Psalms 37 (BOKCV)
undefined Zaburi ya Daudi. 1 Usisumbuke kwa ajili ya watendao maovu,wala usiwaonee wivu watendao mabaya, 2 kwa maana kama majani watanyauka mara,kama mimea ya kijani watakufa mara. 3 Mtumaini BWANA na utende yaliyo mema;Kaa katika nchi ukafurahie malisho salama. 4 Jifurahishe katika BWANAnaye atakupa haja za moyo wako. 5 Mkabidhi BWANA njia yako,mtumaini yeye, naye atatenda hili: 6 Yeye atafanya haki yako ingʼae kama mapambazuko,na hukumu ya shauri lako kama jua la adhuhuri. 7 Tulia mbele za BWANAna umngojee kwa uvumilivu;usisumbuke watu wanapofanikiwa katika njia zao,wanapotekeleza mipango yao miovu. 8 Epuka hasira na uache ghadhabu,usihangaike: itakuongoza tu kutenda uovu. 9 Kwa maana waovu watakatiliwa mbali,bali wale wanaomtumaini BWANA watairithi nchi. 10 Bado kitambo kidogo, nao waovu hawataonekana,ingawa utawatafuta, hawataonekana. 11 Bali wanyenyekevu watairithi nchina wafurahie amani tele. 12 Waovu hula njama dhidi ya wenye hakina kuwasagia meno, 13 bali Bwana huwacheka waovu,kwa sababu anajua siku yao inakuja. 14 Waovu huchomoa upangana kupinda upinde,ili wawaangushe maskini na wahitaji,kuwachinja wale ambao njia zao ni nyofu. 15 Lakini panga zao zitachoma mioyo yao wenyewe,na pinde zao zitavunjwa. 16 Bora kidogo walicho nacho wenye hakikuliko wingi wa mali wa waovu wengi; 17 kwa maana nguvu za waovu zitavunjwa,lakini BWANA humtegemeza mwenye haki. 18 BWANA anazifahamu siku za wanyofu,na urithi wao utadumu milele. 19 Siku za maafa hawatanyauka,siku za njaa watafurahia wingi wa vitu. 20 Lakini waovu wataangamia:Adui za BWANA watakuwakama uzuri wa mashamba,watatoweka,watatoweka kama moshi. 21 Waovu hukopa na hawalipi,bali wenye haki hutoa kwa ukarimu. 22 Wale wanaobarikiwa na BWANA watairithi nchi,bali wale anaowalaani watakatiliwa mbali. 23 Kama BWANA akipendezwa na njia ya mtu,yeye huimarisha hatua zake, 24 ajapojikwaa, hataanguka,kwa maana BWANAhumtegemeza kwa mkono wake. 25 Nilikuwa kijana na sasa ni mzee,lakini sijaona kamwe wenye haki wameachwaau watoto wao wakiombaomba chakula. 26 Wakati wote ni wakarimu na hukopesha bila masharti.Watoto wao watabarikiwa. 27 Acha ubaya na utende wema,nawe utaishi katika nchi milele. 28 Kwa kuwa BWANA huwapenda wenye hakinaye hatawaacha waaminifu wake. Watalindwa milele,lakini uzao wa waovu utakatiliwa mbali. 29 Wenye haki watairithi nchi,na kuishi humo milele. 30 Kinywa cha mwenye haki hutamka hekima,nao ulimi wake huzungumza lililo haki. 31 Sheria ya Mungu wake imo moyoni mwake;nyayo zake hazitelezi. 32 Watu waovu huvizia wenye haki,wakitafuta kuwaua; 33 lakini BWANA hatawaacha mikononi mwaowala hatawaacha wahukumiwekuwa wakosa wanaposhtakiwa. 34 Mngojee BWANA,na uishike njia yake.Naye atakutukuza uirithi nchi,waovu watakapokatiliwa mbali,utaliona hilo. 35 Nimemwona mtu mwovu na mkatili akistawikama mwerezi wa Lebanoni, 36 lakini alitoweka mara na hakuonekana,ingawa nilimtafuta, hakupatikana. 37 Watafakari watu wasio na hatia,wachunguze watu wakamilifu,kuna mafanikio kwa mtu apendaye amani. 38 Lakini watenda dhambi wote wataangamizwa,mafanikio yao yatakatiliwa mbali. 39 Wokovu wa wenye haki hutoka kwa BWANA,yeye ni ngome yao wakati wa shida. 40 BWANA huwasaidia na kuwaokoa,huwaokoa kutoka kwa waovu na kuwahifadhi,kwa maana wanamkimbilia.
