Isaiah 60 (BOKCV)
1 “Ondoka, angaza, kwa kuwa nuru yako imekujana utukufu wa BWANA umezuka juu yako. 2 Tazama, giza litaifunika duniana giza kuu litayafunika mataifa,lakini BWANA atazuka juu yakona utukufu wake utaonekana juu yako. 3 Mataifa watakuja kwenye nuru yakona wafalme kwa mwanga wa mapambazuko yako. 4 “Inua macho yako na utazame pande zote:Wote wanakusanyika na kukujia,wana wako wanakuja toka mbali,nao binti zako wanabebwa mikononi. 5 Ndipo utatazama na kutiwa nuru,moyo wako utasisimka na kujaa furaha,mali zilizo baharini zitaletwa kwako,utajiri wa mataifa utakujilia. 6 Makundi ya ngamia yatajaa katika nchi yako,ngamia vijana wa Midiani na Efa.Nao wote watokao Sheba watakuja,wakichukua dhahabu na uvumbana kutangaza sifa za BWANA. 7 Makundi yote ya Kedari yatakusanyika kwako,kondoo dume wa Nebayothi watakutumikia,watakubalika kama sadaka juu ya madhabahu yangu,nami nitalipamba Hekalu langu tukufu. 8 “Ni nani hawa warukao kama mawingu,kama hua kuelekea kwenye viota vyao? 9 Hakika visiwa vinanitazama,merikebu za Tarshishi ndizo zinazotangulia,zikiwaleta wana wenu kutoka mbali,wakiwa na fedha na dhahabu zao,kwa heshima ya BWANA, Mungu wenu,yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli,kwa maana amekujalia utukufu. 10 “Wageni watazijenga upya kuta zako,na wafalme wao watakutumikia.Ingawa katika hasira nilikupiga,lakini katika upendeleo wangunitakuonyesha huruma. 11 Malango yako yatakuwa wazi siku zote,kamwe hayatafungwa, mchana wala usiku,ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa:wafalme wao wakiongoza maandamano ya ushindi. 12 Kwa maana taifa au ufalme ule ambao hautakutumikia utaangamia;utaharibiwa kabisa. 13 “Utukufu wa Lebanoni utakujilia,msunobari, mvinje pamoja na mteashuri,ili kupapamba mahali pangu patakatifu,nami nitapatukuza mahali pa miguu yangu. 14 Wana wa wale waliokuonea watakuja wakisujudu mbele yako,wote wanaokudharau watasujudu kwenye miguu yako,nao watakuita Mji wa BWANA,Sayuni ya Aliye Mtakatifu wa Israeli. 15 “Ingawa umeachwa na kuchukiwa,bila yeyote anayesafiri ndani yako,nitakufanya kuwa fahari ya milele,na furaha ya vizazi vyote. 16 Utanyonya maziwa ya mataifa,na kunyonyeshwa matiti ya wafalme.Ndipo utakapojua kwamba Mimi, BWANA, ni Mwokozi wako,Mkombozi wako, niliye Mwenye Nguvu wa Yakobo. 17 Badala ya shaba nitakuletea dhahabu,na fedha badala ya chuma.Badala ya mti nitakuletea shaba,na chuma badala ya mawe.Nitafanya amani kuwa mtawala wako,na haki kuwa mfalme wako. 18 Jeuri hazitasikika tena katika nchi yako,wala maangamizi au uharibifu ndani ya mipaka yako,lakini utaita kuta zako Wokovu,na malango yako Sifa. 19 Jua halitakuwa tena nuru yako mchana,wala mwangaza wa mwezi hautakuangazia,kwa maana BWANA atakuwa nuru yako ya milele,naye Mungu wako atakuwa utukufu wako. 20 Jua lako halitazama tena,nao mwezi wako hautafifia tena; BWANA atakuwa nuru yako milele,nazo siku zako za huzuni zitakoma. 21 Ndipo watu wako wote watakuwa waadilifu,nao wataimiliki nchi milele.Wao ni chipukizi nililolipanda,kazi ya mikono yangu,ili kuonyesha utukufu wangu. 22 Aliye mdogo kwenu atakuwa elfu,mdogo kuliko wote atakuwa taifa lenye nguvu.Mimi ndimi BWANA;katika wakati wake nitayatimiza haya upesi.”
