BLPT
Nahum 3 in the BNT
Nahum 3 in the BNTABOOT
Nahum 3 in the BNTLV
Nahum 3 in the BOATCB
Nahum 3 in the BOATCB2
Nahum 3 in the BOBCV
Nahum 3 in the BOCNT
Nahum 3 in the BOECS
Nahum 3 in the BOGWICC
Nahum 3 in the BOHCB
Nahum 3 in the BOHCV
Nahum 3 in the BOHLNT
Nahum 3 in the BOHNTLTAL
Nahum 3 in the BOICB
Nahum 3 in the BOILNTAP
Nahum 3 in the BOITCV
Nahum 3 in the BOKCV2
Nahum 3 in the BOKHWOG
Nahum 3 in the BOKSSV
Nahum 3 in the BOLCB
Nahum 3 in the BOLCB2
Nahum 3 in the BOMCV
Nahum 3 in the BONAV
Nahum 3 in the BONCB
Nahum 3 in the BONLT
Nahum 3 in the BONUT2
Nahum 3 in the BOPLNT
Nahum 3 in the BOSCB
Nahum 3 in the BOSNC
Nahum 3 in the BOTLNT
Nahum 3 in the BOVCB
Nahum 3 in the BOYCB
Nahum 3 in the BPBB
Nahum 3 in the BPH
Nahum 3 in the BSB
Nahum 3 in the CCB
Nahum 3 in the CUV
Nahum 3 in the CUVS
Nahum 3 in the DBT
Nahum 3 in the DGDNT
Nahum 3 in the DHNT
Nahum 3 in the DNT
Nahum 3 in the ELBE
Nahum 3 in the EMTV
Nahum 3 in the ESV
Nahum 3 in the FBV
Nahum 3 in the FEB
Nahum 3 in the GGMNT
Nahum 3 in the GNT
Nahum 3 in the HARY
Nahum 3 in the HNT
Nahum 3 in the IRVA
Nahum 3 in the IRVB
Nahum 3 in the IRVG
Nahum 3 in the IRVH
Nahum 3 in the IRVK
Nahum 3 in the IRVM
Nahum 3 in the IRVM2
Nahum 3 in the IRVO
Nahum 3 in the IRVP
Nahum 3 in the IRVT
Nahum 3 in the IRVT2
Nahum 3 in the IRVU
Nahum 3 in the ISVN
Nahum 3 in the JSNT
Nahum 3 in the KAPI
Nahum 3 in the KBT1ETNIK
Nahum 3 in the KBV
Nahum 3 in the KJV
Nahum 3 in the KNFD
Nahum 3 in the LBA
Nahum 3 in the LBLA
Nahum 3 in the LNT
Nahum 3 in the LSV
Nahum 3 in the MAAL
Nahum 3 in the MBV
Nahum 3 in the MBV2
Nahum 3 in the MHNT
Nahum 3 in the MKNFD
Nahum 3 in the MNG
Nahum 3 in the MNT
Nahum 3 in the MNT2
Nahum 3 in the MRS1T
Nahum 3 in the NAA
Nahum 3 in the NASB
Nahum 3 in the NBLA
Nahum 3 in the NBS
Nahum 3 in the NBVTP
Nahum 3 in the NET2
Nahum 3 in the NIV11
Nahum 3 in the NNT
Nahum 3 in the NNT2
Nahum 3 in the NNT3
Nahum 3 in the PDDPT
Nahum 3 in the PFNT
Nahum 3 in the RMNT
Nahum 3 in the SBIAS
Nahum 3 in the SBIBS
Nahum 3 in the SBIBS2
Nahum 3 in the SBICS
Nahum 3 in the SBIDS
Nahum 3 in the SBIGS
Nahum 3 in the SBIHS
Nahum 3 in the SBIIS
Nahum 3 in the SBIIS2
Nahum 3 in the SBIIS3
Nahum 3 in the SBIKS
Nahum 3 in the SBIKS2
Nahum 3 in the SBIMS
Nahum 3 in the SBIOS
Nahum 3 in the SBIPS
Nahum 3 in the SBISS
Nahum 3 in the SBITS
Nahum 3 in the SBITS2
Nahum 3 in the SBITS3
Nahum 3 in the SBITS4
Nahum 3 in the SBIUS
Nahum 3 in the SBIVS
Nahum 3 in the SBT
Nahum 3 in the SBT1E
Nahum 3 in the SCHL
Nahum 3 in the SNT
Nahum 3 in the SUSU
Nahum 3 in the SUSU2
Nahum 3 in the SYNO
Nahum 3 in the TBIAOTANT
Nahum 3 in the TBT1E
Nahum 3 in the TBT1E2
Nahum 3 in the TFTIP
Nahum 3 in the TFTU
Nahum 3 in the TGNTATF3T
Nahum 3 in the THAI
Nahum 3 in the TNFD
Nahum 3 in the TNT
Nahum 3 in the TNTIK
Nahum 3 in the TNTIL
Nahum 3 in the TNTIN
Nahum 3 in the TNTIP
Nahum 3 in the TNTIZ
Nahum 3 in the TOMA
Nahum 3 in the TTENT
Nahum 3 in the UBG
Nahum 3 in the UGV
Nahum 3 in the UGV2
Nahum 3 in the UGV3
Nahum 3 in the VBL
Nahum 3 in the VDCC
Nahum 3 in the YALU
Nahum 3 in the YAPE
Nahum 3 in the YBVTP
Nahum 3 in the ZBP