In Other Versions
Psalms 37 in the ANGEFD
Psalms 37 in the ANTPNG2D
Psalms 37 in the AS21
Psalms 37 in the BAGH
Psalms 37 in the BBPNG
Psalms 37 in the BBT1E
Psalms 37 in the BDS
Psalms 37 in the BEV
Psalms 37 in the BHAD
Psalms 37 in the BIB
Psalms 37 in the BLPT
Psalms 37 in the BNT
Psalms 37 in the BNTABOOT
Psalms 37 in the BNTLV
Psalms 37 in the BOATCB
Psalms 37 in the BOATCB2
Psalms 37 in the BOBCV
Psalms 37 in the BOCNT
Psalms 37 in the BOECS
Psalms 37 in the BOGWICC
Psalms 37 in the BOHCB
Psalms 37 in the BOHCV
Psalms 37 in the BOHLNT
Psalms 37 in the BOHNTLTAL
Psalms 37 in the BOICB
Psalms 37 in the BOILNTAP
Psalms 37 in the BOITCV
Psalms 37 in the BOKCV2
Psalms 37 in the BOKHWOG
Psalms 37 in the BOKSSV
Psalms 37 in the BOLCB
Psalms 37 in the BOLCB2
Psalms 37 in the BOMCV
Psalms 37 in the BONAV
Psalms 37 in the BONCB
Psalms 37 in the BONLT
Psalms 37 in the BONUT2
Psalms 37 in the BOPLNT
Psalms 37 in the BOSCB
Psalms 37 in the BOSNC
Psalms 37 in the BOTLNT
Psalms 37 in the BOVCB
Psalms 37 in the BOYCB
Psalms 37 in the BPBB
Psalms 37 in the BPH
Psalms 37 in the BSB
Psalms 37 in the CCB
Psalms 37 in the CUV
Psalms 37 in the CUVS
Psalms 37 in the DBT
Psalms 37 in the DGDNT
Psalms 37 in the DHNT
Psalms 37 in the DNT
Psalms 37 in the ELBE
Psalms 37 in the EMTV
Psalms 37 in the ESV
Psalms 37 in the FBV
Psalms 37 in the FEB
Psalms 37 in the GGMNT
Psalms 37 in the GNT
Psalms 37 in the HARY
Psalms 37 in the HNT
Psalms 37 in the IRVA
Psalms 37 in the IRVB
Psalms 37 in the IRVG
Psalms 37 in the IRVH
Psalms 37 in the IRVK
Psalms 37 in the IRVM
Psalms 37 in the IRVM2
Psalms 37 in the IRVO
Psalms 37 in the IRVP
Psalms 37 in the IRVT
Psalms 37 in the IRVT2
Psalms 37 in the IRVU
Psalms 37 in the ISVN
Psalms 37 in the JSNT
Psalms 37 in the KAPI
Psalms 37 in the KBT1ETNIK
Psalms 37 in the KBV
Psalms 37 in the KJV
Psalms 37 in the KNFD
Psalms 37 in the LBA
Psalms 37 in the LBLA
Psalms 37 in the LNT
Psalms 37 in the LSV
Psalms 37 in the MAAL
Psalms 37 in the MBV
Psalms 37 in the MBV2
Psalms 37 in the MHNT
Psalms 37 in the MKNFD
Psalms 37 in the MNG
Psalms 37 in the MNT
Psalms 37 in the MNT2
Psalms 37 in the MRS1T
Psalms 37 in the NAA
Psalms 37 in the NASB
Psalms 37 in the NBLA
Psalms 37 in the NBS
Psalms 37 in the NBVTP
Psalms 37 in the NET2
Psalms 37 in the NIV11
Psalms 37 in the NNT
Psalms 37 in the NNT2
Psalms 37 in the NNT3
Psalms 37 in the PDDPT
Psalms 37 in the PFNT
Psalms 37 in the RMNT
Psalms 37 in the SBIAS
Psalms 37 in the SBIBS
Psalms 37 in the SBIBS2
Psalms 37 in the SBICS
Psalms 37 in the SBIDS
Psalms 37 in the SBIGS
Psalms 37 in the SBIHS
Psalms 37 in the SBIIS
Psalms 37 in the SBIIS2
Psalms 37 in the SBIIS3
Psalms 37 in the SBIKS
Psalms 37 in the SBIKS2
Psalms 37 in the SBIMS
Psalms 37 in the SBIOS
Psalms 37 in the SBIPS
Psalms 37 in the SBISS
Psalms 37 in the SBITS
Psalms 37 in the SBITS2
Psalms 37 in the SBITS3
Psalms 37 in the SBITS4
Psalms 37 in the SBIUS
Psalms 37 in the SBIVS
Psalms 37 in the SBT
Psalms 37 in the SBT1E
Psalms 37 in the SCHL
Psalms 37 in the SNT
Psalms 37 in the SUSU
Psalms 37 in the SUSU2
Psalms 37 in the SYNO
Psalms 37 in the TBIAOTANT
Psalms 37 in the TBT1E
Psalms 37 in the TBT1E2
Psalms 37 in the TFTIP
Psalms 37 in the TFTU
Psalms 37 in the TGNTATF3T
Psalms 37 in the THAI
Psalms 37 in the TNFD
Psalms 37 in the TNT
Psalms 37 in the TNTIK
Psalms 37 in the TNTIL
Psalms 37 in the TNTIN
Psalms 37 in the TNTIP
Psalms 37 in the TNTIZ
Psalms 37 in the TOMA
Psalms 37 in the TTENT
Psalms 37 in the UBG
Psalms 37 in the UGV
Psalms 37 in the UGV2
Psalms 37 in the UGV3
Psalms 37 in the VBL
Psalms 37 in the VDCC
Psalms 37 in the YALU
Psalms 37 in the YAPE
Psalms 37 in the YBVTP
Psalms 37 in the ZBP