In Other Versions
Isaiah 60 in the ANGEFD
Isaiah 60 in the ANTPNG2D
Isaiah 60 in the AS21
Isaiah 60 in the BAGH
Isaiah 60 in the BBPNG
Isaiah 60 in the BBT1E
Isaiah 60 in the BDS
Isaiah 60 in the BEV
Isaiah 60 in the BHAD
Isaiah 60 in the BIB
Isaiah 60 in the BLPT
Isaiah 60 in the BNT
Isaiah 60 in the BNTABOOT
Isaiah 60 in the BNTLV
Isaiah 60 in the BOATCB
Isaiah 60 in the BOATCB2
Isaiah 60 in the BOBCV
Isaiah 60 in the BOCNT
Isaiah 60 in the BOECS
Isaiah 60 in the BOGWICC
Isaiah 60 in the BOHCB
Isaiah 60 in the BOHCV
Isaiah 60 in the BOHLNT
Isaiah 60 in the BOHNTLTAL
Isaiah 60 in the BOICB
Isaiah 60 in the BOILNTAP
Isaiah 60 in the BOITCV
Isaiah 60 in the BOKCV2
Isaiah 60 in the BOKHWOG
Isaiah 60 in the BOKSSV
Isaiah 60 in the BOLCB
Isaiah 60 in the BOLCB2
Isaiah 60 in the BOMCV
Isaiah 60 in the BONAV
Isaiah 60 in the BONCB
Isaiah 60 in the BONLT
Isaiah 60 in the BONUT2
Isaiah 60 in the BOPLNT
Isaiah 60 in the BOSCB
Isaiah 60 in the BOSNC
Isaiah 60 in the BOTLNT
Isaiah 60 in the BOVCB
Isaiah 60 in the BOYCB
Isaiah 60 in the BPBB
Isaiah 60 in the BPH
Isaiah 60 in the BSB
Isaiah 60 in the CCB
Isaiah 60 in the CUV
Isaiah 60 in the CUVS
Isaiah 60 in the DBT
Isaiah 60 in the DGDNT
Isaiah 60 in the DHNT
Isaiah 60 in the DNT
Isaiah 60 in the ELBE
Isaiah 60 in the EMTV
Isaiah 60 in the ESV
Isaiah 60 in the FBV
Isaiah 60 in the FEB
Isaiah 60 in the GGMNT
Isaiah 60 in the GNT
Isaiah 60 in the HARY
Isaiah 60 in the HNT
Isaiah 60 in the IRVA
Isaiah 60 in the IRVB
Isaiah 60 in the IRVG
Isaiah 60 in the IRVH
Isaiah 60 in the IRVK
Isaiah 60 in the IRVM
Isaiah 60 in the IRVM2
Isaiah 60 in the IRVO
Isaiah 60 in the IRVP
Isaiah 60 in the IRVT
Isaiah 60 in the IRVT2
Isaiah 60 in the IRVU
Isaiah 60 in the ISVN
Isaiah 60 in the JSNT
Isaiah 60 in the KAPI
Isaiah 60 in the KBT1ETNIK
Isaiah 60 in the KBV
Isaiah 60 in the KJV
Isaiah 60 in the KNFD
Isaiah 60 in the LBA
Isaiah 60 in the LBLA
Isaiah 60 in the LNT
Isaiah 60 in the LSV
Isaiah 60 in the MAAL
Isaiah 60 in the MBV
Isaiah 60 in the MBV2
Isaiah 60 in the MHNT
Isaiah 60 in the MKNFD
Isaiah 60 in the MNG
Isaiah 60 in the MNT
Isaiah 60 in the MNT2
Isaiah 60 in the MRS1T
Isaiah 60 in the NAA
Isaiah 60 in the NASB
Isaiah 60 in the NBLA
Isaiah 60 in the NBS
Isaiah 60 in the NBVTP
Isaiah 60 in the NET2
Isaiah 60 in the NIV11
Isaiah 60 in the NNT
Isaiah 60 in the NNT2
Isaiah 60 in the NNT3
Isaiah 60 in the PDDPT
Isaiah 60 in the PFNT
Isaiah 60 in the RMNT
Isaiah 60 in the SBIAS
Isaiah 60 in the SBIBS
Isaiah 60 in the SBIBS2
Isaiah 60 in the SBICS
Isaiah 60 in the SBIDS
Isaiah 60 in the SBIGS
Isaiah 60 in the SBIHS
Isaiah 60 in the SBIIS
Isaiah 60 in the SBIIS2
Isaiah 60 in the SBIIS3
Isaiah 60 in the SBIKS
Isaiah 60 in the SBIKS2
Isaiah 60 in the SBIMS
Isaiah 60 in the SBIOS
Isaiah 60 in the SBIPS
Isaiah 60 in the SBISS
Isaiah 60 in the SBITS
Isaiah 60 in the SBITS2
Isaiah 60 in the SBITS3
Isaiah 60 in the SBITS4
Isaiah 60 in the SBIUS
Isaiah 60 in the SBIVS
Isaiah 60 in the SBT
Isaiah 60 in the SBT1E
Isaiah 60 in the SCHL
Isaiah 60 in the SNT
Isaiah 60 in the SUSU
Isaiah 60 in the SUSU2
Isaiah 60 in the SYNO
Isaiah 60 in the TBIAOTANT
Isaiah 60 in the TBT1E
Isaiah 60 in the TBT1E2
Isaiah 60 in the TFTIP
Isaiah 60 in the TFTU
Isaiah 60 in the TGNTATF3T
Isaiah 60 in the THAI
Isaiah 60 in the TNFD
Isaiah 60 in the TNT
Isaiah 60 in the TNTIK
Isaiah 60 in the TNTIL
Isaiah 60 in the TNTIN
Isaiah 60 in the TNTIP
Isaiah 60 in the TNTIZ
Isaiah 60 in the TOMA
Isaiah 60 in the TTENT
Isaiah 60 in the UBG
Isaiah 60 in the UGV
Isaiah 60 in the UGV2
Isaiah 60 in the UGV3
Isaiah 60 in the VBL
Isaiah 60 in the VDCC
Isaiah 60 in the YALU
Isaiah 60 in the YAPE
Isaiah 60 in the YBVTP
Isaiah 60 in the ZBP