Proverbs 14 (BOKCV)

1 Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake,bali mpumbavu huibomoa nyumba yakekwa mikono yake mwenyewe. 2 Yeye ambaye njia zake ni nyofu humcha BWANA,bali yeye ambaye njia zake zimepotoka humdharau Mungu. 3 Mazungumzo ya mpumbavu huleta fimbo mgongoni mwake,bali mwenye hekima hulindwa na maneno ya midomo yake. 4 Pale ambapo hakuna mafahali, hori ni tupu,bali kutokana na nguvu za fahali huja mavuno mengi. 5 Shahidi mwaminifu hadanganyi,bali shahidi wa uongo humimina uongo. 6 Mwenye mzaha huitafuta hekima na haipati,bali maarifa huja kwa urahisi kwa anayepambanua. 7 Kaa mbali na mtu mpumbavu,kwa maana hutapata maarifa katika midomo yake. 8 Hekima ya mwenye busara ni kufikiria njia zake,bali upumbavu wa wapumbavu ni udanganyifu. 9 Wapumbavu hudhihaki kujirekebisha kutoka dhambi,bali wema hupatikana miongoni mwa wanyofu. 10 Kila moyo hujua uchungu wake wenyewe,wala hakuna yeyote awezaye kushiriki furaha yake. 11 Nyumba ya mwovu itaangamizwa,bali hema la mnyofu litastawi. 12 Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu,bali mwisho wake huelekeza mautini. 13 Hata katika kicheko moyo waweza kuuma,nayo furaha yaweza kuishia katika majonzi. 14 Wasio na imani watapatilizwa kikamilifu kwa ajili ya njia zao,naye mtu mwema atapewa thawabu kwa ajili ya njia yake. 15 Mtu mjinga huamini kila kitu,bali mwenye busara hufikiria hatua zake. 16 Mtu mwenye hekima humcha BWANA na kuepuka mabaya,bali mpumbavu hukasirika kwa hamaki na uzembe. 17 Mtu anayekasirika kwa haraka hufanya mambo ya upumbavu,naye mtu wa hila huchukiwa. 18 Mjinga hurithi upumbavu,bali wenye busara huvikwa maarifa kichwani kama taji. 19 Watu wabaya watasujudu mbele ya watu wema,nao waovu kwenye malango ya wenye haki. 20 Maskini huepukwa hata na majirani zao,bali matajiri wana marafiki wengi. 21 Yeye anayemdharau jirani yake hutenda dhambi,bali amebarikiwa yeye aliye na huruma kwa mhitaji. 22 Je, wale wanaopanga ubaya hawapotoki?Bali wale wanaopanga kilicho chemahupata upendo na uaminifu. 23 Kazi zote zinazofanywa kwa bidii huleta faida,bali mazungumzo matupu huelekea umaskini tu. 24 Utajiri wa wenye hekima ni taji yao,bali upumbavu wa wapumbavu huzaa upumbavu. 25 Shahidi wa kweli huokoa maisha,bali shahidi wa uongo ni mdanganyifu. 26 Yeye amchaye BWANA ana ngome salama,na kwa watoto wake itakuwa kimbilio. 27 Kumcha BWANA ni chemchemi ya uzima,ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti. 28 Wingi wa watu ni utukufu wa mfalme,bali pasipo watu mkuu huangamia. 29 Mtu mwenye subira ana ufahamu mwingi,bali anayekasirika haraka huonyesha upumbavu. 30 Moyo wenye amani huupa mwili uzima,bali wivu huozesha mifupa. 31 Yeye amwoneaye maskini huonyesha dharau kwa Muumba wao,bali yeyote anayemhurumia mhitaji humheshimu Mungu. 32 Waovu huangamizwa kwa matendo yao maovu,bali hata katika kifo wenye haki hupata kimbilio. 33 Hekima hukaa katika moyo wa mwenye ufahamubali haijulikani miongoni mwa wapumbavu. 34 Haki huinua taifa,bali dhambi ni aibu kwa watu wote. 35 Mfalme hupendezwa na mtumishi mwenye hekima,bali ghadhabu yake humwangukiamtumishi mwenye kuaibisha.

In Other Versions

Proverbs 14 in the ANGEFD

Proverbs 14 in the ANTPNG2D

Proverbs 14 in the AS21

Proverbs 14 in the BAGH

Proverbs 14 in the BBPNG

Proverbs 14 in the BBT1E

Proverbs 14 in the BDS

Proverbs 14 in the BEV

Proverbs 14 in the BHAD

Proverbs 14 in the BIB

Proverbs 14 in the BLPT

Proverbs 14 in the BNT

Proverbs 14 in the BNTABOOT

Proverbs 14 in the BNTLV

Proverbs 14 in the BOATCB

Proverbs 14 in the BOATCB2

Proverbs 14 in the BOBCV

Proverbs 14 in the BOCNT

Proverbs 14 in the BOECS

Proverbs 14 in the BOGWICC

Proverbs 14 in the BOHCB

Proverbs 14 in the BOHCV

Proverbs 14 in the BOHLNT

Proverbs 14 in the BOHNTLTAL

Proverbs 14 in the BOICB

Proverbs 14 in the BOILNTAP

Proverbs 14 in the BOITCV

Proverbs 14 in the BOKCV2

Proverbs 14 in the BOKHWOG

Proverbs 14 in the BOKSSV

Proverbs 14 in the BOLCB

Proverbs 14 in the BOLCB2

Proverbs 14 in the BOMCV

Proverbs 14 in the BONAV

Proverbs 14 in the BONCB

Proverbs 14 in the BONLT

Proverbs 14 in the BONUT2

Proverbs 14 in the BOPLNT

Proverbs 14 in the BOSCB

Proverbs 14 in the BOSNC

Proverbs 14 in the BOTLNT

Proverbs 14 in the BOVCB

Proverbs 14 in the BOYCB

Proverbs 14 in the BPBB

Proverbs 14 in the BPH

Proverbs 14 in the BSB

Proverbs 14 in the CCB

Proverbs 14 in the CUV

Proverbs 14 in the CUVS

Proverbs 14 in the DBT

Proverbs 14 in the DGDNT

Proverbs 14 in the DHNT

Proverbs 14 in the DNT

Proverbs 14 in the ELBE

Proverbs 14 in the EMTV

Proverbs 14 in the ESV

Proverbs 14 in the FBV

Proverbs 14 in the FEB

Proverbs 14 in the GGMNT

Proverbs 14 in the GNT

Proverbs 14 in the HARY

Proverbs 14 in the HNT

Proverbs 14 in the IRVA

Proverbs 14 in the IRVB

Proverbs 14 in the IRVG

Proverbs 14 in the IRVH

Proverbs 14 in the IRVK

Proverbs 14 in the IRVM

Proverbs 14 in the IRVM2

Proverbs 14 in the IRVO

Proverbs 14 in the IRVP

Proverbs 14 in the IRVT

Proverbs 14 in the IRVT2

Proverbs 14 in the IRVU

Proverbs 14 in the ISVN

Proverbs 14 in the JSNT

Proverbs 14 in the KAPI

Proverbs 14 in the KBT1ETNIK

Proverbs 14 in the KBV

Proverbs 14 in the KJV

Proverbs 14 in the KNFD

Proverbs 14 in the LBA

Proverbs 14 in the LBLA

Proverbs 14 in the LNT

Proverbs 14 in the LSV

Proverbs 14 in the MAAL

Proverbs 14 in the MBV

Proverbs 14 in the MBV2

Proverbs 14 in the MHNT

Proverbs 14 in the MKNFD

Proverbs 14 in the MNG

Proverbs 14 in the MNT

Proverbs 14 in the MNT2

Proverbs 14 in the MRS1T

Proverbs 14 in the NAA

Proverbs 14 in the NASB

Proverbs 14 in the NBLA

Proverbs 14 in the NBS

Proverbs 14 in the NBVTP

Proverbs 14 in the NET2

Proverbs 14 in the NIV11

Proverbs 14 in the NNT

Proverbs 14 in the NNT2

Proverbs 14 in the NNT3

Proverbs 14 in the PDDPT

Proverbs 14 in the PFNT

Proverbs 14 in the RMNT

Proverbs 14 in the SBIAS

Proverbs 14 in the SBIBS

Proverbs 14 in the SBIBS2

Proverbs 14 in the SBICS

Proverbs 14 in the SBIDS

Proverbs 14 in the SBIGS

Proverbs 14 in the SBIHS

Proverbs 14 in the SBIIS

Proverbs 14 in the SBIIS2

Proverbs 14 in the SBIIS3

Proverbs 14 in the SBIKS

Proverbs 14 in the SBIKS2

Proverbs 14 in the SBIMS

Proverbs 14 in the SBIOS

Proverbs 14 in the SBIPS

Proverbs 14 in the SBISS

Proverbs 14 in the SBITS

Proverbs 14 in the SBITS2

Proverbs 14 in the SBITS3

Proverbs 14 in the SBITS4

Proverbs 14 in the SBIUS

Proverbs 14 in the SBIVS

Proverbs 14 in the SBT

Proverbs 14 in the SBT1E

Proverbs 14 in the SCHL

Proverbs 14 in the SNT

Proverbs 14 in the SUSU

Proverbs 14 in the SUSU2

Proverbs 14 in the SYNO

Proverbs 14 in the TBIAOTANT

Proverbs 14 in the TBT1E

Proverbs 14 in the TBT1E2

Proverbs 14 in the TFTIP

Proverbs 14 in the TFTU

Proverbs 14 in the TGNTATF3T

Proverbs 14 in the THAI

Proverbs 14 in the TNFD

Proverbs 14 in the TNT

Proverbs 14 in the TNTIK

Proverbs 14 in the TNTIL

Proverbs 14 in the TNTIN

Proverbs 14 in the TNTIP

Proverbs 14 in the TNTIZ

Proverbs 14 in the TOMA

Proverbs 14 in the TTENT

Proverbs 14 in the UBG

Proverbs 14 in the UGV

Proverbs 14 in the UGV2

Proverbs 14 in the UGV3

Proverbs 14 in the VBL

Proverbs 14 in the VDCC

Proverbs 14 in the YALU

Proverbs 14 in the YAPE

Proverbs 14 in the YBVTP

Proverbs 14 in the ZBP